Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Let me ask! How does infidelity starts! I’m newly wedded to spouse and I have never thought of cheating to her! Based on this little experience in my marriage it sounds so odd and disgusting having an affair out of your marriage!
What circumstantial reasons or a cause that makes a man think of having an affair! Can somebody tell us his personal story on how started and why? How do you handle that guilty after an affair! It may help others to fall in the same trap!

Where do you live bro?

It is bound to happen ! Take my cue and don't kid yourself!:A S tongue:
 
yaani kadiri mnavomimina maelezo yenu kujustify hii dhambi mnaathiri mioyo mingi sana jamani.....

ningekuwa mod ningelifunga hili lisred wapwaz n binamuz wakalime huko aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!

...Ooh maskini, nakushauri tu uache kusoma hii topic...watakuua kwa BP hawa!
 
FL1, umeona sasa kuwa hizi issue za infedelity zinakata kote kote? Sema wakina mama huwa nawahurumia kwani katika tukio kama hilo wao wenyewe huwa wanaanza kwa kujichapa red kadi kabla hata hawajaonana uso kwa uso na mwenye mali. Pia hata jamii haina yellow kadi kwa wakware wa kike. Ila wale wa kiume wanatukuzwa sana kupanuliwa empire zao! Hii dunia basi tu!

huu ni uonevu kabisa na ukiwa mwanamke ndani ya ndoa na ndoa ndio inaishia hapo,:crying:
 
halafu wao wanaona kawaidaa... mie nimcal mtu 27 times kawa mamangu mzazi...khaaa 3 znamtosha ikiambatana na kuzima cm kabisa....afie huko huko.

Mie Nyamayao nilishaacha kupiga kabisaa!giza likiingia mie makufuli,mageti n.k yoote yanafungwa!manake ni kujichoresha.Kama akipata tatizo huko,tutajua there and then!Kama ni aibu anayoyafanya ni aibu toshaaa!Uhuru wa TANU!Wasiwasi nimemuachia mama yake aliyemzaa kwa uchungu!@lol!
 
king'asti nimecheka mpaka nimelia....yaani hapana kabisa! jamani ndoa zina mambo,zamani nilikuwa nakaa nawaza, jamani mbona apokei, jamani mbona hajibu sms, cjui atakuwa yupo wapi/na nani saa hizi jamani jamani, nilivyomchunia hakuamini, alijirekebishaa mwenyeweeee..
 
jamaa tatizo lake ALIHAMIA KABISA............
hiyo si 'infidelity',it is something worse

Infidelity hutakiwi kuzidisha zaidi ya 4 hrs! Sio kuhamia namna hii:A S tongue:
Dah jamaa alikuwa ni mgeni wa Infidelity huyo
 
[/I][/B]

huu ni uonevu kabisa na ukiwa mwanamke ndani ya ndoa na ndoa ndio inaishia hapo,:crying:

Kwa sababu ndo ukweli wa maisha na ni vizuri wanawake wakaujua. Ukishaukubali, then unaadjust maisha yako ili siku zako za kuwepo nasi zitimie kwa amani. Vinginevyo utatangulia na jamaa ata-refill haraka sana.Nyamayao anao ushuhuda wa kutosha.

Dada (Nyamayao) waandikie kitabu wenzio wapate shule! Hii dunia toka mwanzo imekuwa ni HE na kwa hiyo she lazima itahangaika kupata nafasi! Ni ukweli unaouma sana kwani haya yanawapata dada/mama zetu! Inagawa rafu zao nazo huwa ni za kufunga mwaka!

Mie Nyamayao nilishaacha kupiga kabisaa!giza likiingia mie makufuli,mageti n.k yoote yanafungwa!manake ni kujichoresha.Kama akipata tatizo huko,tutajua there and then!Kama ni aibu anayoyafanya ni aibu toshaaa!Uhuru wa TANU!Wasiwasi nimemuachia mama yake aliyemzaa kwa uchungu!@lol!

Tiba siyo lazima kunywa dawa. Hii psychological therapy ni safi sana. Hakuna BP hapo na siku zinakwenda, menopause na mvi vinafika....hatimaye safari inafika ukingoni!
 
alafu a-Resti in Piis kwa BP.....

na kweli anataka ku RIP , ila mi kwa sasa nashukuru sikupata BP wala Total na sitaki ku rest in peace kwa kujitakia mie bado mdogo ati.
 
Jirani upo kumbe we li sredi babu kubwa hili! Linawaka kuliko nyasi nyikani!

Lakini madada humu mbona hawaleti zao ama za marafiki zao?

Wadada/wamama wanaweza kutenda dhambi nyingine lakini siyo hiyo ya kwetu...?????:lie:
 
kweli wewe ni dawa ya kutuliza maumivu mmmh ...
FL1 dada yangu na binamu yangu. Hebu sema ukweli wa kutoka moyoni. Ukweli na ukweli mtupu. Hivi tangu uzaliwe hujawahi kufanya infidelity? Hujawahi kumcheat boifrend/mchumba/mume wako? Hebu sema tu ukweli, hakuna atakayekung'ata hapa!:amen:
 
na kweli anataka ku RIP , ila mi kwa sasa nashukuru sikupata BP wala Total na sitaki ku rest in peace kwa kujitakia mie bado mdogo ati.

amisemea nani humu ndani kwamba kabla tanga halijavunjwa kashaweka mrembo ndani...
 
Back
Top Bottom