Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hapo kwenye red ndipo ambapo huwa mnakosea na kujidanganya sana. Kungekuwa hakuna tofauti watu wasingetoka nje. Ongezeni juhudi, maarifa, utundu na ufundi muone kama infidelity zitaendelea. Tatizo mkishaolewa mnajisahau na kuwafanya waume zenu kama kaka zenu. Mnasahau huko nje kuna watu wanahitaji huduma yetu kwa ari na kiu kuu. Wanapotupata hawafanyi makosa.... Na infidelity ina kuwa ya kudumu na kudumu na kudumu.I condemn infidelity and all those who embrace the whole idea
Inasikitisha sana
Teamo, Aspirin, Roya Roy, and the likes, naamini mnachangamsha tu jamvi lakini hamfanyi au hamjawahi kufanya na hata kama mmewahi kufanya hamtegemei kufanya tena.
To all, infidelity is a sign a weakness. kwamba a small thing kama makalio mazuri ya mwanamke au good physique ya mwanaume au just a mere flirting can make you go outside your marriage/relationship. kinachofuatwa nje ni kile kile kilichoachwa nyumbani hakuna tofauti unless kama mtu ana a very genuine reason ambayo itaingia in my thick skull mpaka nielewe kwa nini kafanya infidelity.