cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haya sasa kwa andiko hili, mtu anapata wapi nguvu ya kuhukumu mwingne? Muwage mnasoma hizo bible vizuri na kuelewa.1 Wakorintho 6:9
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,