Matukio ya Ushoga duniani

Wazungu hawajachanganyikiwa ila ni watu makini sana wanafikia maamuzi baada ya uchambuzi wa kina, ni watu wasiotaka unafiki bali haki kwa kila mwanadamu(upendo)

Unajua sababu kuu ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja ni haki na kwakua watu wote ni sawa kama ni sawa basi pia tunahaki sawa, pia ikitungwa sheria lazima I accommodate watu wote duniani pasipo kujali tofauti za rangi umbo kimo nk

Sasa katika jamii zetu tunavilema waaina tofauti tofauti wengine wakuzaliwa wengine ni ajali.

Sasa katika hao vilema wa kuzaliwa wengine ni wamezaliwa na changamoto ya kijinsia Yani jinsia yake ki tabia saikolojia baiolojia na utendaji kazi mwili ni tofauti na maumbile yake.
Mfano: unakuta mtu kimaumbile ni mwanamke/KE ila tabia saikolojia baiolojia ni za kiume. Yaani kwa lugha rafiki ni kwamba mwanamke anakua na hisia za kiume na akizidiwa natamani apate mwanamke amalize haja zake(ukimuona ni mwanamke ila kikija kipengele cha ugwadu ni kama wanaume tu) Sasa Mtu kama huyu aende wapi jamani. Sasa hawa ni lesbian tu pia kuna mwanaume kimuonekano ila mihemko ni ya kike na kuzaliwa kajikuta hivyo sio maamuzi yake na ni suala lipo nje ya uwezo wake... Sasa watu wenye hekima (upendo na amani na haki) wakaona hapana hii sio haki tufanye jambo hawa watu watambulike na wapate haki yao hapa duniani... Na sio kuonekana laana na kutengwa jamii zingine wanawauwa.

Changamoto kubwa katika hili ni Elimu haijatolewa ya kutosha kwa watu duniani na kingine ni siasa na dini Kubadilisha misimamo wa kidini sio lahisi pia wanasiasa wanaogopa kupoteza ushawishi wao au chama chao kwa wananchi ila ninaamini viongozi wa kisiasa na dini wale wenye upeo mpana wanajua kua hawa watu wanahitaji hii haki.
 
Mimi nahisi Kuna mpango ama kitu kinasukwa na wazungu kuhusu hili swala la ushoga, kitu hicho Bado watu wengi hasa weusi hatujakijua.
 
Mambo ya haki sawa hayo, ama wanaita 50/50

Kama una akili sawasawa, huwezi kushabikia huo ufirauni
 
Kama wanatizama haki za binadamu na usawa wa watu je wametizama watoto!?
Hayo si mateso ya kisaikolojia kumlazimisha mtoto aamini kuwa baba anaweza kuwa mama na mama anaweza kuwa baba!??

Pia mkuu usitudanganye sisi sio watoto.Ushoga na ulemavu ni vitu haviendani.
Ulemavu ni kitu nearly impossible kukitibu maana unakua umezaliwa na deformity,na deformity ni kitu haiwezekani kutibu.
Ila ushoga wengine sawa wanazaliwa wanaume ila wanapata contradictions za sexual hormones kiasi mtoto wa kike anajihisi kuwa mwanaume na vice versa.
HILI LINATIBIKA KWA CHEMOTHERAPY na tiba zingine wezeshi.
Ushahidi ninao wa waliozaliwa hivyo na kupona.
Ushoga na usagaji ni kwenda kinyume na HUMAN CONSCIOUSNESS.
Ni kwenda kinyume na dhamiri ya ubinadamu na huko ni kuchanganyikiwa.
Yani muoane jinsia moyo kesha mumuasili mtoto na mumulazimishe aamini kuwa anayeolewa anaweza kuoa!??
Aiseeee😂😂😂😂😂😂hata wewe mkuu umechanganyikiwa.
 
Asante kwa kunisaidia kujibu watu wengine wanachosha jinsi walivyo wajinga kupindukia.

Sasa sijui mtoto nani atakuwa anamuita baba na nani atakuwa anamuita mama au ndio jumatatu mtu fulani anaitwa mama, jumanne mtu fulani anaitwa mama ? Sielewi kabisa ujinga wa hawa watu
 
Hiyo ni totally psychological torture mkuu.
 
Hiyo ni totally psychological torture mkuu.
Mimi kinacho nishangaza ni watoto wasio na hatia kuingizwa katika huu upuuzi wa wajinga wawili.

Kwa nini wasibaki na mapuuzi yao wao kwao mpaka wawashirikishe watoto katika maujinga yao ??
 
Issue ni kuwa unaosema wamechanganyikiwa wanakuzidi wewe kwa kila kitu,na kwa zaidi ya 90% maisha yako yanawategemea wao.
 
Issue ni kuwa unaosema wamechanganyikiwa wanakuzidi wewe kwa kila kitu,na kwa zaidi ya 90% maisha yako yanawategemea wao.
Usitudanganye hapa,maisha yetu hayategemei wao hata kwa 40% .
Pia wao kutuzidi sisi haimaanishi jambo likiwa haliko sawa basi waachwe.
Unaonekana wewe muabudu pesa unaweza ukamuacha muhalifu kisa ana uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…