bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
kwanza elimu inahuckaje kwenye mapenzi? dunia mbili tofauti.
elimu ingekuwa ndo kizuizi cha uzinzi basi IFM, UDSM CBE and the like tusingeshuhudia uozo !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza elimu inahuckaje kwenye mapenzi? dunia mbili tofauti.
...wewe bana weee, hebu achana na hizo dua mbaya bana. Kina mama wakileta jinsi wanavyotudanganya mbona ndoa nyingi zitavunjika wiki hii!... DNA results ni ushahidi tosha. Ukiambiwa siku ile ulipoharibu bajeti na kumpeleka salooni ndio siku mimba ilipotungwa si tutauana bure?
Kina mama, kwa hisani zenu msiseme mnavyotudanganya, Inauma sana.
Wanawake wameumbiwa ustahmilivu wa hali ya juu, ...sie mnh!?, bado kwanza.
ni Mwake kabsaa.....naona hii thread inashika kasi !Meku niko powa, niaje?
BHT is too young for this!
BTH toka hapa kabisa...ni pabaya kwa afya yako.
sasa dearest, c mpaka umfume?...akija asubuhi au kama ulivyosoma unaenda kumchukua polic kwa sababu hii na ile utakuwa na hakika gani kama anayatenda?...penye blue, cku zote anzana na mhucka wako, leo umemfanyia vagi hiyu kesho kachota mwingine, utafanyia wangapi?...mie nitaanza na mhucka huyo mwingine kitamhusu pale atakapoingilia....kama atakuwana akili timamu atimue mbio kabisa.
hope 2:
You are completely wrong!
Kwa "uzoefu wangu" : wanawake walioelimika na wenye busara they are "worse": they normally "do it" with impunity. Percentage-Wise they can even beat the "streets girls": Naomba tusichimbe sana huko kwa maana naweza kuharibu ndoa za watu - But I'm 100% certain kwamba in they are deadly Promiscuous!
anatafuta hela ya kumtoa Pako korokoroni
Hiyo ndogo!
Vipi pale ambapo unaambiwa kwao kuna shida unatoa pesa ya kumalizia shida na zawadi ukijua kuwa zinakwenda ukweni ....................kumbe mtaa wa 7 kwa kiserengeti boi
ooh yeah hapa nazungumzia nikimbamba, and definately ntaanza na wangu, si unajua kuna wale akina Da Sophy? mi kama yule I tell u mimi na yeye..........haijalishi!!!
na mwanaume mwenye kukuheshimu/kukupenda atatumia akili zake zote za ziada ucmbambe, unadhani kwanini watu hatuwabambi japo wanafanya?....kile kipindi changu cha miezi 6 nilipokuwa nateseka, japo tulikuwa tupo tupo tu lakini cku nilipochongewa mchongo kuwa yupo mahali fulani na hawara (na yeye alijiachia akiamini malumbano tuliyokuwa nayo bac ctajali) nikaona tunavunjiana heshima, nilipotokeza pale, yeye ndio alikuwa wa kwanza kuniona, BHT nakuwambia niliona vumbi limetimuka tu funguo za gari na makorokoro yake yote aliyasahau...nimeachwa na mwizi wangu pale, nageuka nakuta na yeye anatimuka.....kesho yake alirudi nyumbani na mama nyamayao ndio maisha yakaedeea, sasa hivi hata kama anafanya atakuwa ana wacwac sana nadhani atakuwa havui suruali bali anafungua zipu tu kutoa kitu yake afanye haraka ili acbambwe....havui nguo zote kuhofia muda na kubambwa......BHT cjui nikueleze vipi.

:lying😀ah hapa umenifanya nicheke kwa sauti.....lol.....sasa hivi hata kama anafanya atakuwa ana wacwac sana nadhani atakuwa havui suruali bali anafungua zipu tu kutoa kitu yake afanye haraka ili acbambwe....havui nguo zote kuhofia muda na kubambwa......BHT cjui nikueleze vipi.
dearest nimecheka mpaka machozi yananitoka, napata picha sijui uliingia kwa mwendo gani wa pole au wa kasi lol!!!
hv nini kilimkimbiza huyo mwizi wako?? definately she knew alikuwa anakufisadi, sasa hapo mimi ndo nikukamate unafanya knowingly hapo..................staki kurudia aisee, lazima tumalizane!!
Na huo ndo utakuwa mwisho wa wewe kuwa kwenye mahusiano?
na mwanaume mwenye kukuheshimu/kukupenda atatumia akili zake zote za ziada ucmbambe, unadhani kwanini watu hatuwabambi japo wanafanya?....kile kipindi changu cha miezi 6 nilipokuwa nateseka, japo tulikuwa tupo tupo tu lakini cku nilipochongewa mchongo kuwa yupo mahali fulani na hawara (na yeye alijiachia akiamini malumbano tuliyokuwa nayo bac ctajali) nikaona tunavunjiana heshima, nilipotokeza pale, yeye ndio alikuwa wa kwanza kuniona, BHT nakuwambia niliona vumbi limetimuka tu funguo za gari na makorokoro yake yote aliyasahau...nimeachwa na mwizi wangu pale, nageuka nakuta na yeye anatimuka.....kesho yake alirudi nyumbani na mama nyamayao ndio maisha yakaedeea, sasa hivi hata kama anafanya atakuwa ana wacwac sana nadhani atakuwa havui suruali bali anafungua zipu tu kutoa kitu yake afanye haraka ili acbambwe....havui nguo zote kuhofia muda na kubambwa......BHT cjui nikueleze vipi.
dearest nimecheka mpaka machozi yananitoka, napata picha sijui uliingia kwa mwendo gani wa pole au wa kasi lol!!!
hv nini kilimkimbiza huyo mwizi wako?? definately she knew alikuwa anakufisadi, sasa hapo mimi ndo nikukamate unafanya knowingly hapo..................staki kurudia aisee, lazima tumalizane!!
nimefurahi kuskia uko mzima, mimi niko fiti kuliko kampeni za chadema.klorokwini kaka yangu wacha tu, mie cjambo kabisa, cjui wewe! yaani nachoka na haya mambo kabisa, mpaka mtoto anafariki mtu upo kwenye starehe zako?...inauma sana.
...hehehe,...nyamayao unaniacha hoi na masahiba yaliyokupata maishani.
Anyway, kwa uzoefu wangu hapo uliposema "...mwenye kukuheshimu/kukupenda atatumia akili zake zote za ziada ucmbambe, unadhani kwanini watu hatuwabambi japo wanafanya" ndio tofauti waliyonayo Cheaters wanawake compared na Cheaters wanaume.
By the time unakuja gundua Mkeo aliku cheat, tayari jua lishakuchwa na hata nguvu ya ushahidi upande wa mashtaka hakuna tena.