Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

najutia ule muda nilipoteza usingizi wangu nikiomba asipatwe na tatizo kokote aliko!

Ni wajibu wako kumuombea na maombi yako yalifika kwa Mungu ndio maana mpaka leo hajahamia kabisa kule small house!:A S tongue:
 
Dark City Lisa+ FirstLady1+ Baba_Enock Nyamayao+ Mom+ Kimey+ King'asti LilSun Kaizer mTz Askofu futikamba Chapakazi Mfuatiliaji Mundu Eliphaz the Temanite katelero

kheeeeeeeee pipo have mercy on your yummies and brains and vifaa vya infidelity khaaaaaaaa!!!!
 
Haya ahsante mama!

Na nyie nyamayao, mom, na wengine hebu ungameni/toeni ushuhuda wenu hapa na Mungu awaone. Kama kweli hamjawahi kufanya infidelity tangu mzaliwe.

kwani tunazungumzia kutokea mbali kiac hicho au kuanzia tulivyojikita vitanzi?...., kwanza nadhani kwa hofu nitakamatika tu, pili u busy wa umama unanikosesha muda wa kufikiria hayo...tatu naona ananitosheleza/naridhika kwa kila jambo kutoka kwake.
 
Hapana dada. Huo ndo ukweli. Safari lager ikinoga inaanzisha nyingine ila ikikukwanza unajaribu BALIMI... au wewe unasemaje?

The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
kwani tunazungumzia kutokea mbali kiac hicho au kuanzia tulivyojikita vitanzi?...., kwanza nadhani kwa hofu nitakamatika tu, pili u busy wa umama unanikosesha muda wa kufikiria hayo...tatu naona ananitosheleza/naridhika kwa kila jambo kutoka kwake.

mwambie dia haelewi huyo!
 
Mmenikumbusha wale polisi waliomuua Swetu Fundikira. Mama aliaga ameenda morogoro kikazi. Tukio limetokea saa sita za usiku, yuko na m-polisi mwingine. Wamefikishwa kituoni mama anaulizwa huyu uliyeko naye ni nani,akajibu ni mume wangu. Keshoye mume wa ndoa anakuja kituoni kumuulizia my wife wake, polisi wanamshangaa!Mama anaulizwa imekuwaje,anasema jana nilisahau,huyu ndo mume! Dizaini walijifungia humu mjini kutwa wanaitana honey,darling etc hadi ika-register kwenye medula kuwa huyo ni mume sio nyumba ndogo tena!Dada wa watu kazoea kutembea uchi,hamadi baba mkwe huyuuuu!
My take: Infidelity inahitaji uzoefu bwana, kama hukufanya kabla ya ndoa jiachie tuu uwe mtazamaji!
 
hahahahaahahahahaaaaaaaaaaa! mm naona hizo zote kama za kawaida kabisa za kuwekwa lupango , kuibiwa sandors, kna moja hiyo jamani. jamaa kaenda kwa kimada kimada kaloweka nguo , inafika saa anataka kuondoka nguo mbichi , ikabidi jamaa akamue zile nguo avae, mpk karibu na home kwake .alipofika akajiingiza kwenye maji machafu halafu akaanza kupiga makelele anakabwa, majirani wakatoka kumsaidia akiwemo mkewe. akamuogesha mumewe na kumkanda maji. kesi kwisha jamaa kawini.

Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.
 
Hujalipiza kisasi walau kimya kimya? Dizaini kama hiyo inapigwa jino kwa jino au vipi?
 
Jichekee tu mpenzi!Manake na mie nshapita huko koote.Nilikuwa siwezi kula wala kulala hadi arudi!Na-panic,nasali sala zote! Saa hizi ndo kwanza na-enjoy fresh food,nauchapa usingizi akifika mlangoni ndo anapiga simu. Nilitaka kufungasha virago, nikagundua ndo style ya mjini hiyo!Ngoja tuendelee kubanana! Siku nyingine ndo paradise,hewalaa!

tupo pa 1, mie kuna miezi 6 alinikomesha, hapo ndio nilipiga moyo konde, nilikuwa nafungasha kama wewe lakini ckutaka kwenda kupanga, nilikuwa nasubiri nimalize kibanda changu nianze lyfe upya, nikakaa nikafikiri nikapewa na mawazo mawili matatu nikachanganya na yangu, nikaona hapana, hapa hapa mpaka kieleweke, ilikuwa kama tuna act sinema humo ndani,haulizwi mtu umetokea wapi,karudi asubuhi anakuta nimemuandalia kama kawa, cjui oohh ahhhh hakuna, kasafiri haulizwi mtu kama umefika salama kama yeye hawezi sema kafika salama bac tubakie hivyo,alikoma/allijuta/aliomba msamaha mwenyewe....tunasonga na lyfe.
 
Narudi kwenye ukweli kati ya wanaume na wanawake ... kuna baadhi ya wanawake wanafanya hii kitu ..kuna mifano kama mitatu minne nimeishuhudia hapa nilipo..cha msingi tumuombe mungu aondoe hili pepo la tamaa ili tuwe wakweli na waaminifu kwenye mahusiano yetu-Amen
1. Dada mmoja yeye mmewe alikuwa ni yule malaya aliyepitiliza marafiki za wife, housgirl,jirani yeye twende kazi akipata mshahara anakaa huko mpaka zinaisha .sijajua ni Frustration ndio zilimfanya aanze kufanya haya mambo...ama revenge ..mungu okoa hii ndoa

2.Dada wa pili ameolewa ila ana-do hizi mambo na Boss - sijui hapa kama boss kamshinikiza kwa ajili ya kutetea kibarua chake au inakuwaje ..mungu okoa hii ndoa

3. Dada wa tatu yeye kero za mmewe ....Kajamaa kalevi , kakinywa kenyewe mwanamke yoyote aliye mbele yake kanabeba siku moja kakajisahau kakaenda na dada poa home mkewe hakuuliza sijajua nae hapa anataka kufanya revenge au inakuwaje? mungu okoa hii ndoa

sasa basi kwa mifano hii tu ya hawa kina mama nahitimisha kwa kusema haya mambo yapo hata kwa baadhi ya kina mama /dada:A S confused:
 
najutia ule muda nilipoteza usingizi wangu nikiomba asipatwe na tatizo kokote aliko!

mie nilisaligi kipindi cha mwanzo mwanzo, nilivyoona maruwe ruwe yameenza ndani nikasema kila mtu ajisalie kwa nafc yake.
 
Narudi kwenye ukweli kati ya wanaume na wanawake ... kuna baadhi ya wanawake wanafanya hii kitu ..kuna mifano kama mitatu minne nimeishuhudia hapa nilipo..cha msingi tumuombe mungu aondoe hili pepo la tamaa ili tuwe wakweli na waaminifu kwenye mahusiano yetu-Amen
1. Dada mmoja yeye mmewe alikuwa ni yule malaya aliyepitiliza marafiki za wife, housgirl,jirani yeye twende kazi akipata mshahara anakaa huko mpaka zinaisha .sijajua ni Frustration ndio zilimfanya aanze kufanya haya mambo...ama revenge ..mungu okoa hii ndoa

2.Dada wa pili ameolewa ila ana-do hizi mambo na Boss - sijui hapa kama boss kamshinikiza kwa ajili ya kutetea kibarua chake au inakuwaje ..mungu okoa hii ndoa

3. Dada wa tatu yeye kero za mmewe ....Kajamaa kalevi , kakinywa kenyewe mwanamke yoyote aliye mbele yake kanabeba siku moja kakajisahau kakaenda na dada poa home mkewe hakuuliza sijajua nae hapa anataka kufanya revenge au inakuwaje? mungu okoa hii ndoa

sasa basi kwa mifano hii tu ya hawa kina mama nahitimisha kwa kusema haya mambo yapo hata kwa baadhi ya kina mama /dada:A S confused:
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Asprin (Today)

Haya nyamayao, king'asti, mom, bht, lisa etc fuateni nyayo tukonklude hii yuzifuli sredi
 
I condemn infidelity and all those who embrace the whole idea

Inasikitisha sana

Teamo, Aspirin, Roya Roy, and the likes, naamini mnachangamsha tu jamvi lakini hamfanyi au hamjawahi kufanya na hata kama mmewahi kufanya hamtegemei kufanya tena.

To all, infidelity is a sign a weakness. kwamba a small thing kama makalio mazuri ya mwanamke au good physique ya mwanaume au just a mere flirting can make you go outside your marriage/relationship. kinachofuatwa nje ni kile kile kilichoachwa nyumbani hakuna tofauti unless kama mtu ana a very genuine reason ambayo itaingia in my thick skull mpaka nielewe kwa nini kafanya infidelity.
 
hahahahaahahahahaaaaaaaaaaa! mm naona hizo zote kama za kawaida kabisa za kuwekwa lupango , kuibiwa sandors, kna moja hiyo jamani. jamaa kaenda kwa kimada kimada kaloweka nguo , inafika saa anataka kuondoka nguo mbichi , ikabidi jamaa akamue zile nguo avae, mpk karibu na home kwake .alipofika akajiingiza kwenye maji machafu halafu akaanza kupiga makelele anakabwa, majirani wakatoka kumsaidia akiwemo mkewe. akamuogesha mumewe na kumkanda maji. kesi kwisha jamaa kawini.

Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.

Hujalipiza kisasi walau kimya kimya? Dizaini kama hiyo inapigwa jino kwa jino au vipi?
Mkuu DC mi leo sina mengi zaidi ya kukugongea haya madude............

The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
hahahahaahahahahaaaaaaaaaaa! mm naona hizo zote kama za kawaida kabisa za kuwekwa lupango , kuibiwa sandors, kna moja hiyo jamani. jamaa kaenda kwa kimada kimada kaloweka nguo , inafika saa anataka kuondoka nguo mbichi , ikabidi jamaa akamue zile nguo avae, mpk karibu na home kwake .alipofika akajiingiza kwenye maji machafu halafu akaanza kupiga makelele anakabwa, majirani wakatoka kumsaidia akiwemo mkewe. akamuogesha mumewe na kumkanda maji. kesi kwisha jamaa kawini.

Nyamayo , Firstlady, nilipokuja kujua nilitamani kumuuua.
Hii yaweza kuwa kubwa lao katika hii thread.
 
Back
Top Bottom