Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
ndio utaupatia humu humu ndani dearest!..halafu utakuwa ndio mwanzo wa ku enjoy maisha ya ndoa.
Hapo umenena NyamaYAO: Wale wanawake wanaokimbia ndoa zao kwa sababu ya kushindwa kuishi na Mume - mara nyingi huishia kwenye "dead end": We (men) were all created EQUAL: Ukimkimbia Baba_E kwenda kwa Teamo, then tegea kuendelea kukimbia maisha yako yote!
BTW: Nyamayao and all lovely ladies out there: kwenye hii thread tunaongelea "YALIYOPITA" na siyo yaliyopo na yanayoendelea: Msichukulie hii thread na kuanza kuwatizama waume zenu kwa macho ya "wasiwasi" bali mjifunze kuishi nao - walio wengi "they did that and let it go"! Sasa hivi they are responsible partners or parents - Nadhani Teamo alianzisha hii thread ili watu watoe "Their Past "wrong-doing" in the marriage life so that hata wale walio kwenye ndoa wapate kuimarika zaidi na hata wale wanaotegemea kuingia kwenye ndoa wafahamu kwamba ndoa sio lelemama
Wengine (kama mimi) hata kuingia kwenye nyumba ya kulala wageni nahisi vibaya - Wengine hata kutongoza mwanamke tulishasahau!