Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

ooh!
we unatisha wenzio......
waambie ukweli tu kuwa WANAUME WANATOFAUTIANA!
ukiingia kwenye ndoa sio lazima upate mikikimikiki
 
umemchanganya, ameshindwa kuelewa ataifanyaje hii dunia japo awabadili tabia zenu chafu.

we give out so much dearest just to win their hearts but what do we get in return?????????? mimi kwa kweli hapo ndo nachoka!!! they are so selfish!!!
 
ooh!
we unatisha wenzio......
waambie ukweli tu kuwa WANAUME WANATOFAUTIANA!
ukiingia kwenye ndoa sio lazima upate mikikimikiki

sio kwamba nyie ndio mnawatisha? ndoa zote zina mikiki mikiki, ni muda tu kufika..ucpopata hiki utapata kile....
 
yaani nyie watu mna vituko, mmmmmmh acha tu. yaani hata sijui hizi ndoa kazi yake ni nini?
 
sio kwamba nyie ndio mnawatisha? ndoa zote zina mikiki mikiki, ni muda tu kufika..ucpopata hiki utapata kile....
kwenye ndoa hakuna mikiki mikiki NAPMBA KUIKATAA HIYO KAULI

KWENYE NDOA KUNA CHANGAMOTO!.....nimemaliza.tatizo la wanawake wengi hawako tayari kuzikabili changamoto.INFACT KILA COMMITTMENT INA CHALLANGES ZAKE!.....ukizibadilisha changamoto kuwa mikiki mikiki THEN YOU'RE DEADLY GONE!UTAKUWA MTU WA KUNUNG'UNIKA TU MPAKA KUFA
 
hii infidelity bado inaongelewa tu..Teamo nitakushitaki kwa makosa lukuki
1. Umenisababisha nianze kutia mashaka na kukumbuka zile siku baba yoyo kaja amechelewa anadai alikuwa sijui gwaride lilichelewa kuisha ..safety boot zilibomoka ghafla(................................)
2. Umenisababisha nianze kuumwa kichwa ghafla.....Asprin nipe matibabu fasta
3. Umenisababisha nipoteze ari mpya na nguvu mpya ya kufanya kazi
4. Perfomance ya home kwa siku ya leo itakuwa chini sana
5. Umenisababishia nianze kupunguza kale ka imani kalokuwepo kwa baba yoyo
6. Umesababisha nianze kuwaza yale maji ya TBL
7. nimestuka ......:sick:😡

Naendelea
 

kwangu mie naita mikiki mikiki......
 

hee kama kasababisha yote haya, kifuatacho ni kukupa presha sasa, just relax mami, inaelekea na wewe ni mgeni wa mikiki mikiki....
 
kwangu mie naita mikiki mikiki......
IT'S JUST how you perceive!
as per my perception zile ni challanges tu!.....kuna watu wamekutwa na makubwa lakini ndo hivyo tena NI CHALLANGES TU!JUST FACE THEM.
 

haya sasa ndo mambo haya Nyamayao...........yataka moyo, hivi Matron hata Bala wangu anafanya haya kweli???? no way he is the exception to the general rule!!!
 
kwangu mimi hiyo bolded part hiyo ndo inakuwaga tiketi ya kwenda kujichek na INFIDELITY the next day,na nikirudi jioni nalala kama gogo
 
Teamo hebu mwombe radhi FL1....umeanzisha thredi iliyomfanya aumwe kichwa na kukosa amani na ndoa yake......!
 
Leo nilikua nimebase kwenye jukwaa la siasa, si mnajua tena kichefuchefu cha ccm.... !!! nimesoma a lots of comment's wakuu... " MAN can Still be a MAN " we are within a them !! Duu hii topic ya leo kiboko !!! kimekupigia thanks hapo mkuu Teamo.......!!!!
 
Teamo hebu mwombe radhi FL1....umeanzisha thredi iliyomfanya aumwe kichwa na kukosa amani na ndoa yake......!
hehehehe!kiongozi hii kitu IS THERE TO STAY!tatizo fl1 hataki kuukabili ukweli
 
....ni kwamba kila 'specific incident' ina 'specific solution'..... Rule # 1: do not repeat excuses!..

...usithubutu kusahau ulichodanganya... Rule no. 2

..... Rule no 3. Infidelators must assist each other...

rule no 4... Usikubali kosa.......!! Never!

rule no 5: Ukifumaniwa na rafiki yake mkeo, mtafune ili siri idumu....

it's just how you perceive! As per my perception zile ni challanges tu!.....kuna watu wamekutwa na makubwa lakini ndo hivyo tena ni challanges tu! Just face them.

infidelity at its best
 
haya sasa ndo mambo haya Nyamayao...........yataka moyo, hivi Matron hata Bala wangu anafanya haya kweli???? no way he is the exception to the general rule!!!
achana na kina teamo,aspirin na panadol. wanakutisha tu. tupo kibao ambao tumetulia . mimi samtaimu waifu ananiita "gabriel" anasemaga niko vere inosenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…