Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
Huyawahi kuniangusha. Ila unazungumziaje hii mikanganyiko iliyopo ndani ya biblia takatifu?
 
Sayansi ni muendelezo ndio maana wamekuja na nini kilikuwa nyuma na kabla ya big bang msome steve hawking.
Sema weng kwa kuwa hamko updated mnadhani big bang ndio mwisho wa sayansi
Nah! I am well aware mzee elimu yangu juu ya haya mambo naiamini hawkings ukitoa ku study wormholes(einstein-rosen bridges ) study yake ya origin of the universe imeegemea zaidi kwenye string theory sitaingia ndani zaidi ila in short aliwahi kusema haya

" I think the universe was spontaneously created from nothing accoding to the laws of science"

String theory in brief

hawkings ameelezea nature ya universe kwa ku replace every single force and matter with strings ambazo zina vibrate na ku twist in such a way that to the observer zinaonekana kama ni some particles ,na hizi strings zinapo interact with each other zinasababisha breaking of the universal symmetry ambapo at that point of breaking ndo kunazaliwa universe nyengine .

Na hiyo ndiyo string theory in brief ☝️☝️

Hivi unajua kuwa NASA wameshafanya experiment ambayo ime i weaken string theory na siku zijazo tutaiondoa kabisa katika theories of origin and nature of the universe google hili neno "NASA's Chandra X-ray Observatory".

So sidhani kama itakuwa ni jambi la busara kutumia weakened theory ku prove something lets be better.

Mkuu hebu tuelezee nature ya hizo strings alizoziongelea stephen hawkings?? How did they come to existance??!!
 
Lakini hizo ngano na ngonjera nazo ni rejea.

Hata hivyo hoja yangu haikuwa katika jina la huyo Izrael, Bali majukumu yake, na ndio nikakuuliza Kwa mujibu wa Quran Nani kapewa jukumu la kufufua roho za wafu?
Hiyo ndio hoja yangu hapo.
Kila kiumbe kitakufa atabakia YEYE MOLA MLEZI BWANA WA VIUMBE VYOTE, ni yake YEYE KAZI YA KUWAFUFUA WOTE TOKA WA MWANZO HADI WA MWISHO....

Je unashangaa kazi ya kufufua na haushangai kazi ya kuumba bila kuwa na MFANO [Prototype]?? Kipi ni chepesi zaidi kwake aliyeumba BILA MFANO, akaumba mbingu na ardhi bila NGUZO, akawaumba viumbe kwa Pairs [Male and female] rangi na vimotofauti, akatunyeshelezea mvua katika ardhi kwa kipimo maalum, kila kimoja akakijaalia njia yake ya kupata riziki...

"........Ametukuka Allah mbora wa waumbaji"
 

Mimi sijashangaa chochote kufufua watu, Ila nashangaa mungu wa Quran jukumu la kutoa roho kampa Malaika mtoa roho, lakini jukumu la kufufua hajatoa maelezo yoyote kwamba Nani amempa jukumu Hilo.


Kwa kukusaidia tuu,
Mungu MUWEZA WA YOTE Kama alivyotoa mamlaka na uweza Kwa baadhi ya viumbe wake kama vile kuleta watu Duniani, kuondoa watu Duniani, ndivyo kuna mhusika aliyepewa power ya kufufua wafu wote ikiwemo Mtume Muhammad SWA.
Mhusika huyo anafahamika kama Yesu Kristo.

Unaweza ukanieleza kitabu cha Injili lengo lake kuu NI lipi Kwa Wanadamu? Kwa mujibu wa uislam.
Maana kila kitabu kina lengo kuu
 
Huyawahi kuniangusha. Ila unazungumziaje hii mikanganyiko iliyopo ndani ya biblia takatifu?

Biblia na Quran vyote ni vitabu vya kibinadamu vinavyomuelezea mungu wa jamii hizo mbili.
mungu wa Biblia aitwaye Jehovah,
Na mungu wa Quran aitwaye Allah ambaye ni mungu wa waarabu hata kabla haijaja hiyo Quran yenyewe,.

Mikanganyiko inatokana na Dini hizo zinavutia jamii zao zaidi, sio ajabu ukasikia Muislam anajifunza Kwa bidii Quran Ajue kiarabu Kwa Imani kuwa ndio lugha ya peponi au atakayohojiwa kaburini Jambo ambalo ni Uongo wa mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…