rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
watu wanataka kukula wanaume wenzao kweli??? Daah ushoga sio kitu cha kuchekea jamii zetu zitazidi kuaribiwa kisa UHURU WA FARAGHA hawa jamaa ni kuwashika na kuwatupa jelaaa kila mmoja kachumba kake maana ukiwachanganya ni yaleyale... Vijana wa kiume tamaa zikizidi na huna uwezo lazima upigwe pipe