Sio kila mtu ana mihemko.There are intelligents,anywhere in the society.
Ningependa
Culture Me aje kistaarabu kujibu swali langu ili tuamini ninyi mna ustaarabu.Sio jamii inawaacha na mambo yenu,alafu ninyi mnaingilia yao.
Just a simple example shoga kuingia choo cha kiume wakati hisia yake ni ya kike.Hii ina potray dhana gani?Yani mtu kavaa nguo za kike,nywele bandia za kike,lips 👄 za kike n.k anaingia choo cha wanaume.Sasa hauoni huu ni udhalilishaji wa jinsi 'me'.
Binafsi siwezi kuua au zuia haki ya mtu ambayo hainiathiri ila siwezi kukubali haki ya mtu iniathiri.Ingekuwa vyema uyo shoga angeingia choo cha kike.
Hapa huyu shoga alitaka haki yake iheshimiwe ila hakuheshimu haki ya wanaume ya kuheshimika katika jamii ya uanaume wao.Binafsi sijakubaliana na mauaji ila pia sijakubaliana na jinsia 'me' kudharirishwa.Ni vyema mashoga wajue kuwa wanazo limitations za haki zao sio kutaka easy going ya kila matakwa yao.
Human rights must be respected but THERE ARE LIMITATIONS OF HUMAN RIGHTS.