Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Let me ask! How does infidelity starts! I'm newly wedded to spouse and I have never thought of cheating to her! Based on this little experience in my marriage it sounds so odd and disgusting having an affair out of your marriage!
What circumstantial reasons or a cause that makes a man think of having an affair! Can somebody tell us his personal story on how started and why? How do you handle that guilty after an affair! It may help others to fall in the same trap!
 
Hivi hili li sredi bado liko hewani? Kweli Infidelity Haikwepeki lol!

Hii ni TRUE but VERY SAD story! (Apology kama mhusika naye ni member):

A friend of mine alikuwa anafanya kazi na kampuni moja kubwa hapa Tanzania - alikuwa kitengo kinachohusika na uangalizi wa mali. Aliondoka asubuhi na kumdangnya mkewe kuwa atakuwa anasafiri kikazi kwenda Makao makuu ya hiyo kampuni (yeye alikuwa kwenye branch - mikoani). Kumbe jamaa alikuwa hajasafiri bali yupo mtaani anakula raha na small-house! Huku nyuma mtoto wao mchanga akazidiwa na KUFARIKI (RIP)

Familia ikachukua all the effort kutuulisha yaliyojiri - pale ofisini kila mtu alikuwa anafahamu kuwa jamaa hajasafiri bali yupo hapo mjini - tatizo ni kwamba alikuwa amezima simu pia. Wafanyakazi wenzake walificha ili kum-cover mwenzao - huku wakiendelea kumtafuta kwenye possible "guest houses" bila mafanikio.

Huyu jamaa alipotoka "mafichoni" alipitia ofisini - kila mtu akiogopa "ku-break news" - but at the end ikabidi wamwambie: remember hii ilikuwa ni siku ya pili jioni: Jamaa alizindikizwa hadi kwake na akakuta tayari mwili umeagwa watu wanaelekea MAKABURINI!

SO SAD - BUT - IT HAPPENED :
 
Let me ask! How does infidelity starts! I’m newly wedded to spouse and I have never thought of cheating to her! Based on this little experience in my marriage it sounds so odd and disgusting having an affair out of your marriage!
What circumstantial reasons or a cause that makes a man think of having an affair! Can somebody tell us his personal story on how started and why? How do you handle that guilty after an affair! It may help others to fall in the same trap!

Eliphaz the Temanite,

Have you ever cheated your "girlfriend" before getting married to her?

There so many circumstance that leads to "cheating": and each individual has got a very unique reason(s) of falling into that TRAP. This isn't something that you can generalize - unfortunately there is no "rule-of-thumb" in handling relationships.
 
Hii ni TRUE but VERY SAD story! (Apology kama mhusika naye ni member):

A friend of mine alikuwa anafanya kazi na kampuni moja kubwa hapa Tanzania - alikuwa kitengo kinachohusika na uangalizi wa mali. Aliondoka asubuhi na kumdangnya mkewe kuwa atakuwa anasafiri kikazi kwenda Makao makuu ya hiyo kampuni (yeye alikuwa kwenye branch - mikoani). Kumbe jamaa alikuwa hajasafiri bali yupo mtaani anakula raha na small-house! Huku nyuma mtoto wao mchanga akazidiwa na KUFARIKI (RIP)

Familia ikachukua all the effort kutuulisha yaliyojiri - pale ofisini kila mtu alikuwa anafahamu kuwa jamaa hajasafiri bali yupo hapo mjini - tatizo ni kwamba alikuwa amezima simu pia. Wafanyakazi wenzake walificha ili kum-cover mwenzao - huku wakiendelea kumtafuta kwenye possible "guest houses" bila mafanikio.

Huyu jamaa alipotoka "mafichoni" alipitia ofisini - kila mtu akiogopa "ku-break news" - but at the end ikabidi wamwambie: remember hii ilikuwa ni siku ya pili jioni: Jamaa alizindikizwa hadi kwake na akakuta tayari mwili umeagwa watu wanaelekea MAKABURINI!

SO SAD - BUT - IT HAPPENED :
mbaya sana hii.........!
dah
 
Lord have mercy!...hapo huyo mzinzi ajitahidi kuficha hivyo hivyo mkewe acjegundua kama alikuwa town anafanya uasherati wake, khaa huruma kwa mwanamke mwenzangu.
 
umeona haya mambo yenu hayana faida, huyu mzinzi kitamuuma/kitamtesa maisha yake yote.
jamaa tatizo lake ALIHAMIA KABISA............
hiyo si 'infidelity',it is something worse
 
Asprin + RR sijajisikia kujibu swali hapa kwa sasa sawa eeh... chungulieni Piiiiieeeeeeemuuuuuuuuuuuuuuu zenu.
 
Hii ni TRUE but VERY SAD story! (Apology kama mhusika naye ni member):

A friend of mine alikuwa anafanya kazi na kampuni moja kubwa hapa Tanzania - alikuwa kitengo kinachohusika na uangalizi wa mali. Aliondoka asubuhi na kumdangnya mkewe kuwa atakuwa anasafiri kikazi kwenda Makao makuu ya hiyo kampuni (yeye alikuwa kwenye branch - mikoani). Kumbe jamaa alikuwa hajasafiri bali yupo mtaani anakula raha na small-house! Huku nyuma mtoto wao mchanga akazidiwa na KUFARIKI (RIP)

Familia ikachukua all the effort kutuulisha yaliyojiri - pale ofisini kila mtu alikuwa anafahamu kuwa jamaa hajasafiri bali yupo hapo mjini - tatizo ni kwamba alikuwa amezima simu pia. Wafanyakazi wenzake walificha ili kum-cover mwenzao - huku wakiendelea kumtafuta kwenye possible "guest houses" bila mafanikio.

Huyu jamaa alipotoka "mafichoni" alipitia ofisini - kila mtu akiogopa "ku-break news" - but at the end ikabidi wamwambie: remember hii ilikuwa ni siku ya pili jioni: Jamaa alizindikizwa hadi kwake na akakuta tayari mwili umeagwa watu wanaelekea MAKABURINI!

SO SAD - BUT - IT HAPPENED :

Hiii ni habari mbaya katika nilizowahi kusikia eeeh Mungu baba na mwana utusamehe sana dhambi zetu.
Kama ningekuwa mkewe na nikagundua alipokuwa nadhani huo ndio ungekuwa mwisho wa ndoa hii .
nimejisikia kumchukia sana huyo jamaa wakati simjui
 
Lord have mercy!...hapo huyo mzinzi ajitahidi kuficha hivyo hivyo mkewe acjegundua kama alikuwa town anafanya uasherati wake, khaa huruma kwa mwanamke mwenzangu.
Hapa sio suala la mke kugundua...ni guilt conciousness....
 
Teamo mwambie basi invisible au Mod afunge hii sredi naona imeanza kuhuzunisha.Asprin ulinambia wewe ni Mod fanya mambo
 
hehehe!
sikuwahi kufikiria kama hii sredi ingeshika hatamu
 
Mungu wasemehe INFEDELATORS na INFEDELEES wote.Hawajui watendalo.Ikiwezekana uwaweke ganzi kwenye sehemu za miili yao zile wanategemea sana kucheat pindi wakiwa kwenywe maeneo ya kuinfideliti ili wasiwaumize wenzi wao na wakirudi kwao wapone.
Amen.
 
Back
Top Bottom