Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Nianze nini RR ...ndoa yenyewe bado changa namna hii mwenyewe ulikuwa chairperson .unataka kuharibu ati

Sorry FL1.....memory card za kichina bana hizi balaa....nisahau ujue....
 
aaaaaaaah mayo weeee!!!
bestlady unataka kuniambia kuna cha kuharibu hapa????

Bht sio kwamba kuharibu ati nimechoropoka na kugawa tundi la mzee wangu nje kiswahili nacho wakati mwingine neva bestlady it will never happen kabisa god help me
 
Bht sio kwamba kuharibu ati nimechoropoka na kugawa tundi la mzee wangu nje kiswahili nacho wakati mwingi neva bestlady it will never happen kabisa god help me
Wishing ningekua prezidaa....
 
Duh... MJ, kweli nimekukubali!!!!

Yaani tunasahau kwamba hata kuna wanaume pia ambao hawajaoa, na hiyo ratyion ya wanawake kwa wanaume haijafikia 3:1... labda hao wachache wanaotukirimu basi wanakua bize sasa kuridhisha wanaume wote hao tena walafi kiasi kwamba mpaka nahofia hali ya physicue zao

duh

eniwei, infidelity is here to stay

Si ndio hapo mkuu wangu!

Ni me do ze nidful!
 
hapo wala hujakosea kwenye red!!

mimi hili ndo huwa nahisi i gumu sana...........or rather moja kati ya magumu ya ndoa

Utajua vizuri ukiingia uwanjani. Kwa sasa endelea tu kuchota hizi paukwa pakawa!

tukiukubali ni kwamba tumehalalisha hicho kitendo, kwa binafc yangu ckubali!

Mama Infedelity ni kama mojawapo ya principles za maisha yenyewe. Kwa hiyo tungeweza kukubali kuwa kuna sex (kule mitaana) na love kwenye ndoa ingetupunguzia matatizo. Najua kwa sababu ya ubinafasi wa binadamu hii kitu inakuwa ngumu! Wanyama wametushinda kwenye hili!

Yaani Dark City ...hongera sana kama pepo wa ngono ukikunyemelea unakemea kwa jina la yesu
hata Teamo sina hakika kama hii mijambo anafanya ...labda usiusemee moyo wa mwenzio

Dada kushinda hiyo force ni kazi kweli. Kuna wakati unatamani upate ruhusa walau ya dakika 10 tu!

kuna walioingia kihivyo (1 wapo mie)...nikidhani ndio mapenzi/ninavyompenda/anavyonipenda bac ndo ndoa yenyewe hiyo, thts y cku alipo propose kwangu mie nilijonea raha/sawa kabisa...kuna wale walioingia/watakaoingia(kama wewe) wakielewa uhalisia wake lakini nao wameathirika kwa namna moja au nyingiine, hili game halitabiriki dearest.

Kweli kabisa. Kucheza hilo game ni sawa na kujilipua!

Bht sio kwamba kuharibu ati nimechoropoka na kugawa tundi la mzee wangu nje kiswahili nacho wakati mwingine neva bestlady it will never happen kabisa god help me

Assume imetokea, ungeweza kutoa ushuhuda wako hapa ili Askofu akuombee na kukurudisha kundini? Mie nikumbushe siku moja nitoe story yangu ya attempt to go to infidelity and kasheshe yake!! Mhh. hii mioyo ingekuwa transparent tungeweza ku-prove kama Nyamayao anatuzuga au la!!:humble:
 
There are currently 36 users browsing this thread. (16 members and 20 guests)

Tusikumbushane jamani, nakumbuka enzi hizo nimetoka kwenye mchakato nikapita njia nisiyoijua, nisitumbukie kwenye shimo la maji machafu yanayotoka bafuni!! balaa!! hiyo halafu yake! maelezo yake yalikuwa magumu sana! ........Hakuamini! Nilinuka vibaya sana, sisahau.
 
Assume imetokea, ungeweza kutoa ushuhuda wako hapa ili Askofu akuombee na kukurudisha kundini? Mie nikumbushe siku moja nitoe story yangu ya attempt to go to infidelity and kasheshe yake!! Mhh. hii mioyo ingekuwa transparent tungeweza ku-prove kama Nyamayao anatuzuga au la!!:humble:

Kama ingenitokea hapo nyuma ningetoa kwani kuna Israel wa kunihukumu hapa ...ndio maana hata Bible ilisema ambaye anadhani hana dhambi na awe wa kwanza kumponda yule mama jiwe ..kufumba na kufumbuka hakuna hata mmoja aliyebakia
 
cjawahi kuona mazuri yake, sana sana mnatuletea tu matatizo ndani, hivi nyie wanaume ni lini mtaamka mkaona mfanyacho sicho?...natamani iagizwe mkatwe dudu zenu, nitakuwa wa kwanza kumkata wangu!
Duh wanaume mna kazi kubwa ya ziada hiyo kitu ingekuwa inaisha kama chaki mngekoma wenyewe :yo:

...ewe mwenyezi Mungu uwasamehe kwani hawajui walisemalo 😛ray:
 
YOU CAN SAY THIS AGAIN AND AGAIN AND AGAIN AND AGAIN mkuu plasmodium
 
Brother, hujatosheka bado na nondo zilizomwagwa kwenye hii thread?

Yaani imepata coverage utadhani umetanguliza bahasha ya kaki kwa wahusika?

Anyway, ngoja ni malizie mimi kwa kisa cha dada mmoja nurse aliyejipatia talaka kiulaini! Huyo dada alidanganya siku moja kuwa yuko shift ya usiku (night) na kumuaga mume wake kwamba anaenda mzigoni. Kwa hiyo mzee ikabidi achukue usukani wa kubaki na watoto nyumbani. Huko nyuma mtoto mmoja akazidiwa ghafla na kukimbizwa haraka haraka hospitali ambapo huyo mama ndo anafanyia kazi. Baba kuuliza alipo mama watoto akaambiwa kwamba, mbona yuko off? Baba wa watu akakesha na mtoto wake. Kesho yake asubuhi ndo mama anakuja macho yamemtoka kama mjusi aliyenaswa na mlango. Baba wa watu hakumuuliza kitu bali alinyamaza wakamuuguza mtoto. Ila baada ya mtoto kupona, baba aliondoka na mwanae kimya kimya na kurudi nyumbani. Huyo mama aliona aibu kurudi kwa mumewe na kuamua kukimbilia kwako. Ndoa ikaishia hapo hapo hospitali.
 
Kuna mwingine nae ni dada yeye mmewe alikuwa haendangi kanisani hata siku moja unajua hii mikesha ya Xmas ,Ijumaa kuu na mwaka mpya Bidada kamuaga mmewe anaenda kwenye mkesha .ilipofika saa sita mtoto akaanza kuumwa baba wa watu akampakia mtoto kwenye gari na kumpitia mama wa mtoto ili waende Hosp pamoja .kufika kanisani Mlinzi anamwambia baba mbona leo hatuna mkesha na ilitangazwa kanisani jpili..
Habari ndo hiyo
 
Sina comment hapo.. Ila mmmh!
 
FL1, umeona sasa kuwa hizi issue za infedelity zinakata kote kote? Sema wakina mama huwa nawahurumia kwani katika tukio kama hilo wao wenyewe huwa wanaanza kwa kujichapa red kadi kabla hata hawajaonana uso kwa uso na mwenye mali. Pia hata jamii haina yellow kadi kwa wakware wa kike. Ila wale wa kiume wanatukuzwa sana kupanuliwa empire zao! Hii dunia basi tu!
 
Kuna mwingine nae ni dada yeye mmewe alikuwa haendangi kanisani hata siku moja unajua hii mikesha ya Xmas ,Ijumaa kuu na mwaka mpya Bidada kamuaga mmewe anaenda kwenye mkesha .ilipofika saa sita mtoto akaanza kuumwa baba wa watu akampakia mtoto kwenye gari na kumpitia mama wa mtoto ili waende Hosp pamoja .kufika kanisani Mlinzi anamwambia baba mbona leo hatuna mkesha na ilitangazwa kanisani jpili..
Habari ndo hiyo
Du!
 
FL1 are you sure unaemzungumzia hapa ni third part? Nauliza tu! 😛eep:
 
Brother, hujatosheka bado na nondo zilizomwagwa kwenye hii thread?

Yaani imepata coverage utadhani umetanguliza bahasha ya kaki kwa wahusika?

Anyway, ngoja ni malizie mimi kwa kisa cha dada mmoja nurse aliyejipatia talaka kiulaini! Huyo dada alidanganya siku moja kuwa yuko shift ya usiku (night) na kumuaga mume wake kwamba anaenda mzigoni. Kwa hiyo mzee ikabidi achukue usukani wa kubaki na watoto nyumbani. Huko nyuma mtoto mmoja akazidiwa ghafla na kukimbizwa haraka haraka hospitali ambapo huyo mama ndo anafanyia kazi. Baba kuuliza alipo mama watoto akaambiwa kwamba, mbona yuko off? Baba wa watu akakesha na mtoto wake. Kesho yake asubuhi ndo mama anakuja macho yamemtoka kama mjusi aliyenaswa na mlango. Baba wa watu hakumuuliza kitu bali alinyamaza wakamuuguza mtoto. Ila baada ya mtoto kupona, baba aliondoka na mwanae kimya kimya na kurudi nyumbani. Huyo mama aliona aibu kurudi kwa mumewe na kuamua kukimbilia kwako. Ndoa ikaishia hapo hapo hospitali.
ingekuwa album ningefikia hadhi ya PLATINUM:third::third::third::third:
 
Hivi hili li sredi bado liko hewani? Kweli Infidelity Haikwepeki lol!
 
Kuna mwingine nae ni dada yeye mmewe alikuwa haendangi kanisani hata siku moja unajua hii mikesha ya Xmas ,Ijumaa kuu na mwaka mpya Bidada kamuaga mmewe anaenda kwenye mkesha .ilipofika saa sita mtoto akaanza kuumwa baba wa watu akampakia mtoto kwenye gari na kumpitia mama wa mtoto ili waende Hosp pamoja .kufika kanisani Mlinzi anamwambia baba mbona leo hatuna mkesha na ilitangazwa kanisani jpili..
Habari ndo hiyo

FL1 are you sure unaemzungumzia hapa ni third part? Nauliza tu! 😛eep:
Kinda ask the same question. FL1 please do the needful kujibu hili swali!!!
 
Back
Top Bottom