Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,951
Reaction score
19,766
Habari Jamii Africa.

Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi)

Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la kusikitisha ambapo kijana mmoja alitoa Dau la shilingi elfu 30,Kwa kijana atakaye mnyonya sehemu za siri yaani dhakari yake.

Ndipo alipojitokeza kijana mmoja ambaye ni shababi mwili nyumba lakini aliyejawa na tamaa zisizoandikika hapa,akainyonya dhakari ya mwanaume mwenzie mchana wa juakali tena mbele za watu. Tukio hili limetokea 14/8/2025

Dunia simama nishuke
 
Engineer upatapo muda waombee vijana ila ukiwa na muda zaidi iweke kwenye maombi maalumu pwani yote ya nchi yetu hasa Zanzibar ,Dasalam na viunga vyake vyote.
 
Una uhakika na unacho kiandika au n ndoto za saa Kumi na Moja kuelekea mapambazuko?
 
Huyo sio haszu alie 🌈?
Kwa nini hawa mashoga walichagua rangi ya upinde kama uwakilishi wao?

Mungu baada ya kuiangamiza dunia kwa gharika, alitumia upinde wa mvua kutoa ahadi ya kutokuja kuiangamiza dunia, na mishoga ndio inampima kwa rangi ile ile ili mungu avunje ahadi.
 
Teknolojia na mitandao au utandawazi kwa ujumla unatuharibia sana vijana wa leo,kila wanachokiona huko,wanataka kukifanya kwenye uhalisia!

Kila mzazi awe makini kwa watoto wake na kuwafuatilia wanachokiangalia huko mitandaoni,japo ni ngumu ila inawezekana,mabadiliko yaanzie kwenye familia yako.
 
Kama kaweza kufanya hadharani, basi huko ufichoni huwa anafanya sana.
 
Njaa kali, huyo ukimuongezea hela anatoa na vinginevyo!

Dunia imeshavaa bukta hii ! Huzuni

Usikute huyo ni mtu ana mke na watoto dah
 
Habari Jamii Africa.

Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi)

Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la kusikitisha ambapo kijana mmoja alitoa Dau la shilingi elfu 30,Kwa kijana atakaye mnyonya sehemu za siri yaani dhakari yake.

Ndipo alipojitokeza kijana mmoja ambaye ni shababi mwili nyumba lakini aliyejawa na tamaa zisizoandikika hapa,akainyonya dhakari ya mwanaume mwenzie mchana wa juakali tena mbele za watu. Tukio hili limetokea 14/8/2025

Dunia simama nishuke
Hamna shababi mwenye akili mbovu kama hizo
 
Teknolojia na mitandao au utandawazi kwa ujumla unatuharibia sana vijana wa leo,kila wanachokiona huko,wanataka kukifanya kwenye uhalisia!

Kila mzazi awe makini kwa watoto wake na kuwafuatilia wanachokiangalia huko mitandaoni,japo ni ngumu ila inawezekana,mabadiliko yaanzie kwenye familia yako.
Naam. Tofauti na hapo itakua utapeli tu
 
Back
Top Bottom