Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

Mkuu hujui kitu ,nimeshindwa kuweka video hapa kwani nitakuwa kama nasambaza maudhui yasiyofaa.

Wahusika wote wamekamatwa Ile Ile jana,masheikh,na baadhi ya ndugu walilia Kwa walichoshuhudia.

Eenhee niambie ni lengo gani ulilolibaini kwangu
Hapo kidogo nimekuelewa unaposema walikamatwa maana haukumalizia hili neno LA mwisho kukamatwa nilijua watu waliwaangalia tu!!! Ndio maana nikakuuliza Ikwiriri hi hi? Maana najua najua msimamamo wa Warufiji hawataki ujinga.
 
Walikamatwa
 
Ndio Mambo yao watu wa Pwani.

Wanamsingizia Obama na Jobiden
 
Asee pole SANA najua ilikuumiza SANA mkuu, unapata uchungu lakini unakuwa huna cha kufanya mkuu NDO maisha

Full stop, kwishaaaa
Mkuu ,kuna mambo hata shetani tunamsingizia
 
Ulishuhudia? Kama ni kweli lete video vinginevyo hii chai kama tumbaku zingine
 
Mkuu hujui kitu ,nimeshindwa kuweka video hapa kwani nitakuwa kama nasambaza maudhui yasiyofaa.

Wahusika wote wamekamatwa Ile Ile jana,masheikh,na baadhi ya ndugu walilia Kwa walichoshuhudia.

Eenhee niambie ni lengo gani ulilolibaini kwangu
Tuma video PM
 
We ebu simama kwanza usome vzr kama uliyoyaandka ni kweli...

Wabelgiji watatuharibia nchi na vifungu vyao vya faragha
Kifusi wewe bonge una shida sana ha ha ha haa,njaa kali lakini kujifanya kijani mara usalama uchwara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…