Matukio ya Ushoga duniani

Matukio ya Ushoga duniani

Ni kweli wazungu wamechanganyikiwa au haya ni madhara ya demokrasia iliyopitiliza?

Inawezekanaje taifa lina ndoa za watu wa jinsia moja ? Hili ni kosa kubwa la kwanza

Funga kazi ni watu wa jinsia moja kuruhusiwa kupata na kukuza mtoto hilo ndilo balaah zito kwa miaka mingi ijayoView attachment 3155732View attachment 3155733

Katika mazingira haya mtoto anakua katika hali gani?

Mbona huu ni unyanyasaji mkubwa wa watoto ulioruhusiwa kwa sheria haina tofauti na kipindi cha utumwa.

Angalia hii habari ya hawa wachezaji hapa View attachment 3155737
Mtoto hapa ataweza vipi kutofautisha na kujua yupi ni baba na yupi ni mama ?

Wababa wana jinsia gani na wamama wana jinsia?

Huu ni unyanyasaji mkubwa kisaikolojia kwa mtoto toka mdogo kwa kipindi chote cha makuzi.

Hawa watu wameamua kuishi ujinga wao kuwa wapenzi wa jinsia moja kwa raha zao sasa kwa nini mateso wampatie mtoto kwa ujinga wao?

Hawa wazungu wa sasa hivi ndio wamechanganyikiwa hivi?
Kwa sababu waafrika tunapenda kukopi....sasa tumeletewa huo UCHAFU MAALUM
 
Kwa sababu wewe unakunywa maji yenye akili zako za kijinga zinakutuma kuwa waafrika wote ndivyo walivyo.

Hapa hatujadiliani mambo ya vipindu pindu na maji yenye mavi yako sijui baki kwenye uzi acha kuleta ngonjera
Sijasema Waafrika wote ndivyo walivyo.

Nakwambia hivi, tatua matatizo yako huko maghorofa yanaanguka ovyo na watu wanakufa kama nzi kwa malaria na kipindupindu. UKIMWI na maambukizi ya HIV vimepungua kwa sababu ya dawa za kusaidiwa na hao hao unaowaita wazungu.

Leo Trump kashinda uchaguzi US Waafrika wanaogopa akiondoa misaada ya dawa za kufubaza HIV nchi za Africa kama Tanzania zitafanya nini.

Maliza matatizo yako kwanza kabla ya kushadadia maisha ya hao unaowaita wazungu.
 
Sijasema Waafrika wote ndivyo walivyo.

Nakwambia hivi, tatua matatizo yako huko maghorofa yanaanguka ovyo na watu wanakufa kama nzi kwa malaria na kipindupindu. UKIMWI na maambukizi ya HIV vimepungua kwa sababu ya dawa za kusaidiwa na hao hao unaowaita wazungu.

Leo Trump kashinda uchaguzi US Waafrika wanaogoa akiondoa misaada ya dawa za kufubaza HIV nchi za Africa kama Tanzania zitafanya nini.

Maliza matatizo yako kwanza kabla ya kushadadia maisha ya hao unaowaita wazungu.
Wewe jamaa nilichoandika kina uhusiano gani na hayo uliyo andika
 
Back
Top Bottom