Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
- Thread starter
- #181
ooh!nilisumbuka na ndoa mpaka nikakaribia kukata tamaa, nilipozinduka na kuipigania haaa sasa hivi walaa najionea yote kheri tu, hakuna wa kunitoa labda yeye ajichokee achape mwendo, nilijikomaza mdogo, ilikuwa nashindwa hata kulala vizuri nikifikiria yale maneno matamu niliyokuwa naambiwa enzi hizo yameishilia wapi, nikifikiria mr alivyo na kinyaa cha kuzaliwa lakini mbona anaweza kufanya na mwingine, nikifikiria na kufikiria bac nikaona yote yawezekana, alipoona cna nae tyme tena yeye ndio akaanza kuteseka juu yangu...jamani muingie tu! oteee ndao.
we unatisha wenzio......
waambie ukweli tu kuwa WANAUME WANATOFAUTIANA!
ukiingia kwenye ndoa sio lazima upate mikikimikiki