Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Ah kwani hapa si tunasimulia matukio ya kutosahauliwa kwenye infidelity? nami kule nilikiri kuwa niliwahi kum infidelitia Mama jr! Ndo maana nimeashirikisha kutolisahau!

Ama?:twitch:
U dont need 2 xplain mbona unasomeka vizuri tu.
 
Mungu wangu!!!

Hivi nani alikuambia ukiitishwa kikao na ndugu ndio unaacha?? My experience tells me that mtu anaacha anayoyafanya kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na si ndugu hata kama angekua ni identival twin wake

heheeeee...

De nisome kwa step plz...nimemaanisha nikimbamba anafanya matuc huko nje naharibu kabisa mpaka ndugu zake waweke kikao cha kumuonya acnirudie in case akitaka kunirudia...upo nami?
 
De nisome kwa step plz...nimemaanisha nikimbamba anafanya matuc huko nje naharibu kabisa mpaka ndugu zake waweke kikao cha kumuonya acnirudie in case akitaka kunirudia...upo nami?

Una uhakika?
Tangu lini wa moja akavaa 2?
Nasema hivyo nikimaansha huwezi kuumatch uchafu wake; you go down to that level!
 
Huu msredi naona wenyewe washauchukua kama alivyosema RR. Kila la heri wenye msredi.
 
Kuna sababu nyingine De Novo traditionally mwanaume kumega nje inaonekana ni kitu cha kawaida na kwa baadhi ya watu ndio uanaume lakini kwa mwanamke ni kitendo cha aibu kubwa ndo maana huwa hawasemi na pia ndio sababu ni rahisi sana ndoa kusavaivu mume akifumaniwa kuliko mke akifumaniwa. got it?

Yeah sure, one big question.... hivi hawa wanaume huwa wanachapa simbilisi??? no, na kama ni wanawake, sasa watakua wapi hao ambao wanachapwa, si humuhumu kwenye jamii? if yes, kama mwanaume ni mimi au Teamo, kwanini huyo mwanamke asiwe ********* au *********

Two can play that game!!
 
Msiwachulie bana dada zetu humu JF ni wasafi bana.............isipokuwa Da Sophy na ............simkumbuki jina but alikuja tumhalishie kumegwa na x mume wa mtu kwa kuwa huko x wake alio kuna machungu!
 
Yeah sure, one big question.... hivi hawa wanaume huwa wanachapa simbilisi??? no, na kama ni wanawake, sasa watakua wapi hao ambao wanachapwa, si humuhumu kwenye jamii? if yes, kama mwanaume ni mimi au Teamo, kwanini huyo mwanamke asiwe ********* au *********

Two can play that game!!
Kumbuka pia wanawake ni wengi sana kuliko wanaume that means kuna wengi tu ambao hawajaolewa.
 
Kumbuka pia wanawake ni wengi sana kuliko wanaume that means kuna wengi tu ambao hawajaolewa.

Chief hi statement inatumika mara kwa mara ; naomba mnijuvye inao ushahidi wa kisayansi ama ni mapenzi yetu tu? Mfano juzi Dodoma ilifurika lakaini wale watoa huduma walikuwa wachache sana mpaka sehemu nyingine walikuwa wakishushwa tu wanachukuliwa tena! Ikanifanya nigundue upungufu wa hii kauli.
 
haa wapi, c ndio ile kuona wify mbona hana tyme nami tena, haulizwi/haojiwi/aje asubuhi sawa/hivi na vile poa....alijirudi mwenyewe, sasa ishu kama hii BHT hawezi, wengine tunakaukia kama hakuna linaloendelea wakati BHT atakuwa kajifungia chumbani anaomboleza.
We huyo ushamchoka.
 
Chief hi statement inatumika mara kwa mara ; naomba mnijuvye inao ushahidi wa kisayansi ama ni mapenzi yetu tu? Mfano juzi Dodoma ilifurika lakaini wale watoa huduma walikuwa wachache sana mpaka sehemu nyingine walikuwa wakishushwa tu wanachukuliwa tena! Ikanifanya nigundue upungufu wa hii kauli.
Hiyo ni poor distribution tu. BTW ushahidi ni sensa hii ya mwisho sorry mwaka umenitoka (nikumbushe) inaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa Bongo tu lakini kuna sehemu kama China na India huko wanawake wachache kuliko wanaume ila pia kwa sababu wanawaua kwa makusudi kwa sababu za kiutamaduni.
 
Wapenzi kama mlifanya hizi mambo huko nyuma nadhani sasa ni wakati muafaka kwenu kuacha. Za mwizi ni 40
 
De nisome kwa step plz...nimemaanisha nikimbamba anafanya matuc huko nje naharibu kabisa mpaka ndugu zake waweke kikao cha kumuonya acnirudie in case akitaka kunirudia...upo nami?
he kweli nimechapia hadi kusoma... duh!!!

Lakini n'tu wangu kama ni mimi, hata uharibu vipi... ntakupangia mpango kazi mpaka unisamehe tu, yaani hata zambarau ntaokota tena kwenye makopo ya sadolin, bila kujali mazee

Tukumbuke kwamba haya mambo yapo tu, ingawa kuyazungumzia inakua tabu maana kwa hili akina dada mmetuzidi ujanja

Nakumbuka kuna siku nilienda Belinda resort kulikua na workshop, usiku nikakuta limama linakaribia sixty linanyata kuingia room ya pembeni yangu... lilivyoniona lilipanick balaa!!! cha ajabu ni kwamba yaani ni linoko kweli kazini

sasa hapo sidhani hata kama mzee alihisi

ndo maan nkasema kuweka mambo hadharani unaweza kuta wadau weshapeleka kwa mama Jr. kesho nikapigwa buti la chembe
 
ya nini malumbano
ya nn maneno oooh
najiweka pembeni
niepushe msongamano ooh!!!
 
Sema uzoefu wako....kuwa jasiri uanze naona kila mmoja anangoja wa kulianzisha.....

Nianze nini RR ...ndoa yenyewe bado changa namna hii mwenyewe ulikuwa chairperson .unataka kuharibu ati
 
Nianze nini RR ...ndoa yenyewe bado changa namna hii mwenyewe ulikuwa chairperson .unataka kuharibu ati

aaaaaaaah mayo weeee!!!
bestlady unataka kuniambia kuna cha kuharibu hapa????
 
Chief hi statement inatumika mara kwa mara ; naomba mnijuvye inao ushahidi wa kisayansi ama ni mapenzi yetu tu? Mfano juzi Dodoma ilifurika lakaini wale watoa huduma walikuwa wachache sana mpaka sehemu nyingine walikuwa wakishushwa tu wanachukuliwa tena! Ikanifanya nigundue upungufu wa hii kauli.

Duh... MJ, kweli nimekukubali!!!!

Yaani tunasahau kwamba hata kuna wanaume pia ambao hawajaoa, na hiyo ratyion ya wanawake kwa wanaume haijafikia 3:1... labda hao wachache wanaotukirimu basi wanakua bize sasa kuridhisha wanaume wote hao tena walafi kiasi kwamba mpaka nahofia hali ya physicue zao

duh

eniwei, infidelity is here to stay
 
Back
Top Bottom