Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Hapo kwenye red ndipo ambapo huwa mnakosea na kujidanganya sana. Kungekuwa hakuna tofauti watu wasingetoka nje. Ongezeni juhudi, maarifa, utundu na ufundi muone kama infidelity zitaendelea. Tatizo mkishaolewa mnajisahau na kuwafanya waume zenu kama kaka zenu. Mnasahau huko nje kuna watu wanahitaji huduma yetu kwa ari na kiu kuu. Wanapotupata hawafanyi makosa.... Na infidelity ina kuwa ya kudumu na kudumu na kudumu.
 
nimecheka kwa huzuni...wanajipa shida sana hawa viumbe, sasa kama alikuwa najiamini kwa mkewe c angeenda hivyo hivyo mpaka home?...
 
nimecheka kwa huzuni...wanajipa shida sana hawa viumbe, sasa kama alikuwa najiamini kwa mkewe c angeenda hivyo hivyo mpaka home?...
Kwani hapa tunazungumzia kujiamini au jinsi tunavyotumia mbinu za kuzaliwa kuwapiga mabao?
 
Hawa wanaume wanadai kua hawaoni infidelees wakati infedelee wanaokutana nao ni Baa med na vichangu ambao hawajui hawajawahi kushika hata mouse( hawajui internet ni nini)
 
hapo ndipo ninapowackitikia zaidi, wewe umeonyesha juhudi gani?
 
Hawa wanaume wanadai kua hawaoni infidelees wakati infedelee wanaokutana nao ni Baa med na vichangu ambao hawajui hawajawahi kushika hata mouse( hawajui internet ni nini)
Hahahahaha! Hope mambo?
 
Hapa ni ushuhuda tu umetolewa na sio 'way forward'!
 
Halafu hiyo nimeiweka makusudi nilijua tu itazua hoja. Wengine juhudi zipo, maarifa yapo utundu na kila kitu unachosema lakini watu wengine hata hawaridhiki. sijui wafanyweje waridhike.
 
Duh hii kali ningekuwa mimi nisingerudi kwanza aibu! pili duh!!!
 
:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:

Kumbe ni baba chanja?:A S-eek:

wewe ulifikiri nani? mnatukera sana sema basi tu, hata ukiondoka utakayekutana naye ni zaidi ya yule uliyemuacha.
 
Ntaonyeshea wapi wakati muda mwingi mnakuwa mmechoka?

Jaribu kumuonyeshea kama atakuwa anaendelea kuchoka. acha visingizio onyesha juhudi zako pia
 
wewe ulifikiri nani? mnatukera sana sema basi tu, hata ukiondoka utakayekutana naye ni zaidi ya yule uliyemuacha.

umegundua eehh, dawa ni kubanana hapo hapo mpaka kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…