Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

😂😂😂 see this is why nawaambiaga watu bangi si nzuri.

Post chache nyuma umesema maelezo yaliyotolewa kwenye quran yanaonesha Mungu hana ubongo(naudhubillah) nikakupa mfano wa jelly fish asiye na ubongo nikakuuliza mbona werevu wake hatuuoni .

Ukaja na hii kwamba ubongo unaoongelea wewe unamaanisha reasoning kwamba ,jelly fish angeandika maelezo yangekuwa na mantiki kuliko Mungu (naudhubillah) kwenye logic and reasoning hii tunaita LOGICAL NON SEQUITUR PHALLACY. 😂😂😂

Yaani umetumia ubongo kama source of reasoning halafu uka rule kwamba bila ubongo ndo reasoning hapo hapo ukamtenga jelly fish asiye na ubongo kwamba ana reasoning yaani YOUR PREMISE ARGUMENT AND FINAL CONCLUSION ARE CONTRADICTING EACH OTHER .

HALAFU MTU MWENYE MAWAZO KAMA YAKO NDO UNATAKA KUMKOSOA MUNGU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 you made my day .

Kuna mfano pia ulitumia wa AND logic ku support point yako ukasahau kuna OR na pia XOR logic ambazo tukizitumia tunapinga ulichokiandika nili ku quote ils sijaona response yako
 
Kabla ya Binaadamu, kulikua na viumbe wengine waliokua wakiishi, miongoni mwao ni pamoja na huyo Satan, but Mungu(Allah) hakuumba tu binaadamu akamwacha huru akaamua kutupatia mitihani ili tukifaulu basi twende akupendako na kuzuri kwetu.
Ni kama vile nyie wasomi mnavosajili Watoto hafi unampatia madini kichwan atalipa na ADA kabisa lakini unamficha kwenye mitihani na akifaulu unampeleka tena hatua inayofata hadi afike pazuri.
Kuna la kujifunza kwenye kila sababu ya Kutaka kurahisishiwa kuishi bila vikwazo vya Kiungu.
 
Sayansi ni muendelezo ndio maana wamekuja na nini kilikuwa nyuma na kabla ya big bang msome steve hawking.
Sema weng kwa kuwa hamko updated mnadhani big bang ndio mwisho wa sayansi
 
Hiyo umesema wewe, nikuulize swali nani aliyeziumba hizo sayari nyingine
Law ya cause and effect
Ukiamin kila kitu kina sababu mwisho nitakuulza Mungu ameumbwa na nan sababu iliyomfanya Mungu akaepo(what was the cause of first cause).
Sayansi iko imeeleza vzuri kabsa big bang ambayo ni explosion ya compacted massive mass.
Ukiniuliza nini kilasababisha big bang ni high pressure iliyokuwepo baada ya hyo contraction sawa tu na sababu ya mlipuko wa volcano.
 
Ayo ni majibu ya kiuni kwanin hiyo high pressure haitokei sahivi na kwanin hizo sayari nyingine hazina ozone layer kama dunia
 

Umenena vyema Kabisa,
Ndio maana tangu mwanzo nikasema kwenye Quran jina la Malaika mtoa roho halijatajwa.

Tukirejea kwenye hoja,
Ikiwa Quran inamtaja Malaika mtoa roho, je vipi aliyepewa mamlaka ya kurudisha roho za wanadamu? Je Quran imemtaja?


Maana Kwa upande wa Biblia imemtaja Yesu Kristo ndiye atakayesimamia shoo
 
Ayo ni majibu ya kiuni kwanin hiyo high pressure haitokei sahivi na kwanin hizo sayari nyingine hazina ozone layer kama dunia
Duuh!!!
Steve hawking aliweka waz kuwa watu ni rahisi kuamini vitabu vya dini sababu sayansi hasa physics sio kila mtu anaweza kuilewa.
Kwani volcano huwa inatokea kila siku!?
Unajua ulimwengu unapanuka kwa kasi ya mwanga!?
Sayansi ina ushahidi dini ukiulizwa ushahidi unasema bible imesema au Quran imesema.
Kati ya dini na sayansi nan mhuni hapo!?
 

Lakini hizo ngano na ngonjera nazo ni rejea.

Hata hivyo hoja yangu haikuwa katika jina la huyo Izrael, Bali majukumu yake, na ndio nikakuuliza Kwa mujibu wa Quran Nani kapewa jukumu la kufufua roho za wafu?
Hiyo ndio hoja yangu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…