DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyo hapo shangaa sasa Waafrika hawajamaliza matatizo yao ya kunywa maji yenye mavi na kufa kwa kipindupindu, wanarukia maisha ya jamii za watu.
Cc: The Icebreaker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyo hapo shangaa sasa Waafrika hawajamaliza matatizo yao ya kunywa maji yenye mavi na kufa kwa kipindupindu, wanarukia maisha ya jamii za watu.
Wazungu hawajachanganyikiwa ila ni watu makini sana wanafikia maamuzi baada ya uchambuzi wa kina, ni watu wasiotaka unafiki bali haki kwa kila mwanadamu(upendo)Ni kweli wazungu wamechanganyikiwa au haya ni madhara ya demokrasia iliyopitiliza?
Inawezekanaje taifa lina ndoa za watu wa jinsia moja ? Hili ni kosa kubwa la kwanza
Funga kazi ni watu wa jinsia moja kuruhusiwa kupata na kukuza mtoto hilo ndilo balaah zito kwa miaka mingi ijayoView attachment 3155732View attachment 3155733
Katika mazingira haya mtoto anakua katika hali gani?
Mbona huu ni unyanyasaji mkubwa wa watoto ulioruhusiwa kwa sheria haina tofauti na kipindi cha utumwa.
Angalia hii habari ya hawa wachezaji hapa View attachment 3155737
Mtoto hapa ataweza vipi kutofautisha na kujua yupi ni baba na yupi ni mama ?
Wababa wana jinsia gani na wamama wana jinsia?
Huu ni unyanyasaji mkubwa kisaikolojia kwa mtoto toka mdogo kwa kipindi chote cha makuzi.
Hawa watu wameamua kuishi ujinga wao kuwa wapenzi wa jinsia moja kwa raha zao sasa kwa nini mateso wampatie mtoto kwa ujinga wao?
Hawa wazungu wa sasa hivi ndio wamechanganyikiwa hivi?
Kama wanatizama haki za binadamu na usawa wa watu je wametizama watoto!?Wazungu hawajachanganyikiwa ila ni watu makini sana wanafikia maamuzi baada ya uchambuzi wa kina, ni watu wasiotaka unafiki bali haki kwa kila mwanadamu(upendo)
Unajua sababu kuu ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja ni haki na kwakua watu wote ni sawa kama ni sawa basi pia tunahaki sawa, pia ikitungwa sheria lazima I accommodate watu wote duniani pasipo kujali tofauti za rangi umbo kimo nk
Sasa katika jamii zetu tunavilema waaina tofauti tofauti wengine wakuzaliwa wengine ni ajali.
Sasa katika hao vilema wa kuzaliwa wengine ni wamezaliwa na changamoto ya kijinsia Yani jinsia yake ki tabia saikolojia baiolojia na utendaji kazi mwili ni tofauti na maumbile yake.
Mfano: unakuta mtu kimaumbile ni mwanamke/KE ila tabia saikolojia baiolojia ni za kiume. Yaani kwa lugha rafiki ni kwamba mwanamke anakua na hisia za kiume na akizidiwa natamani apate mwanamke amalize haja zake(ukimuona ni mwanamke ila kikija kipengele cha ugwadu ni kama wanaume tu) Sasa Mtu kama huyu aende wapi jamani. Sasa hawa ni lesbian tu pia kuna mwanaume kimuonekano ila mihemko ni ya kike na kuzaliwa kajikuta hivyo sio maamuzi yake na ni suala lipo nje ya uwezo wake... Sasa watu wenye hekima (upendo na amani na haki) wakaona hapana hii sio haki tufanye jambo hawa watu watambulike na wapate haki yao hapa duniani... Na sio kuonekana laana na kutengwa jamii zingine wanawauwa.
Changamoto kubwa katika hili ni Elimu haijatolewa ya kutosha kwa watu duniani na kingine ni siasa na dini Kubadilisha misimamo wa kidini sio lahisi pia wanasiasa wanaogopa kupoteza ushawishi wao au chama chao kwa wananchi ila ninaamini viongozi wa kisiasa na dini wale wenye upeo mpana wanajua kua hawa watu wanahitaji hii haki.
Asante kwa kunisaidia kujibu watu wengine wanachosha jinsi walivyo wajinga kupindukia.Kama wanatizama haki za binadamu na usawa wa watu je wametizama watoto!?
Hayo si mateso ya kisaikolojia kumlazimisha mtoto aamini kuwa baba anaweza kuwa mama na mama anaweza kuwa baba!??
Pia mkuu usitudanganye sisi sio watoto.Ushoga na ulemavu ni vitu haviendani.
Ulemavu ni kitu nearly impossible kukitibu maana unakua umezaliwa na deformity,na deformity ni kitu haiwezekani kutibu.
Ila ushoga wengine sawa wanazaliwa wanaume ila wanapata contradictions za sexual hormones kiasi mtoto wa kike anajihisi kuwa mwanaume na vice versa.
HILI LINATIBIKA KWA CHEMOTHERAPY na tiba zingine wezeshi.
Ushahidi ninao wa waliozaliwa hivyo na kupona.
Ushoga na usagaji ni kwenda kinyume na HUMAN CONSCIOUSNESS.
Ni kwenda kinyume na dhamiri ya ubinadamu na huko ni kuchanganyikiwa.
Yani muoane jinsia moyo kesha mumuasili mtoto na mumulazimishe aamini kuwa anayeolewa anaweza kuoa!??
Aiseeee😂😂😂😂😂😂hata wewe mkuu umechanganyikiwa.
Hiyo ni totally psychological torture mkuu.Asante kwa kunisaidia kujibu watu wengine wanachosha jinsi walivyo wajinga kupindukia.
Sasa sijui mtoto nani atakuwa anamuita baba na nani atakuwa anamuita mama au ndio jumatatu mtu fulani anaitwa mama, jumanne mtu fulani anaitwa mama ? Sielewi kabisa ujinga wa hawa watu
Mimi kinacho nishangaza ni watoto wasio na hatia kuingizwa katika huu upuuzi wa wajinga wawili.Hiyo ni totally psychological torture mkuu.
Usitudanganye hapa,maisha yetu hayategemei wao hata kwa 40% .Issue ni kuwa unaosema wamechanganyikiwa wanakuzidi wewe kwa kila kitu,na kwa zaidi ya 90% maisha yako yanawategemea wao.