Najua ni Imani yenu,lakini si imani sahihi.Hata common sense tells you that anaye uwa na shoga wote ni wadhambi mbele za Mungu.Mungu kasema "usiue."
Halafu ninyi Waislamu hamna budi kujua kwamba God is so holy,that kwake hakuna dhambi kubwa na ndogo.To Him kusema uongo na kuua ni sawa,tu because He does not tolerate the slightest of wrong doing.
Aiseee!
Nikuulize mkuu?
Zama ya kabla ya Sodoma na Gomora je,hakukua na watu waongo?
Je ulisikia zama zozote watu waliangamizwa kisa uongo??
Kwanini Sodoma waliangamizwa kisa ulawiti!?
Kifikra za kibinadamu,embu tutoke katika dini,kifikra za kibinadamu uongo na ufiraji vinaweza kuwa sawa mkuu!?
Nikutolee mfano,una binti/kijana wako,mmoja akapigwa mtaani na mmoja akafanyiwa ukatili wa kingono,kipi kitakuuma kuliko kingine?
Au vyote vinafanana!?
Mkuu kataa ukatae DHAMBI HAZIWEZI KUWA SAWA,mtu muongo unaweza ukamrekebisha akawa msema kweli,mbabe unaweza ukamrekebisha akawa mpole,je shoga unaweza mrekebisha akarudi kama awali??
Kuna mdada aliwahi niambia kuwa kuna andiko kwenu linasema"alaaniwe yule mwenye kumdhihaki Mungu",tena huyu dada ni anajiuza Temeke Sudan,nilimuuliza maana ya hii kauli,alisema yule anayemdhihaki Mungu ni yule anayemuingilia mtu kinyume na maumbile.
Huyu dada anajiuza ila aliapa kutokutoa nyuma.
Sasa bro unawezaje kusema dhambi zote sawa!?
Yani uongo na uuaji uwe sawa!?