Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Nyamayao eti umesemaje hapa ???am vere sorry ila kwa vile ishakuwa past life ..ngoja tusonge mbele
 
hii paragrafu yako ya mwisho imebeba ukweli unaokimbiwa na wengi. msamaha wa kweli anatoa Mungu tu bana tusdanganyane. ndio maana waswahili wana msemo wa "adui liombee njaa"
 
hii dunia ina tamsilia nyingi sana, ndio maana magazeti ya udaku yana profit kubwa kuliko nyumba za ibada. mimi nimeamua kuchukulia maisha kama joke flani ili angalau niishi mpaka kuota mvi bila heart attack.

...ha ha haaa!! dah,...hii safi sana. Haya maneno nitakuwa nayasema kila siku kabla ya kulala na baada ya kuamka.
Ewe mwenyezi Mungu nisaidie!
Amen!
 
Na ukiona cheater wa kike kaanika ambo ujue hakuheshimu keshaamua liwalo na liwe na hapo ndoa yenu haina mashiko tena kwani hata suala la kumfumania kwake linakuwa halimuumizi kichwa! Hatari sana!

...aaaah, e bana wee..
yote sawa tu. Hata kama hujui, hakuna heshima hapo.
Fikiria unampeleka na kumchukua mkeo kazini kwake kwa mbwembwe na mabusu mengi ilhali wafanyakazi wenziwe wote wanajua mkeo ni chakula cha mabosi wao.
 
Usinikumbushe siku niliyorudi home nimetinga andawea ya Elizaz! Pombe bana!

Ila nilivyojitetea kwa bi mkubwa ni Mungu anajua pekee..................

Hivi hapa ulikuwa serious shemeji /binamu??:crying:
 
...aaaah, e bana wee..
yote sawa tu. Hata kama hujui, hakuna heshima hapo.
Fikiria unampeleka na kumchukua mkeo kazini kwake kwa mbwembwe na mabusu mengi ilhali wafanyakazi wenziwe wote wanajua mkeo ni chakula cha mabosi wao.

hii haivutii hata kidogo aibu
 
...aaaah, e bana wee..
yote sawa tu. Hata kama hujui, hakuna heshima hapo.
Fikiria unampeleka na kumchukua mkeo kazini kwake kwa mbwembwe na mabusu mengi ilhali wafanyakazi wenziwe wote wanajua mkeo ni chakula cha mabosi wao.

exactly!!!! hapa hakuna lilisahihi, ujue usijue haileti tofauti...utovu wa heshima ni ule ule tu

ni kama vile nisivokubaliana na mtu anyemtete mwanmke anyetembea na mume wangu eti hana makose.........watu kweli mna masihara!!!!
 
Asa unajuaje kama hakuambiwa mmetengana na ajiandae yeye awe mke! Pete zinavuliwa .......na mambo kama hayo!
 
Asa unajuaje kama hakuambiwa mmetengana na ajiandae yeye awe mke! Pete zinavuliwa .......na mambo kama hayo!

kwa case kama ya Nyamayao hapo unataka kuniambia hakujua yule ni mume wa mtu?? nini kilimkimbiza sasa........???
 
...aaaah, e bana wee..
yote sawa tu. Hata kama hujui, hakuna heshima hapo.
Fikiria unampeleka na kumchukua mkeo kazini kwake kwa mbwembwe na mabusu mengi ilhali wafanyakazi wenziwe wote wanajua mkeo ni chakula cha mabosi wao.
dah! halaf wafuasi wanakubatiza jina,wanakuita "mshika pembe". ikikukuta hii ndio utatamani ungeliumbwa mtumwa enzi za musa na faraoh.
 
Du...

Teamo: Ebu niwahi Baa Mpya - Tegeta nahisi kiu ya Bia (sijui ELIZA leo yupo nitamkuta pale?)
 
Hahahaaaa,umeniacha hoi hapo!manake sinema zipo hizi!Halafu watu wakikuona unacheka nae mnatoka pamoja weekend wana-admire!Hawajui yaliyomo ndani!Ama kweli bongo ndo home.Mi nilifikiri mwisho wa hii sinema yangu ni ma-sterling wote kufa,kumbe kuna ku-shake hands eeh!manake unamjali mtu halafu yeye anakuona unaigiza.Ama kweli nyani mzee kakwepa mishale. Mi nafikiria kutengeneza documentary kabisa niiuze, kibiashara zaidi! Kweli humu JF unapata moyo wa chuma!Manake ukijikalia mwenyewe unajisikia kama umepoteza mwelekeo vile!
 
dah! halaf wafuasi wanakubatiza jina,wanakuita "mshika pembe". ikikukuta hii ndio utatamani ungeliumbwa mtumwa enzi za musa na faraoh.

hahaaa umenikumbusha 'vimbwete' lol

pemebe ushike wewe wenzio wakamue maziwa na usiyanywe............
 
...aaaah, e bana wee..
yote sawa tu. Hata kama hujui, hakuna heshima hapo.
Fikiria unampeleka na kumchukua mkeo kazini kwake kwa mbwembwe na mabusu mengi ilhali wafanyakazi wenziwe wote wanajua mkeo ni chakula cha mabosi wao.

Mie hayo mabusu ya ofisini nayakwepa kabisa.manake safari za kikazi ndo mtu anabeba nyumba ndogo kabisaaa!Hao madereva wa ofisi woote wananiita shemeji!Haitwi mtu shemeji hapa,si mama zao nao waliwapa majina,eboo! Manake ni kuchoreshana tuu. Hii thread imekuwa uzi kwelikweli!Alamsiki!
 
Hawa wanaume wanadai kua hawaoni infidelees wakati infedelee wanaokutana nao ni Baa med na vichangu ambao hawajui hawajawahi kushika hata mouse( hawajui internet ni nini)

Hapa ume-over simplify. May be ni strategy ya kusogeza siku. Kama ni baa maid basi hizo kesi zisingekuwepo kwa mkemia kufanya DNA test kwa sababu wanawake dizaini hizo ni mara chache sana kukubali biashara ya kuzaa!

Ntaonyeshea wapi wakati muda mwingi mnakuwa mmechoka?

Halafu chakula unapowa kwa kipimo cha robo ya robo! Mhh, nakwambia kushindana na nguvu ya infidelity ni zaidi ya kupambana na simba:sick:

Can you say it again? May be uko under 18 kwani Nyamayao et al hawawezi kutoa kauli ya ajabu kama hiyo!

exactly!!!! hapa hakuna lilisahihi, ujue usijue haileti tofauti...utovu wa heshima ni ule ule tu

ni kama vile nisivokubaliana na mtu anyemtete mwanmke anyetembea na mume wangu eti hana makose.........watu kweli mna masihara!!!!

Hii ni sawa tu ana makosa tena dhambi ya mauti. In case hata wewe (just an example, it can not happen with u ..) unachoropoka na mume wa mtu una case ya kujibu mbele ya pilato!
 
Thats why I wanted to here a personal story! Things of the like! Think of a happily married man in good terms with his wife! How could it be possible to just sleep with another woman and you come here with your story as if it is something normal! It seems like we legalizing this thing here!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…