Kuna story zinazagaa zagaa juu ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kutekwa watoto, kuna video moja hapa nimeoiona jamaa wamempiga motocwa petroli, ila nasikia wengine walipelekwa polisi kwa mahojiano, ila polisi hawataoi mrejesho juu ya kinachojiri baada ya mahojiano, tueleweje?
Mtaani hali ni ya taharuki, wenyewe watoto hawana tena amani ya Maisha, yaani ni kama tuko Palestina sasa, hofu juu ya hofu..
Hivi ni mataahira gani haya yanayoamini kwamba uchaguzi unashinds kwa kuuwa watoto, wapumbavu kuliko upumbavu wenyewe..
Mfano huyo dada kwennye video, ni mtuhumiwa wa utekaji, kesi yake polisi imefikia wapi, je wameshindwa hata kubana manyonyo na pliers ili ataje wanapowapeleka na anaewatuma?!
Nadhani itakuwa maswala ya upelelezi yanaendelea kabla ya kuwa na report kamili na kuvungua file mahakamani.
Nadhani unajua kuwa ukizingua ushahidi mahakamani kesi huwa zinafutwa na mtuhumiwa mwenye hatia anaweza kuondoka huru kumbe kuna ushahidi haukuwa umeletwa.
Anaweza kuwa alikutwa na mtoto, na kuna watu walimtuma. Ila ni vipi kama hawa watekaji walijitanbulisha kwa huyu dada kama ndugu au mzazi wa huyo mtoto na hata walimlipa kuchukua mtoto ila wakimwambia ni mtoto wao wanamchukua kutoka kwa mama yake kinguvu kwasababu hataki kumuachia na wamejificha ili asiwaone yeye wanataka awasaidie.
Hapo unaona connection ya huyo dada na wahalifu ilivyo, yeye katumika tu kama mshiriki ila hata hana idea mtoto anakwenda fanywa nini na hao watu. Ni makosa kafanya ila sio sawa na hawa watekaji ambao ndio wana motive ya utekaji yeye hana motive ameshirikishwa tu.