Teamo keshasema hizi ni stori tu....pia kaomba radhi! Mbona mnaendeleza hii thredi????
Naomba hii thredi iwekwe kufuli la VIRO :closed_2:
Bora iishe... Maana wengine ndo watajifunza mbinu za Infidelity humu...:closed_2:
haya sasa ndo mambo haya Nyamayao...........yataka moyo, hivi Matron hata Bala wangu anafanya haya kweli???? no way he is the exception to the general rule!!!
hahahahahah duu umenichekesha sana, mbona kila mwanamke anakutana na kimeo inaonesha hakuna mwaminifu hata mmoja
eeee yesu na maria nisaidieni mume ntakayempata anipende peke yangu
RR mbona unaifunga kaianzisha acha iendelee bana !Ngoja basi tukaangalia siasa za kina Kikwete na Billal W/C ndo imeisha hivo:A S 39:
Wajifunze? Unamaanisha hawajui au?
Pole sana. Sikujua kuwa unaweza kutishwa na kutishika kirahisi namna hiyo. Movies huwa unaangalia?
Ila huyu Teamo naye aache mchezo wa kuchezea chezea triger! Kuna watu wana miyo yenye kuta nyembamba sana na asipoangalia anaweza kuleta maafa makubwa mno!
Definately.... sio wote wana ma-advencha kama ya kwako...:embarrassed1:
Wakisoma hapa ndio wataanza kutumia hizo mbinu zako za polisi na zile rules zako
Definately.... sio wote wana ma-advencha kama ya kwako...:embarrassed1:
Wakisoma hapa ndio wataanza kutumia hizo mbinu zako za polisi na zile rules zako
Kweli mkuu, tuko pamoja. Kwenye michango ya hii mada wakina dada/mama wote wamejitoa na pia wamesahau hapo juu kwamba kulikuwa na 40% ya no-infedelitors/infidelitees!!Hahahaha! Kiongozi mwache kijana awaonyeshe watu njia. Kweli huku ndani vitu vingine vimekuwa exaggerated lakini ukweli unabakia kuwa cheating is there to stay. Ukiangalia kwenye ile thread ya carmel, kwenye polls kumedhihirisha kuwa zaidi ya 60% ya wanandoa wameshawahi au wanacheat. Kila mtu awe tayari kukabili mtihani huu mara atakapogundua mwenzie anamcheat......Bora kinga kuliko tiba ya kifo......
Hahahaha! Kina mama bana! wote humu wameruka kuwa hawajawahi kufanya infidelity. Na wote wamajifanya kushtushwa na mauzoefu ya wanaume waliyoyarusha huku. Wamesahahu kuwa tunajua ile kesi ya DNA testi na pasenti ya watoto ambao wanaume wamebambikizwa!!Kweli mkuu, tuko pamoja. Kwenye michango ya hii mada wakina dada/mama wote wamejitoa na pia wamesahau hapo juu kwamba kulikuwa na 40% ya no-infedelitors/infidelitees!!
Hahahaha! Kina mama bana! wote humu wameruka kuwa hawajawahi kufanya infidelity. Na wote wamajifanya kushtushwa na mauzoefu ya wanaume waliyoyarusha huku. Wamesahahu kuwa tunajua ile kesi ya DNA testi na pasenti ya watoto ambao wanaume wamebambikizwa!!
Wanawake bana, nadhani ndio maana shetani aliamua kuwadanganya wakala lile tunda...LOL!! Alijua kwa Adamu angegonga mwamba!
Hahahahaha! Si umeon, hakuna hata mmoja aliyeitendea haki hii useful thread.... LOLTena umenikumbusha! Kama wote humu wameruka viunzi kana kwamba cheaters wanajicheat wenyewe (self help), kwa nini wengi wao waliruka viunzi suala kufanya DNA test kwa watoto (tukiacha ile hoja ya kukwazwa wapoulizwa/kuelezwa suala la kufanya test. Kama kweli wanaume kwenye ndoa ndo wazinifu peke yao, basi akina mama wangechukia kuambiwa suala la DNA test ila baada ya hapo wangekuwa wa kwanza kwenda kuwa-prove wrong waume zao! Ila mhh, haya bwana, Team amepata alichokitafuta!!
....na hata asingesoma tayari ana-cheat tu. Haihitaji akili sana na busara kutambua kuwa hadithi nyingine ni za kusogeza muda ili siku iishe!
Hahahahaha! Si umeon, hakuna hata mmoja aliyeitendea haki hii useful thread.... LOL
The Following 8 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:
Asprin (Yesterday), Baba_Enock (Yesterday), De Novo (Today), Dreamliner (Yesterday), Fidel80 (Yesterday), Lubaluka (Yesterday), Mbu (Yesterday), Roya Roy (Yesterday)
eeee yesu na maria nisaidieni mume ntakayempata anipende peke yangu
Hivi eksipiryens yako ni ipi tena!?nahisi baridi.......
katerero bwna, ucnivunje mbavu mie, khaa!wanaume wetu hawa wa kibongo?
nahisi baridi.......