Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Teamo keshasema hizi ni stori tu....pia kaomba radhi! Mbona mnaendeleza hii thredi????
Naomba hii thredi iwekwe kufuli la VIRO :clos
ed_2:

Bora iishe... Maana wengine ndo watajifunza mbinu za Infidelity humu...:closed_2:
 
haya sasa ndo mambo haya Nyamayao...........yataka moyo, hivi Matron hata Bala wangu anafanya haya kweli???? no way he is the exception to the general rule!!!

Pole sana B na wale wote waliouvaa mkenge wa Teamo. Kwenye red, hilo ndilo nilitegemea kusikia watu wakisema. Mnashindwaje kujipa moyo? Watu wamesahau kuwa kwenye mahusiano tunaishi kwa imani zaidi na kila couple ni sovereign state?

hahahahahah duu umenichekesha sana, mbona kila mwanamke anakutana na kimeo inaonesha hakuna mwaminifu hata mmoja

Hii ni kauli mbaya sana. Umetuvunjia heshima sana na unatakiwa kuomba msamaha mara moja!

eeee yesu na maria nisaidieni mume ntakayempata anipende peke yangu

That is wishful think. Nothing comes on a silver plate. Work for your wish and it will be granted!

RR mbona unaifunga kaianzisha acha iendelee bana !Ngoja basi tukaangalia siasa za kina Kikwete na Billal W/C ndo imeisha hivo:A S 39:

Pole sana. Sikujua kuwa unaweza kutishwa na kutishika kirahisi namna hiyo. Movies huwa unaangalia?

Ila huyu Teamo naye aache mchezo wa kuchezea chezea triger! Kuna watu wana miyo yenye kuta nyembamba sana na asipoangalia anaweza kuleta maafa makubwa mno!
 
Wajifunze? Unamaanisha hawajui au?

Definately.... sio wote wana ma-advencha kama ya kwako...:embarrassed1:

Wakisoma hapa ndio wataanza kutumia hizo mbinu zako za polisi na zile rules zako
 
Pole sana. Sikujua kuwa unaweza kutishwa na kutishika kirahisi namna hiyo. Movies huwa unaangalia?

Ila huyu Teamo naye aache mchezo wa kuchezea chezea triger! Kuna watu wana miyo yenye kuta nyembamba sana na asipoangalia anaweza kuleta maafa makubwa mno!

Hahahaha! Kiongozi mwache kijana awaonyeshe watu njia. Kweli huku ndani vitu vingine vimekuwa exaggerated lakini ukweli unabakia kuwa cheating is there to stay. Ukiangalia kwenye ile thread ya carmel, kwenye polls kumedhihirisha kuwa zaidi ya 60% ya wanandoa wameshawahi au wanacheat. Kila mtu awe tayari kukabili mtihani huu mara atakapogundua mwenzie anamcheat......Bora kinga kuliko tiba ya kifo......
 
Definately.... sio wote wana ma-advencha kama ya kwako...:embarrassed1:

Wakisoma hapa ndio wataanza kutumia hizo mbinu zako za polisi na zile rules zako

Hahahahaha! ngoja nikachekee nje lol!

Nimecheka mpaka najisikia kucheza alaji! alaji! alaji!
 
namuona hommie next level anapitia pitia sredi hapa
najua atakuja na experience ya mwaka
 
Definately.... sio wote wana ma-advencha kama ya kwako...:embarrassed1:

Wakisoma hapa ndio wataanza kutumia hizo mbinu zako za polisi na zile rules zako

Mtu akienda kufanya majaribio baada ya kusoma hizi hadithi basi huyo ni mpumbavu na hata asingesoma tayari ana-cheat tu. Haihitaji akili sana na busara kutambua kuwa hadithi nyingine ni za kusogeza muda ili siku iishe watu warudi nyumbani kukabiliana na changamoto halisi (realities) za maisha!

Hahahaha! Kiongozi mwache kijana awaonyeshe watu njia. Kweli huku ndani vitu vingine vimekuwa exaggerated lakini ukweli unabakia kuwa cheating is there to stay. Ukiangalia kwenye ile thread ya carmel, kwenye polls kumedhihirisha kuwa zaidi ya 60% ya wanandoa wameshawahi au wanacheat. Kila mtu awe tayari kukabili mtihani huu mara atakapogundua mwenzie anamcheat......Bora kinga kuliko tiba ya kifo......
Kweli mkuu, tuko pamoja. Kwenye michango ya hii mada wakina dada/mama wote wamejitoa na pia wamesahau hapo juu kwamba kulikuwa na 40% ya no-infedelitors/infidelitees!!
 
Kweli mkuu, tuko pamoja. Kwenye michango ya hii mada wakina dada/mama wote wamejitoa na pia wamesahau hapo juu kwamba kulikuwa na 40% ya no-infedelitors/infidelitees!!
Hahahaha! Kina mama bana! wote humu wameruka kuwa hawajawahi kufanya infidelity. Na wote wamajifanya kushtushwa na mauzoefu ya wanaume waliyoyarusha huku. Wamesahahu kuwa tunajua ile kesi ya DNA testi na pasenti ya watoto ambao wanaume wamebambikizwa!!

Wanawake bana, nadhani ndio maana shetani aliamua kuwadanganya wakala lile tunda...LOL!! Alijua kwa Adamu angegonga mwamba!
 
Tena umenikumbusha! Kama wote humu wameruka viunzi kana kwamba cheaters wanajicheat wenyewe (self help), kwa nini wengi wao waliruka viunzi suala kufanya DNA test kwa watoto (tukiacha ile hoja ya kukwazwa wapoulizwa/kuelezwa suala la kufanya test. Kama kweli wanaume kwenye ndoa ndo wazinifu peke yao, basi akina mama wangechukia kuambiwa suala la DNA test ila baada ya hapo wangekuwa wa kwanza kwenda kuwa-prove wrong waume zao! Ila mhh, haya bwana, Team amepata alichokitafuta!!
 
Hahahahaha! Si umeon, hakuna hata mmoja aliyeitendea haki hii useful thread.... LOL

The Following 8 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:
Asprin (Yesterday), Baba_Enock (Yesterday), De Novo (Today), Dreamliner (Yesterday), Fidel80 (Yesterday), Lubaluka (Yesterday), Mbu (Yesterday), Roya Roy (Yesterday)
 
:help:...:angel:...😛ray2:
 
katerero bwna, ucnivunje mbavu mie, khaa!wanaume wetu hawa wa kibongo?

Dada, hebu basi wabakizie kidogo. Kwani umesahau kuwa 40% walisema kuwa wanaheshimu ndoa zao zaidi ya walivyofundishwa na Paroko? Hao unawaweka wapi?

Pia umesahau story ya dada mmoja humu jamvini kuwa dadake anamvuta mume wake masikio na mengine mengi tu. Halafu hata ungekuwa kwenye nchi nyingine ili mradi ni hapa duniani, mambo ya kuchefua nyongo yapo mengi tu. Kama washikaji zangu kule Denmark na nchi jirani, wanashikishwa adabu na wake zao. Napata taabu ku-generalise haya mambo. Ndo maana mimi na wife wangu tunavuta siku. Hata nikimtania ni vuvuzela anacheka tu kwani anajua kuwa kuna wakati analipuliza kweli kweli!!
 
nahisi baridi.......

Baridi ya nini tena B wakati ulishapigia mistari! Si ulisema wa kwako hayuko kwenye kundi hili? Sasa baridi inatoka wapi? Au unaanza kuyakatia rufaa mawazo yako?
 
Tulikuwa hospital...a new trauma case arrived...ni mwanamke in her 30s...ana conflict with her son's father but still in marriage.Aliondoka home kwa mumewe weekend kwenda beach to have fun,bila kuaga, with her boyfriend..newly dated.An accident always is not in the itinerary,boat ime crash,she lost consciousness when brought in the hospital.Ilibidi tutafute next of kin....walikuja 2 guys;her hubby and B/F....hekma ikatumika,jamaa wakamudu kuheshimiana...n both were doing their best to help the patient.

A quick diagnosis ikaonesha kuwa mgonjwa angepata permanent paralysis of the lower limbs ...hivyo angekuwa wheel-driven in the rest of her life....the B/F akaona he is not gonna sign in for that...aka quit(akasepa)...the hubby akabaki na kuonesha mapenzi ya hali ya juu kwa mkewe.

Yule mgonjwa kutokana na trauma na psychological embarrassment ,akapata seizure,tukamwita our senior Dr coz things were going out of control...aka diagnose kuwa...the paralysis was just temporary na mgonjwa can walk again after recovery.So the hubby won and the B/F lost

The wife cried alot......na sitarajii kama anaweza kuwaza ku cheat tena au kudai talaka ambayo huenda yeye ndio alisababisha huo ugomvi.

The doctors tulikuwa aside huku tuki monitor amani iendelee kuwepo among of the 3,tukihofia kuingilia mapenzi ya watu,maana hatukuweza kujua yule mgonjwa ni yupi hasa anampenda....at the end of the game tukamuusia tu yule dada,na kumpa ushauri wa kisaikolojia.

Kwa hiyo huo uongo unaofanywa na infidalator and infidalatee(if u will)....sometimes things are not in the itinerary.

Qadhi
 
Back
Top Bottom