Matukio ya Ushoga duniani

Hizo ni nchi ambazo zimewapa uhuru wa kujisema, lakini mashoga wengi wako kimya kimya kwenye mataifa mengi, huku Africa Pwani ndio balaa.
Umejuaje? mikoa ya pwani yote inawakazi wasiopungua milion 20 tena makabila tofauti tofaut na dini tofaut tofaut we umetumia kgezo gani kusema wapo weng? na je bara ambao kuna wakaz zaid ya milion 40+ hakuna mashoga?
 
Ni hatari sana taifa kua na LGBT zaidi ya 30M .

Ni rahisi sana kuaminisha watu wengine kwamba ni kitu sahihi, hasa vijana wanaokua!!
 
Napata ukakasi Sana unaponiambia Canada ina mashoga 30 Million sijui data zako umezitoa wapi.Huu ni upotoshaji WA wazi wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…