Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Ngoja niwahi siti ya mbele
 
Unachanganya sana mambo
 
Kama yale ni ya mola, basi there is no hope for the future. That creature called allah/mola is insane, has no brain.
Who told you kwamba Allah the exalted one anahitaji 3d thing like brain ? Mbona unamvunjia heshima? Yaani mungu awe na ubongo kwani amekuwa binadamu au mnyama au mdudu? Yaani unamfananisha na viumbe alivyoviumba?

Na kingine mbona jelly fish hana ubongo lakini werevu wake hatuuoni?
 
nani alikuja na huo uthibitisho ikiwa huyo huyo adam ndo mtu wa kwanza kuumbwa(au kulikuw na mtu pemben aliyeona adam akiambiwa asitende mabaya)
Ni maandiko yanavyosema kwny biblia. Biblia iliandikwa na watu wakiongozwa na roho wa Mungu akiwafunulia mambo yalivyokuwa.
 
Who told you kwamba Allah the exalted one anahitaji 3d thing like brain ? Mbona unamvunjia heshima? Yaani mungu awe na ubongo kwani amekuwa binadamu au mnyama au mdudu? Yaani unamfananisha na viumbe alivyoviumba?

Na kingine mbona jelly fish hana ubongo lakini werevu wake hatuuoni?
Jelly fish angetoa maelekezo yangekua bora zaidi kuliko yaliyotolewa na mola, zero kabisa.

Brain nayomaanisha ni ile thinking, reasoning. So mola kama kiumbe ama kitu chenye superiority knowledge and wisdom asingeweza kutoa maelekezo hovyo namna ile ambayo yanaweza kua challenged na kiumbe wake mwenyewe, haiwezekani.

Binadamu mwenyewe asingeweza kuandika ule uharo, halafu the all knowing akaja kutoa maelekezo mufilisi wa ajili namna ile, noo way.
 
Kwa hiyo hayo ndio matukio yanayoonyesha Uongo katika vitabu vya dini?

Unajua maana ya Uongo lakini?

Kitu kuwa na mkanganyiko hakukifanya kitu hicho kuwa Uongo.
Unachojaribu kuelezea hapo ni mkanganyiko uliokuwa katika Akili yako. Na wala hujaelezea uongo wa vitabu vya Dini.

Mungu kuwa mjuzi WA yote, alpha na omega hakumfanyi asiumbe nguvu Hasi na nguvu chanya.
Shetani ni nguvu Hasi tuu ambayo ameiumba Mungu.
Hivyo uwepo wa Shetani pia ni mpango wa Mungu.

Mungu ni Upendo ndio maana aliumba wema na ubaya.
Ili wanaopenda wema wafuate mambo Mema, wanaopenda mabaya wafuate mambo mabaya.

Unapojadili ishu ya Mungu tofauti na mawazo yako ya kitoto na kibinadamu.
Alafu unapaswa angalau uelewe Kwa uchache elimu ya ulimwengu huu hasa physics, biology, geography, mathematics, chemistry, Philosophy (hasa Theology) n.k.
Kama huna Uelewa na mambo hayo, Mungu hutamuelewa.

Umesema Kwa nini Adamu hakuambiwa habari za uwepo wa Shetani,
Kwani Shetani yupo wapi? Shetani ni roho(nguvu Hasi ambayo kiumbe mwenye utashi Kama binadamu au Majini wanayo ndani yake)
Hivyo usijefikiria kuwa Shetani alifika physical pale Edeni.

Ni Sawa uende kuiba, Ile nguvu inayokusukuma kuiba ndio huitwa Shetani yaani uasi/nguvu Hasi. Na kamwe huwezi muona Shetani
Hapo ndipo mimi hupata utata. "Mungu ana upendo kwa watu ndiyo maana alitoa uhuru wa kumfuata au kutokumfuata" .

Mtu unayempenda unampa kitu aonje ili ajue kama ni sumu au si sumu, kweli??? Akionja halafu ikawa ni sumu afe je? Ndo upendo.

Kama kweli mungu ni pendo na anatupenda angetupa mema tu bila mitihani.

Leo hii tunaibiwa kupitia jina lake, lakini yeye hafanyi lolote. Ni upendo gani huo?
 
Nimechanganya yapi?
Yote unachanganya ngoja nikupe mfano kuna sehemu ulisema:

Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani

Shetani hakutupwa hapohapo kwa mfano kipindi cha Ayubu, kuna maongezi kati ya Mungu na Shetani na yanaonyesha Shetani alikuwa bado mbinguni

AYUBU 1:6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujiweka mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao. BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe?

Shetani alikuja kutupwa baadaye sana kitabu cha Ufunuo kinasema hivyo. Kwa kifupi unayajua kidogo maandiko lakini hauyaelewi
 
Sasa Mkuu, Nani kasema huyo Malaika mtoa roho anaitwa izrael Ka sio ninyi Waislam?
Kwamba Mimi hapa leo ndio nimemtungia jina huyo Malaika na kumuita Izrael?
Mimi nimeeleza wazi hapo kuwa Quran haijataja Personal name ya huyo Malaika lakini waarabu ndio walimpa nickname hiyo

Wakristo wamelipata Hilo jina kutoka kwenu Waislam, na wala sio kwamba Wakristo au dini zingine wamejitungia Hilo jina.

Hayo maelezo yote uliyoyatoa hayakuwa na maana yoyote kwani hata Mimi nafahamu kuwa Quran haijataja jina la huyo Malaika mtoa roho isipokuwa Cheo na kazi yake.
Inaonesha hata hujaisoma post yangu.

Kwaheri
 
Back
Top Bottom