Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

ndio utaupatia humu humu ndani dearest!..halafu utakuwa ndio mwanzo wa ku enjoy maisha ya ndoa.

Hapo umenena NyamaYAO: Wale wanawake wanaokimbia ndoa zao kwa sababu ya kushindwa kuishi na Mume - mara nyingi huishia kwenye "dead end": We (men) were all created EQUAL: Ukimkimbia Baba_E kwenda kwa Teamo, then tegea kuendelea kukimbia maisha yako yote!

BTW: Nyamayao and all lovely ladies out there: kwenye hii thread tunaongelea "YALIYOPITA" na siyo yaliyopo na yanayoendelea: Msichukulie hii thread na kuanza kuwatizama waume zenu kwa macho ya "wasiwasi" bali mjifunze kuishi nao - walio wengi "they did that and let it go"! Sasa hivi they are responsible partners or parents - Nadhani Teamo alianzisha hii thread ili watu watoe "Their Past "wrong-doing" in the marriage life so that hata wale walio kwenye ndoa wapate kuimarika zaidi na hata wale wanaotegemea kuingia kwenye ndoa wafahamu kwamba ndoa sio lelemama

Wengine (kama mimi) hata kuingia kwenye nyumba ya kulala wageni nahisi vibaya - Wengine hata kutongoza mwanamke tulishasahau!
 
Unataka kusema wanaojua kushika mouse sio infidelitees?? Au...:A S tongue:
Nini hujaelewa hapo, mwanamke mwenye busara na aliyeelimika hawezi kufanya mambo ya kipuuzi....
Kwani wewe unaokutana nao kwenye ifidelity si machangu, bar meds, na wale wanawake ambao hawana mwelekeo, kazi kuwachuna na kulala tu...hawafikirii ya baadae....
 
ndio utaupatia humu humu ndani dearest!..halafu utakuwa ndio mwanzo wa ku enjoy maisha ya ndoa.

AISEE!!!!! yaani hili kosa huwa naliona kubwa mno na ngumu mno kwangu kumsamehe muhusika!!!! nahisi kwanza ntatoa adhabu kwa wote wawili labda huyo alofanza huu uchafu nijue alichotwa kuwa jamaa yuko available lakini kama wame-conspire kunitendea hivi mwana wa mwenzao ........I swear upon my ancestors patachimbika
 
Hawa wanaume wanadai kua hawaoni infidelees wakati infedelee wanaokutana nao ni Baa med na vichangu ambao hawajui hawajawahi kushika hata mouse( hawajui internet ni nini)

Hapana Mummy, Haya matukio yanainvolve pande mbili husika muhimu! Na matuio mengi ni memorable, ndiyo maana wengi wanazungumzia mambo yao kwa kuwataja watu wengine, lakini kiukweli muhusika ndiye anayejielezea, kwa sababu anajua kuwa akijisema tayari mambo yameharibika, kwa yale tuliyoconfess ndio hayo, mengineyo! kusema kazi sana mama!!!!!!!!:A S 39:
 
Hapo umenena NyamaYAO: Wale wanawake wanaokimbia ndoa zao kwa sababu ya kushindwa kuishi na Mume - mara nyingi huishia kwenye "dead end": We (men) were all created EQUAL: Ukimkimbia Baba_E kwenda kwa Teamo, then tegea kuendelea kukimbia maisha yako yote!

BTW: Nyamayao and all lovely ladies out there: kwenye hii thread tunaongelea "YALIYOPITA" na siyo yaliyopo na yanayoendelea: Msichukulie hii thread na kuanza kuwatizama waume zenu kwa macho ya "wasiwasi" bali mjifunze kuishi nao - walio wengi "they did that and let it go"! Sasa hivi they are responsible partners or parents - Nadhani Teamo alianzisha hii thread ili watu watoe "Their Past "wrong-doing" in the marriage life so that hata wale walio kwenye ndoa wapate kuimarika zaidi na hata wale wanaotegemea kuingia kwenye ndoa wafahamu kwamba ndoa sio lelemama

Wengine (kama mimi) hata kuingia kwenye nyumba ya kulala wageni nahisi vibaya - Wengine hata kutongoza mwanamke tulishasahau!

hayo maneno ya kutoa matumaini.........baba Eno, hii present nayo itakuja kuwa past kesho au kesholutwa kumbuka!!!!
 
Nini hujaelewa hapo, mwanamke mwenye busara na aliyeelimika hawezi kufanya mambo ya kipuuzi....
Kwani wewe unaokutana nao kwenye ifidelity si machangu, bar meds, na wale wanawake ambao hawana mwelekeo, kazi kuwachuna na kulala tu...hawafikirii ya baadae....
Mama kua uyaone. How old are you? Umeshaenda UDSM, IFM,CBE na vyuo vingine vya elimu ya juu ukastaajabu ya Musa? Au unazungumzia elimu gani hapo? FYI Infidelity has nothing to do with education. Period!
 
Mume/Mke Mwema anatoka kwa Mungu

shikamoo NYU!!! i missed u!!!

sasa najuaje huyu nado katoka kwa Mungu..........mpaka hapa mi sina mzani wa ku-verify maana kila ninyedhani katoka kwa Mungu in the end he is a devil himself!!!
 
Hakuna handle yoyote, wanawake tumeumbwa kuona, kulia na kusamehe ili siku ziende. Imagine the way it happens hivi kweli kama kila tukio tunaachana kungekuwana ndoa kweli ulimwengu huu? huyo aliyekuja kageuza vest unamsamehe vipi
 
Nini hujaelewa hapo, mwanamke mwenye busara na aliyeelimika hawezi kufanya mambo ya kipuuzi....
Kwani wewe unaokutana nao kwenye ifidelity si machangu, bar meds, na wale wanawake ambao hawana mwelekeo, kazi kuwachuna na kulala tu...hawafikirii ya baadae....

Yesu wangu, Maria Na Yusufu...........hope we jidanganye mwenzangu!!! kuna watu elimu haijawakomboa hata senti moja
 
Acha tu dada yangu Nyamayao hawa wanaume mh! sijui mungu aliwaumbaje. maana unaweza ukawa kichaa ukiwawaza sana.
siku hizi na mm walaaaaaaaaaaaaaa sijali arudi asirudi kwao alimradi watoto wangu wamekula wameshiba.
 
Mama kua uyaone. How old are you? Umeshaenda UDSM, IFM,CBE na vyuo vingine vya elimu ya juu ukastaajabu ya Musa? Au unazungumzia elimu gani hapo? FYI Infidelity has nothing to do with education. Period!

hamna batani wallah!!! knw the thing has started functioning well!!!
 
Nini hujaelewa hapo, mwanamke mwenye busara na aliyeelimika hawezi kufanya mambo ya kipuuzi....
Kwani wewe unaokutana nao kwenye ifidelity si machangu, bar meds, na wale wanawake ambao hawana mwelekeo, kazi kuwachuna na kulala tu...hawafikirii ya baadae....

Nachelea kusema hapo unakosea sana....
 
shikamoo NYU!!! i missed u!!!

sasa najuaje huyu nado katoka kwa Mungu..........mpaka hapa mi sina mzani wa ku-verify maana kila ninyedhani katoka kwa Mungu in the end he is a devil himself!!!

Marahaba

Huyo uliye naye katoka kwa Mungu! Lakini vile vile si jambo la Busara kumnyooshea Mwenzako kidole kama na wewe uko the same. But for hili suala la Infidelity Linauma sana kama wewe ni Mwaminifu 100% na Hii ni kwa both Women and Men. Kama Mmeo hafanyi hivi basi ni suala la Kumshukuru Mungu. Si wote wenye tabia hizo
 
Yesu wangu, Maria Na Yusufu...........hope we jidanganye mwenzangu!!! kuna watu elimu haijawakomboa hata senti moja
Unaonekana una busara kuliko umri wako......pia mwambie mapenzi hayana elimu
 
Back
Top Bottom