Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Ngoja niwahi siti ya mbele
 
Unachanganya sana mambo
 
Kama yale ni ya mola, basi there is no hope for the future. That creature called allah/mola is insane, has no brain.
Who told you kwamba Allah the exalted one anahitaji 3d thing like brain ? Mbona unamvunjia heshima? Yaani mungu awe na ubongo kwani amekuwa binadamu au mnyama au mdudu? Yaani unamfananisha na viumbe alivyoviumba?

Na kingine mbona jelly fish hana ubongo lakini werevu wake hatuuoni?
 
nani alikuja na huo uthibitisho ikiwa huyo huyo adam ndo mtu wa kwanza kuumbwa(au kulikuw na mtu pemben aliyeona adam akiambiwa asitende mabaya)
Ni maandiko yanavyosema kwny biblia. Biblia iliandikwa na watu wakiongozwa na roho wa Mungu akiwafunulia mambo yalivyokuwa.
 
Jelly fish angetoa maelekezo yangekua bora zaidi kuliko yaliyotolewa na mola, zero kabisa.

Brain nayomaanisha ni ile thinking, reasoning. So mola kama kiumbe ama kitu chenye superiority knowledge and wisdom asingeweza kutoa maelekezo hovyo namna ile ambayo yanaweza kua challenged na kiumbe wake mwenyewe, haiwezekani.

Binadamu mwenyewe asingeweza kuandika ule uharo, halafu the all knowing akaja kutoa maelekezo mufilisi wa ajili namna ile, noo way.
 
Hapo ndipo mimi hupata utata. "Mungu ana upendo kwa watu ndiyo maana alitoa uhuru wa kumfuata au kutokumfuata" .

Mtu unayempenda unampa kitu aonje ili ajue kama ni sumu au si sumu, kweli??? Akionja halafu ikawa ni sumu afe je? Ndo upendo.

Kama kweli mungu ni pendo na anatupenda angetupa mema tu bila mitihani.

Leo hii tunaibiwa kupitia jina lake, lakini yeye hafanyi lolote. Ni upendo gani huo?
 
Nimechanganya yapi?
Yote unachanganya ngoja nikupe mfano kuna sehemu ulisema:

Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani


Shetani hakutupwa hapohapo kwa mfano kipindi cha Ayubu, kuna maongezi kati ya Mungu na Shetani na yanaonyesha Shetani alikuwa bado mbinguni

AYUBU 1:6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao. BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe?

Shetani alikuja kutupwa baadaye sana kitabu cha Ufunuo kinasema hivyo. Kwa kifupi unayajua kidogo maandiko lakini hauyaelewi
 
Inaonesha hata hujaisoma post yangu.

Kwaheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…