Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

...mie nimeona nyingi kama hadithi za kufikirika vilee!wanaongea kufurahisha baraza tu...kiukweli wakaka wa humu hawacheat,wadada wenye waume zao humu msipate presha bureeee......:fish2::fish2:
 
Hahahaa, hii thread ina mambo sana.

Jamaa yangu nae yalimkuta ya kumkuta. Bahati yake yeye haikuwa wife, ilikua ni girlfriend tu. Ila ilikua kituko ... lol!

Basi siku moja jamaa alichukua kicheche akaingia nacho guest. Si unajua tena mdada kuonyesha ma ufundi .. kamlaza jamaa chali, kamchojoa nguo zote, kabakisha "andawea", kaanza kula koni! He, kushtuka jamaa keshachafua andawea .. duh! Sa itakuwaje?

Baada ya kupiga plan, ikabidi dem aifue. Hiyo 1! Sasa 2.. ataibebaje?
Basi jamaa alikuwa hana jinsi, ikabidi wachukue mfuko uliokua umebebea chipsi, wakauosha, wakaugeuza ndani-nje wakaweka andawea. Jamaa akabeba, wakaagana na kicheche, safari kuelekea gheto ikaanza.

Kufika gheto, hamadi .. kumbe demu wake alikua anamsubiri. Hee, mara demu kaulizia, hicho nini? Kuona ni ki mfuko si ampokonye!! (Sijui alidhani jamaa kamletea "bites"!)

Palikua hapatoshi!
 

...calm down wakuu, kama kinadada wamechukulia serious story hizi za baa, wameula na chuya. Hakuna mwanaume anayetaka kuharibu ndoa yake, tulikuwa tunachangamshana tu na stori za vijiweni jumatatu hii.
 
...calm down wakuu, kama kinadada wamechukulia serious story hizi za baa, wameula na chuya. Hakuna mwanaume anayetaka kuharibu ndoa yake, tulikuwa tunachangamshana tu na stori za vijiweni jumatatu hii.

Kamanda, Roger that!!!

Ila tusisahau kwamba mchina hawezi weka jokes za ulabu za afghanistan na kuna ka-element ka ukweli fulani hivi kama uta-square root

ndimi

DN
 
...mie nimeona nyingi kama hadithi za kufikirika vilee!wanaongea kufurahisha baraza tu...kiukweli wakaka wa humu hawacheat,wadada wenye waume zao humu msipate presha bureeee......:fish2::fish2:

Kweli aisee....
 
goodmorining kila mtu jamani

AMANI KWAKO BABA-ENOCK
AMANI KWAKO SIKONGE
AMANI KWAKO DE-NOVO
AMANI KWA KILA MTU ALIYEPATA PRESHA
 
Truth hurts!:smash:
 
goodmorining kila mtu jamani

AMANI KWAKO BABA-ENOCK
AMANI KWAKO SIKONGE
AMANI KWAKO DE-NOVO
AMANI KWA KILA MTU ALIYEPATA PRESHA

Mkuu umeanza vyema siku... AMANI KWAKO NA MALI ZAKO ZOTE

Red Label zimeadimika sana Dar.... Sijui ntafanyaje
 
jamani eeh!
msikwazike sana naona wengine wamepaniki moja kwa moja..........

hii ni keyboard tu!
HIZI NI STORI TU.....

nachukua nafasi hii kuwaombeni radhi lediiz wengi mlioonyesha kukasirishwa na hii sredi!msijude maisha kwa kuangalia sredi hii mpaka mjue ukweli na kama mnavyojua TRUTH TAKES TIME!

maisha yaendelee
 
Mkuu umeanza vyema siku... AMANI KWAKO NA MALI ZAKO ZOTE

Red Label zimeadimika sana Dar.... Sijui ntafanyaje
hapa masaki kama nimeziona hivi
nitakupigia muda fulani nikaichukue moja tujaribu kugawana umasikini pande za chemba
ingawa kwenye ''tukutuku'' kuna grants sijui labda waif awe kaitoa
 
MEN are cheaters, MEN always get their wives apologizing, be careful!!! One of the renowned lawyers in Texas had made love to a city prostitute who unfortunately forgot to take her panty from the lawyer's car.

Afterwards he drove home and as usual the wife came in open arms, hugged him warmly and led him to the house. The man then remembered, "Honey please rushes to the car and get some chicken. Sorry I forgot to bring it with me after the hug." The lady dashed to the car. What met her eyes? A woman's panty! "Caught this idiot today". You thought you could escape this time round! "She muttered. With all her strength she tore the panty into pieces and rushed back to the husband ready to tear him down. During all this time' the man had realized his folly and was ready. He was smart enough.

"Now why do you ruin my life?" the lady asked.

"You! Do you realize what you have just done!?" the husband stammered outrageously "That's the case of ten million dollars I told you yesterday and the panty was the rape evidence. What am I presenting before court tomorrow? Why do you rush into action without consulting me first? You must produce that item!"

Unbelievably the wife was so sorry. She even went to look for the torn pieces and brought back to her husband with a promise never to repeat the mistake. She wouldn't imagine her husband losing 10m.The man went inside the bathroom, said a short prayer and came out smiling of his victory. Really who should have apologized?

 
...mie nimeona nyingi kama hadithi za kufikirika vilee!wanaongea kufurahisha baraza tu...kiukweli wakaka wa humu hawacheat,wadada wenye waume zao humu msipate presha bureeee......:fish2::fish2:

thidanganyiki :nono:
 

T bwana wewe ushasema yaliyo moyoni harafu unasema ulikuwa unatania teteteteteh
Tatizo binamu unadhani tuko Kindergarten:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
Good morning Teamo
 

Mbona kufuli, suruali, shati, soksi, na viatu haukugeuza?! Je, ulifikaje nyumbani? Je, sehemu zako nyingine za mwili zilikuwa salama?! Tujifunze kuwa na discipline kwa kila jambo!
 

Mambo haya ni kweli - tulikwishawahi mbeba mtu baada ya kupiga mitungi na ku-pass out kwa muda wa masaa kama 10; lolote baya kwake lingeweza kufanyika ni bahati alikwa na good friends.
 
Teamo keshasema hizi ni stori tu....pia kaomba radhi! Mbona mnaendeleza hii thredi????
Naomba hii thredi iwekwe kufuli la VIRO :clos
ed_2:
 
Teamo keshasema hizi ni stori tu....pia kaomba radhi! Mbona mnaendeleza hii thredi????
Naomba hii thredi iwekwe kufuli la VIRO :closed_2:

RR mbona unaifunga kaianzisha acha iendelee bana !Ngoja basi tukaangalia siasa za kina Kikwete na Billal W/C ndo imeisha hivo:A S 39:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…