Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
najutia ule muda nilipoteza usingizi wangu nikiomba asipatwe na tatizo kokote aliko!
Asprin ww naona unawapotosha wenzio
Kuna swali liliuliza kwani hii kitu wanaume wanatenda na kina nani?
SIO SISI...Definately kuna wengine,,,,lol hommie bana.
Haya ahsante mama!
Na nyie nyamayao, mom, na wengine hebu ungameni/toeni ushuhuda wenu hapa na Mungu awaone. Kama kweli hamjawahi kufanya infidelity tangu mzaliwe.
kwani tunazungumzia kutokea mbali kiac hicho au kuanzia tulivyojikita vitanzi?...., kwanza nadhani kwa hofu nitakamatika tu, pili u busy wa umama unanikosesha muda wa kufikiria hayo...tatu naona ananitosheleza/naridhika kwa kila jambo kutoka kwake.
hahahahaahahahahaaaaaaaaaaa! mm naona hizo zote kama za kawaida kabisa za kuwekwa lupango , kuibiwa sandors, kna moja hiyo jamani. jamaa kaenda kwa kimada kimada kaloweka nguo , inafika saa anataka kuondoka nguo mbichi , ikabidi jamaa akamue zile nguo avae, mpk karibu na home kwake .alipofika akajiingiza kwenye maji machafu halafu akaanza kupiga makelele anakabwa, majirani wakatoka kumsaidia akiwemo mkewe. akamuogesha mumewe na kumkanda maji. kesi kwisha jamaa kawini.
Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.
Jichekee tu mpenzi!Manake na mie nshapita huko koote.Nilikuwa siwezi kula wala kulala hadi arudi!Na-panic,nasali sala zote! Saa hizi ndo kwanza na-enjoy fresh food,nauchapa usingizi akifika mlangoni ndo anapiga simu. Nilitaka kufungasha virago, nikagundua ndo style ya mjini hiyo!Ngoja tuendelee kubanana! Siku nyingine ndo paradise,hewalaa!
:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.
najutia ule muda nilipoteza usingizi wangu nikiomba asipatwe na tatizo kokote aliko!
Hi sredi inavunja mbavu zangu dah,
Hahahahahahaha infidelity noma:smash:
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:Narudi kwenye ukweli kati ya wanaume na wanawake ... kuna baadhi ya wanawake wanafanya hii kitu ..kuna mifano kama mitatu minne nimeishuhudia hapa nilipo..cha msingi tumuombe mungu aondoe hili pepo la tamaa ili tuwe wakweli na waaminifu kwenye mahusiano yetu-Amen
1. Dada mmoja yeye mmewe alikuwa ni yule malaya aliyepitiliza marafiki za wife, housgirl,jirani yeye twende kazi akipata mshahara anakaa huko mpaka zinaisha .sijajua ni Frustration ndio zilimfanya aanze kufanya haya mambo...ama revenge ..mungu okoa hii ndoa
2.Dada wa pili ameolewa ila ana-do hizi mambo na Boss - sijui hapa kama boss kamshinikiza kwa ajili ya kutetea kibarua chake au inakuwaje ..mungu okoa hii ndoa
3. Dada wa tatu yeye kero za mmewe ....Kajamaa kalevi , kakinywa kenyewe mwanamke yoyote aliye mbele yake kanabeba siku moja kakajisahau kakaenda na dada poa home mkewe hakuuliza sijajua nae hapa anataka kufanya revenge au inakuwaje? mungu okoa hii ndoa
sasa basi kwa mifano hii tu ya hawa kina mama nahitimisha kwa kusema haya mambo yapo hata kwa baadhi ya kina mama /dada:A S confused:
hahahahaahahahahaaaaaaaaaaa! mm naona hizo zote kama za kawaida kabisa za kuwekwa lupango , kuibiwa sandors, kna moja hiyo jamani. jamaa kaenda kwa kimada kimada kaloweka nguo , inafika saa anataka kuondoka nguo mbichi , ikabidi jamaa akamue zile nguo avae, mpk karibu na home kwake .alipofika akajiingiza kwenye maji machafu halafu akaanza kupiga makelele anakabwa, majirani wakatoka kumsaidia akiwemo mkewe. akamuogesha mumewe na kumkanda maji. kesi kwisha jamaa kawini.
Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.
Mkuu DC mi leo sina mengi zaidi ya kukugongea haya madude............Hujalipiza kisasi walau kimya kimya? Dizaini kama hiyo inapigwa jino kwa jino au vipi?
Hii yaweza kuwa kubwa lao katika hii thread.hahahahaahahahahaaaaaaaaaaa! mm naona hizo zote kama za kawaida kabisa za kuwekwa lupango , kuibiwa sandors, kna moja hiyo jamani. jamaa kaenda kwa kimada kimada kaloweka nguo , inafika saa anataka kuondoka nguo mbichi , ikabidi jamaa akamue zile nguo avae, mpk karibu na home kwake .alipofika akajiingiza kwenye maji machafu halafu akaanza kupiga makelele anakabwa, majirani wakatoka kumsaidia akiwemo mkewe. akamuogesha mumewe na kumkanda maji. kesi kwisha jamaa kawini.
Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.