wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Kuna mwamba yeye alikuwa akija ghetto akilala analalia tumbo alafu kishundu anakibinua juu, mda huo kavaa boksa tupu.
Nilimtimua
Nilimtimua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoyazungumzia sana ndio washiriki wakuu na wanayapenda mno.Binafsi sionagi kama kuna haja, hata ya kuyazungumzia haya mambo naonaga ni kama kuyatangaza tu🤔
Hata wanawake wasagaji ni mashoga.Inamaana katika kila wamerekani 10 mmoja ni kjana wa pdidy
Wewe huwa unalalaje??Kuna mwamba yeye alikuwa akija ghetto akilala analalia tumbo alafu kishundu anakibinua juu, mda huo kavaa boksa tupu.
Nilimtimua
Tanzania bara au visiwani?Tanzania ya ngapi?
Tamaa ya kufanikiwa haraka ni chanzo cha Ushoga .N hatar sana miaka 10 ijayo watakua 100+ milion hapo USA
Yani US kuna LGBT 350M ? Au hao ni jumla ya Raia wote?Marekani wako milioni 350
Jumla ya raia woteYani US kuna LGBT 350M ? Au hao ni jumla ya Raia wote?
Anhaa !!Jumla ya raia wote
Mimi sio muarabu waarabu ndio mashogaNa mmoja ni wewe
sawa tumekusomaMazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba kuwa ushoga ni dhambi na wanaume waache kujigeuza wanawake.
Hasira zilitanda miongoni mwa mashoga na wasagaji wa nchini Uganda ambao walihudhuria mazishi ya David Kato, shoga mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga nchini Uganda ambaye aliuliwa nyumbani kwa kushushiwa kipigo cha nguvu na watu wasiojulikana.
Wakati misa ya mazishi ikiendelea, mchungaji aliyekuwa akiendesha misa hiyo aliwageukia waombelezaji na kuwaambia kuwa ushoga na usagaji ni dhambi na hivyo watu wanaofanya vitendo hivyo watubu na kumrudia Mungu au la watakumbana na adhabu kali za Mungu.
Mchungaji Thomas Musoke akimalizia misa ya David Kato aliyeuliwa siku ya jumatano nyumbani kwake kwa kusema "Dunia inaelekea kubaya, watu wanayapa mgongo maandiko, wanalazimika kuacha mchezo wanaoufanya na kumrudia Mungu, huwezi kumtamani mwanaume mwenzako".
Ghafla mmoja wa mashoga alinyanyuka na kumfokea Mchungaji Musoke, "Hatujaja hapa kupigana", alisema huku mwanamke mmoja msagaji akiibuka na kusema "Wewe sio mtu wa kutujaji sisi, Kato ameenda kwa Mungu wake aliyemuumba Sisi ni nani mpaka tumhukumu Kato?".
Mchungaji Musoke alinyang'anywa mikrofoni na kuanza kusukumwa sukumwa na kuwafanya polisi waliokuwepo kwenye mazishi hayo waingilie kati na kumuondosha eneo hilo.
Kifo cha Kato kimekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari vya magharibi ambapo taasisi za kutetea mashoga na wasagaji zimekuwa zikilaani kuuliwa kwake. Hata hivyo nchini Uganda habari za kuuliwa kwake hazijapewa kipaumbele.
Kato alikutwa ameuliwa ndani ya nyumba yake mjini Kampala baada ya kushushiwa kipigo cha nguvu na watu wasiojulikana.
Kato alijipatia umaarufu nchini Uganda baada ya kulifikisha mahakamani gazeti la Rolling Stone kwa kuitoa picha yake kwenye gazeti na kumtangaza kuwa ni shoga.
Taarifa za awali zimesema kwamba watu ambao hawajajulikana walivamia nyumba yake na kumshushia kipigo kizito kilichopelekea kufariki kwake.
Polisi wamemkamata mshukiwa mmoja. Hata hivyo mshukiwa mkuu ambaye alikuwa ni mwanaume aliyekuwa akiishi nyumba moja na Kato bado anatafutwa na polisi baada ya kukimbia.
Kusema ushoga ni zambi ndo kukosea ?wewe si ni wale wapendwa???hamfundishwi upendo kwa binadamu wengine??na kutokuwa judgemental since mungu mwenyewe ndio mwenye kuhukumu???hauoni kabisaa kuwa huyo mchungaji kakosea?...haya bwana...:coffee::twitch: