Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
unajua kiongozi haya mambo huwa yanatokea tu. Ukishakuwa na maeksipiriensi ya kucheat wala hata huumizi kichwa!!
Sikiliza hii tena:
Unafanya kazi za shifti. Ukiwa zamu ya usiku unachukua sicksheet unakamata eds zako mbili. Night shifti unaipiga gesti na dasophy. Kumbe mtaani majambazi yamefanya vitu vyao. Polisi wanafanya msako nyumba za wageni. Wote waliokuwa gesti ambao si mke na mme wanapelekwa lupango. Kasheshe ni kuwa polisi mmoja wa kike ni rafiki yake na waifu wako..............kama huna uzoefu hapo ndoa si ndio kwishnei? Sasa ulizia kazi iliyofanyika hapo............!
Sasa ulizia mchezo ulivyochezwa hapo........
yesu rudiii....