Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Jirani upo kumbe we li sredi babu kubwa hili! Linawaka kuliko nyasi nyikani!
Lakini madada humu mbona hawaleti zao ama za marafiki zao?
...wewe bana weee, hebu achana na hizo dua mbaya bana. Kina mama wakileta jinsi wanavyotudanganya mbona ndoa nyingi zitavunjika wiki hii!... DNA results ni ushahidi tosha. Ukiambiwa siku ile ulipoharibu bajeti na kumpeleka salooni ndio siku mimba ilipotungwa si tutauana bure?
Kina mama, kwa hisani zenu msiseme mnavyotudanganya, Inauma sana.
Wanawake wameumbiwa ustahmilivu wa hali ya juu, ...sie mnh!?, bado kwanza.