Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Ni hatari mkuuWanaume stukeni, Shetani anataka kuwapotezaaa
Kiumbe mwanaume anatoweshwa anabaki kiumbe mwanamke
Sio shetani ni wanaume wapuuzi wachache pamoja na wanawake wanataka kukipoteza kizazi cha sie wanaume halisi.Wanaume stukeni, Shetani anataka kuwapotezaaa
Kiumbe mwanaume anatoweshwa anabaki kiumbe mwanamke
Engineer upatapo muda waombee vijana ila ukiwa na muda zaidi iweke kwenye maombi maalumu pwani yote ya nchi yetu hasa Zanzibar ,Dasalam na viunga vyake vyote.Habari Jamii Africa.
Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi)
Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la kusikitisha ambapo kijana mmoja alitoa Dau la shilingi elfu 30,Kwa kijana atakaye mnyonya sehemu za siri yaani dhakari yake.
Ndipo alipojitokeza kijana mmoja ambaye ni shababi mwili nyumba lakini aliyejawa na tamaa zisizoandikika hapa,akainyonya dhakari ya mwanaume mwenzie mchana wa juakali tena mbele za watu. Tukio hili limetokea 14/8/2025
Dunia simama nishuke
Kwa nini hawa mashoga walichagua rangi ya upinde kama uwakilishi wao?Huyo sio haszu alie 🌈?
Hamna shababi mwenye akili mbovu kama hizoHabari Jamii Africa.
Mimi nipo Wilaya ya Rufiji,tarafa ya ikwiriri,sehemu ambapo ni headquarter ya mheshimiwa Mohamedi Omary Mchengerwa, Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi)
Sasa Jana nikiwa hapa Ikwiriri maeneo ya Kaunta,Ilipo Radio ya Rufiji FM limetokea jambo la kusikitisha ambapo kijana mmoja alitoa Dau la shilingi elfu 30,Kwa kijana atakaye mnyonya sehemu za siri yaani dhakari yake.
Ndipo alipojitokeza kijana mmoja ambaye ni shababi mwili nyumba lakini aliyejawa na tamaa zisizoandikika hapa,akainyonya dhakari ya mwanaume mwenzie mchana wa juakali tena mbele za watu. Tukio hili limetokea 14/8/2025
Dunia simama nishuke
Naam. Tofauti na hapo itakua utapeli tuTeknolojia na mitandao au utandawazi kwa ujumla unatuharibia sana vijana wa leo,kila wanachokiona huko,wanataka kukifanya kwenye uhalisia!
Kila mzazi awe makini kwa watoto wake na kuwafuatilia wanachokiangalia huko mitandaoni,japo ni ngumu ila inawezekana,mabadiliko yaanzie kwenye familia yako.
Bila shaka baada ya hapo alitengeneza pesa zaidi ya hiyo kwa wale wapenda uficho.Kama kaweza kufanya hadharani, basi huko ufichoni huwa anafanya sana.
Ni sahihiHamna shababi mwenye akili mbovu kama hizo
Ndiyo yanayozungumziwa hivi sasaBila shaka baada ya hapo alitengeneza pesa zaidi ya hiyo kwa wale wapenda uficho.
Ana 40+ ana mke na watoto tukio hilo limefanyika mbele ya dada yakeNjaa kali, huyo ukimuongezea hela anatoa na vinginevyo!
Dunia imeshavaa bukta hii ! Huzuni
Usikute huyo ni mtu ana mke na watoto dah