Ahsante kwa taarifa. Sasa ikawaje ukaacha shule ukaolewa na muzee ya infidelity?na kweli anataka ku RIP , ila mi kwa sasa nashukuru sikupata BP wala Total na sitaki ku rest in peace kwa kujitakia mie bado mdogo ati.
Na ile kesi ya DNA unaikumbuka? Zile pasenti nyingi za watoto wa kubambikizwa nadhani walipewa mimba kwa uwezo wa roho!Kuna swali liliuliza kwani hii kitu wanaume wanatenda na kina nani?
Mkuu, akili za kuambiwa.....changanya na za kwako!
umeona haya mambo yenu hayana faida, huyu mzinzi kitamuuma/kitamtesa maisha yake yote.
Na ile kesi ya DNA unaikumbuka? Zile pasenti nyingi za watoto wa kubambikizwa nadhani walipewa mimba kwa uwezo wa roho!
Jichekee tu mpenzi!Manake na mie nshapita huko koote.Nilikuwa siwezi kula wala kulala hadi arudi!Na-panic,nasali sala zote! Saa hizi ndo kwanza na-enjoy fresh food,nauchapa usingizi akifika mlangoni ndo anapiga simu. Nilitaka kufungasha virago, nikagundua ndo style ya mjini hiyo!Ngoja tuendelee kubanana! Siku nyingine ndo paradise,hewalaa![/COLOR]
king'asti nimecheka mpaka nimelia....yaani hapana kabisa! jamani ndoa zina mambo,zamani nilikuwa nakaa nawaza, jamani mbona apokei, jamani mbona hajibu sms, cjui atakuwa yupo wapi/na nani saa hizi jamani jamani, nilivyomchunia hakuamini, alijirekebishaa mwenyeweeee..
nilitegemea kupata swali hili!Ahsante kwa taarifa. Sasa ikawaje ukaacha shule ukaolewa na muzee ya infidelity?
Ahsante kwa taarifa. Sasa ikawaje ukaacha shule ukaolewa na muzee ya infidelity?
Hapo kwenye bold, kama ni kweli, inaelekea mimi niko tofauti na wanaume wenzangu. Mi huwa sijutii ila huwa natafakari kilichotokea. Kama gemu lilikuwa safi huwa natafakari jinsi ya kucheza mechi ya marudino kwa mbinu na kasi mpya. Kama lilikuwa bovu, ninakuwa bize kupanga mikakati ya kumpotezea once and for all.:closed_2:Huyu jamaa tuna muda hatujaonana - lakini nadhani mpaka leo mkewe hajui "wapi mumewe alikuwa" siku mtoto wao akifariki.
Well - bila kujali "type" ya "incident" lakini kwa kawaida Mwanamume anapotembea nje ya ndoa - the next day uwa inamuuma sana and with so many regrets and vows not to repeat it again (been there done that) - BUT: Tamaa in most cases iwa inashinda dhamira safi!
Huyu bwana "aliokoka" then - not sure if he did it again - but I was told yule small-house "alihama" mji kwa hofu ya revenge kutoka kwa mke kama angejua. : Infidelity can easily cost someone's life - as simple as that!
FL1 dada yangu na binamu yangu. Hebu sema ukweli wa kutoka moyoni. Ukweli na ukweli mtupu. Hivi tangu uzaliwe hujawahi kufanya infidelity? Hujawahi kumcheat boifrend/mchumba/mume wako? Hebu sema tu ukweli, hakuna atakayekung'ata hapa!:amen:
Jichekee tu mpenzi!Manake na mie nshapita huko koote.Nilikuwa siwezi kula wala kulala hadi arudi!Na-panic,nasali sala zote! Saa hizi ndo kwanza na-enjoy fresh food,nauchapa usingizi akifika mlangoni ndo anapiga simu. Nilitaka kufungasha virago, nikagundua ndo style ya mjini hiyo!Ngoja tuendelee kubanana! Siku nyingine ndo paradise,hewalaa!
wewe mdogo kwako ana age gani? mana na mie bado mdogo pia.
Hahahaha! Hapo nimecheka kwa sauti. Mdogo mnoko kama simba aliyeibiwa mtoto......wewe mdogo kwako ana age gani? mana na mie bado mdogo pia.
Huyu jamaa tuna muda hatujaonana - lakini nadhani mpaka leo mkewe hajui "wapi mumewe alikuwa" siku mtoto wao akifariki.
Well - bila kujali "type" ya "incident" lakini kwa kawaida Mwanamume anapotembea nje ya ndoa - the next day uwa inamuuma sana and with so many regrets and vows not to repeat it again (been there done that) - BUT: Tamaa in most cases iwa inashinda dhamira safi!
Huyu bwana "aliokoka" then - not sure if he did it again - but I was told yule small-house "alihama" mji kwa hofu ya revenge kutoka kwa mke kama angejua. : Infidelity can easily cost someone's life - as simple as that!
Hapo kwenye bold, kama ni kweli, inaelekea mimi niko tofauti na wanaume wenzangu. Mi huwa sijutii ila huwa natafakari kilichotokea. Kama gemu lilikuwa safi huwa natafakari jinsi ya kucheza mechi ya marudino kwa mbinu na kasi mpya. Kama lilikuwa bovu, ninakuwa bize kupanga mikakati ya kumpotezea once and for all.:closed_2:
Haya ahsante mama!Asprin unajua nyie wanaume naona m-nacheat kama jambo la kawaida sana ...lakini mwanamke mpaka uamue kucheat nadhani mpaka ujiulize zaidi ya mara 100000000000..
Hapana Asprin ila mie nimeshaumizwa mara kibao kwenye mahusiano sitaki kuliongelea sana .
Asprin ww naona unawapotosha wenzio
Hahahaha! Hapo nimecheka kwa sauti. Mdogo mnoko kama simba aliyeibiwa mtoto......