Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Mfano; Niambie kwenye bibilia WAPI PAMEELEZWA KWA KINA SUALA LA MIRATHI au wale wanaoweza kuoana kisheria halafu ulinganishe na Qur'an.... UTAJUA HIVI NI VITU VIWILI TOFAUTI...

😀😀😀
Mkuu hivi ni kweli hujui kuwa Mirathi na talaka vyote vipo kwenye Torati ya Musa?

Hizo sheria zote za kiislam sijui mavazi, sijui Usafi, sijui chakula, sijui mipaka vyote vipo kwenye Torati ya Musa.

Ndio maana nikakuambia kuna sehemu wazazi wako au hao waliokufundisha Ukristo walikufanyia makosa makubwa.

Alafu mbona hata kwenye maandiko yangu nilishawahi fafanua Jambo Hilo.

Zingatia, sijadiliani na wewe ili uwe Mkristo au myahudi au Muislam Kwa maana hayo yote hayana maana yoyote😊😊.
La maana ni kumjua Mungu Kwa usahihi.
Usije ukadanganya ati dini au dhehebu Fulani ndilo Bora😀😀 hivyo ni Kama vyuo tuu.

Nilikuuliza swali sababu za kuacha Ukristo ili nijue kipi unachokitafuta na sio ili urudi kwenye Ukristo.
SASA umeanza kunieleza mapungufu ambayo Kwa wakati ule au hata sasa ulidhani Ukristo unanayo,

Mirathi, talaka, ndoa,vyakula, mavazi, ibada vyote vimeelezewa katika Biblia.
Ngoja nikurejesha Kwa Musa mtoto wa Lawi
 
Maswali ya Bibilia yajibiwa
Menu icon

SWALI

Biblia inasema nini kuhusu wazazi wanaoacha urithi kwa watoto wao?​

JIBU

Urithi ulikuwa zawadi ya heshima na msaada uliotolewa na mwanaume kwa wanawe (na wakati mwingine mabinti). Ilikuwa ya kutoa mahitaji na kushughulikia hali ya familia. Matukio mengi ya urithi katika nusu ya kwanza ya Agano la Kale hurejelea Mungu kutoa Nchi ya Ahadi kwa Waisraeli — Baba wa Mbinguni anawapatia wanawe na binti zake. Kwa sababu ardhi ilitolewa na Mungu kwa familia binafsi, watu hawakuruhusiwa kutupa ardhi yao kabisa. Ikiwa walihitaji kuuza, ilikuwa irudishwe wakati wa mwaka wa Jubilei (Mambo ya Walawi 25: 23-38). Biblia ilitoa miongozo maalum ya kurithi mali ya familia: mwana wa kwanza alikuwa na urithi wa sehemu mbili (Kumbukumbu la Torati 21: 15-17); kama hakuwa na wana, binti waliruhusiwa kurithi nchi ya baba yao (Hesabu 27: 8); kwa kukosekana kwa warithi wa moja kwa moja, mtumishi aliyependekezwa au jamaa wa mbali zaidi anaweza kurithi ardhi (Mwanzo 15: 2; Hesabu 27: 9-11). Kwa wakati wowote nchi inaweza kupita kwa kabila jingine. Njia ya kupitisha ardhi ilikuwa kuhakikisha familia iliyopanuliwa ina njia ya msaada na uhai. Urithi ulidhaniwa, na tu Mithali 13:22 inazungumzia juu yake kama uzuri fulani.

Credit: Got Questions
 
Ukinijibu masuala haya Kwa ufasaha ntaona unahoja za Msingi.

1. Yusufu ni kabila au taifa gani?
2. Kabla Muhammad hajaja hapakuwa na Stori za Yusufu?
3. Kwa mujibu wa Historia, Mungu WA kabila la Yusufu au taifa alilotokea Yusufu anaitwa Nani?

Kwa kukusaidia kukujibu,
1. Yusufu ni mwebrania, mtoto wa Yakobo, Mungu wao ni Yahwe mpaka hivi leo.
Huyo Allah sio mungu wa Waebrania wala watoto wa yakobo(waisrael)
Huyo Allah mungu wa waarabu hana uhusiano wowote na waebrania wala waisrael.
Yaani alichofanya ni Plagiarism.

2. Muhammad kazikuta Stori za Yusufu na akaziacha, hatuwezi kumtumia yeye Kama Reference ikiwa mwenyewe ni Kama Sisi tuu.
Yaani ni Sawa na Hawa wanaojiita mitume mfano Mwamposa kakuta Stori za kina Yesu alafu waanzishe dini zao alafu kizazi cha kijinga kinachokuja kiichukulie Stori za Mwamposa ATI ndio msingi wao Mkuu wa Rejea😀😀.

Huwezi ukawa umezaliwa umekuta Stori Fulani alafu wewe uka-imodify ukaiita hiyo stori ni yako alafu yakweli😂😂

3. Kihistoria Allah ni mungu wa waarabu wa kabila la kurdi hata kabla Mtume hajazaliwa,
Hata kuabudu ijumaa waarabu walikuwa wanaabudu miungu hapo Makka hata kabla ya Mtume kuzaliwa.
Ndio maana nikakuambia kabla hujaingia kwenye dini Fulani lazima uijue dini hiyo na historia yake vizuri.

Embu jaribu kuondoa maandiko yote ambayo Quran imeyaiba kwenye Biblia au maandiko ya kiyahudi alafu uone hiyo Quran unayoiamini itabakiwa na Jambo lipi zito.
Mpaka uelewe it's too hard

Tufanye una hoja ya Msingi, mbona basi bibilia imeshindwa kuwaongoza kuwaishi hao mitume ikiwa wasema kweli? LEO NGUZO YA 5 KATIKA DINI YA KIISLAM NI HIJA ambayo ndani yake insambata na kuchinja kikienziwa KITENDO CHA NABII WA ALLAH IBRAHIM kumchinja mwanaye wapekee na badala yake MUNGU akamletea kondoo na akaamrishe wote watakaomfuatia watekeleze hilo!! WAPI BIBILIA INATUELEKEZA HILI AU WAPI WASIOKUWA WAISLAM WANALITEKELEZA HILI? Au ni kuimba tu IBRAHIM BABA WA IMANI BASI?

Msingi ni kuwa mfanano wa INJILI NA QUR'AN kwenye baadhi ya maeneo ni kwa sababu VINA ASILI MOJA ILA INJILI ILISHAINGIZWA VYA WANADAMU NA NDIYO MAANA MUNGU AKALETA QUR'AN KAMA FINAL REVELATION.

KAMA ALIVYOFANYA KWA TORATI BAADA YA ZABURI NA INJILI BAADA YA TORATI.
 
😀😀😀
Mkuu hivi ni kweli hujui kuwa Mirathi na talaka vyote vipo kwenye Torati ya Musa?

Hizo sheria zote za kiislam sijui mavazi, sijui Usafi, sijui chakula, sijui mipaka vyote vipo kwenye Torati ya Musa.

Ndio maana nikakuambia kuna sehemu wazazi wako au hao waliokufundisha Ukristo walikufanyia makosa makubwa.

Alafu mbona hata kwenye maandiko yangu nilishawahi fafanua Jambo Hilo.

Zingatia, sijadiliani na wewe ili uwe Mkristo au myahudi au Muislam Kwa maana hayo yote hayana maana yoyote😊😊.
La maana ni kumjua Mungu Kwa usahihi.
Usije ukadanganya ati dini au dhehebu Fulani ndilo Bora😀😀 hivyo ni Kama vyuo tuu.

Nilikuuliza swali sababu za kuacha Ukristo ili nijue kipi unachokitafuta na sio ili urudi kwenye Ukristo.
SASA umeanza kunieleza mapungufu ambayo Kwa wakati ule au hata sasa ulidhani Ukristo unanayo,

Mirathi, talaka, ndoa,vyakula, mavazi, ibada vyote vimeelezewa katika Biblia.
Ngoja nikurejesha Kwa Musa mtoto wa Lawi
🤣🤣🤣🤣

Issue ni content ya hizo mada kwenye rejea hizo mbili......

Mbona siyo ngumu...
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Safi sana. Tuletee na qouran.
 
Maswali ya Bibilia yajibiwa
Menu icon

SWALI

Biblia inasema nini kuhusu wazazi wanaoacha urithi kwa watoto wao?​

JIBU

Urithi ulikuwa zawadi ya heshima na msaada uliotolewa na mwanaume kwa wanawe (na wakati mwingine mabinti). Ilikuwa ya kutoa mahitaji na kushughulikia hali ya familia. Matukio mengi ya urithi katika nusu ya kwanza ya Agano la Kale hurejelea Mungu kutoa Nchi ya Ahadi kwa Waisraeli — Baba wa Mbinguni anawapatia wanawe na binti zake. Kwa sababu ardhi ilitolewa na Mungu kwa familia binafsi, watu hawakuruhusiwa kutupa ardhi yao kabisa. Ikiwa walihitaji kuuza, ilikuwa irudishwe wakati wa mwaka wa Jubilei (Mambo ya Walawi 25: 23-38). Biblia ilitoa miongozo maalum ya kurithi mali ya familia: mwana wa kwanza alikuwa na urithi wa sehemu mbili (Kumbukumbu la Torati 21: 15-17); kama hakuwa na wana, binti waliruhusiwa kurithi nchi ya baba yao (Hesabu 27: 8); kwa kukosekana kwa warithi wa moja kwa moja, mtumishi aliyependekezwa au jamaa wa mbali zaidi anaweza kurithi ardhi (Mwanzo 15: 2; Hesabu 27: 9-11). Kwa wakati wowote nchi inaweza kupita kwa kabila jingine. Njia ya kupitisha ardhi ilikuwa kuhakikisha familia iliyopanuliwa ina njia ya msaada na uhai. Urithi ulidhaniwa, na tu Mithali 13:22 inazungumzia juu yake kama uzuri fulani.

Credit: Got Questions
Ninakusudia content ya kwenye bibilia na Qur'an ni mbingu na ardhi.

Yaani zinatofautiana sana. Qur'an imetaja wanaotakiwa kurithi ni akina nani, viwango vyao kwa kina sana. UTASEMAJE imekopiwa kwenye bibilia iliyo too general and cannot stand as a source of rulings?
 
😀😀😀
Mkuu hivi ni kweli hujui kuwa Mirathi na talaka vyote vipo kwenye Torati ya Musa?

Hizo sheria zote za kiislam sijui mavazi, sijui Usafi, sijui chakula, sijui mipaka vyote vipo kwenye Torati ya Musa.

Ndio maana nikakuambia kuna sehemu wazazi wako au hao waliokufundisha Ukristo walikufanyia makosa makubwa.

Alafu mbona hata kwenye maandiko yangu nilishawahi fafanua Jambo Hilo.

Zingatia, sijadiliani na wewe ili uwe Mkristo au myahudi au Muislam Kwa maana hayo yote hayana maana yoyote😊😊.
La maana ni kumjua Mungu Kwa usahihi.
Usije ukadanganya ati dini au dhehebu Fulani ndilo Bora😀😀 hivyo ni Kama vyuo tuu.

Nilikuuliza swali sababu za kuacha Ukristo ili nijue kipi unachokitafuta na sio ili urudi kwenye Ukristo.
SASA umeanza kunieleza mapungufu ambayo Kwa wakati ule au hata sasa ulidhani Ukristo unanayo,

Mirathi, talaka, ndoa,vyakula, mavazi, ibada vyote vimeelezewa katika Biblia.
Ngoja nikurejesha Kwa Musa mtoto wa Lawi
Umewahi kusoma the same topic kwenye sources zaidi ya moja na kujiridhisha bila shaka source flani iko detailed na facts based kuliko nyingine???

Hicho ndicho msingi hata kwenye issues ambazo tunadhani vitabu vinazo in common. Hili huwezi elewa kama hujasoma sources zote under consideration
 
Kibiblia mirathi imewekwa katika makundi Yafuatayo;

1. Mtoto wa Kwanza
Mpaka uelewe it's too hard

Tufanye una hoja ya Msingi, mbona basi bibilia imeshindwa kuwaongoza kuwaishi hao mitume ikiwa wasema kweli? LEO NGUZO YA 5 KATIKA DINI YA KIISLAM NI HIJA ambayo ndani yake insambata na kuchinja kikienziwa KITENDO CHA NABII WA ALLAH IBRAHIM kumchinja mwanaye wapekee na badala yake MUNGU akamletea kondoo na akaamrishe wote watakaomfuatia watekeleze hilo!! WAPI BIBILIA INATUELEKEZA HILI AU WAPI WASIOKUWA WAISLAM WANALITEKELEZA HILI? Au ni kuimba tu IBRAHIM BABA WA IMANI BASI?

Msingi ni kuwa mfanano wa INJILI NA QUR'AN kwenye baadhi ya maeneo ni kwa sababu VINA ASILI MOJA ILA INJILI ILISHAINGIZWA VYA WANADAMU NA NDIYO MAANA MUNGU AKALETA QUR'AN KAMA FINAL REVELATION.

KAMA ALIVYOFANYA KWA TORATI BAADA YA ZABURI NA INJILI BAADA YA TORATI.

Oooh! Dadaangu kweli haukuwa Mkristo Ila ulizaliwa kwenye Ukristo.

Kinachoongoza dini zote za Abrahamu ni Sheria za Mungu ambazo zipo kwenye Torati aliyokuja nayo Musa.

Kwenye Torati hakuna mambo ya hijja na Mungu hakumuambia Musa awaambia watu wake habari za hijja.
Hijja sio kosa Bali inawezakuwa mapokeo ya wazee Ila sio sheria yaani Amri ya Mungu.

Sijui Kama unaelewa maana ya amri ya Mungu. Amri ya Mungu ni sharti wanadamu wote wafuate na wasipofuata ni dhambi bila kisingizio chochote.
Lakini hijja ili ujue ni mapokeo sio ajabu Robo tatu ya waislam Duniani hawajawahi kuitekeleza amri hiyo na hawatakuja kuitekeleza

Amri ya Mungu hazina Excuse ni amri za watu wote ingawaje zipo amri za makundi Fulani ya watu. Kulingana na vyeo vyao, jinsia zao, umri wao n.k.

Ibrahimu alipewa amri amchinje mwanaye likiwa Kama jaribu kwake. Akalishinda lakini haikumaanisha amri Ile iwe ya kila binadamu.
Isipokuwa Jambo lile lilikuwa kivuli na utabiri wa kile Mungu atakachokifanya kupitia Yesu Kristo.
Kwamba badala Isack(Sisi binadamu) tuchinjwe Mungu akampa Ibrahimu kondoo(ambaye ni Kristo Kwa sasa) awe mbadala Isaka(Sisi Wanadamu).

Hakuna haja ya kwenda kuhiji, Ila Kama unauwezo unaweza kufuata mapokeo ya Wazee WA Imani, Ila sio lazima.

Nasisitiza, sehemu pekee ambapo utapata sheria za Mungu WA Ibrahim ni kupitia Musa maana na wala sio Zaburi, Injili, au hiyo Quran yako.

Lakini kama utazungumzia dini zisizo na Asili ya Abrahamu basi tutajadili Kwa mfumo mwingine.

Huyo Muhammad, huyo Yesu na wengine wote waliofuata baada ya Musa hawawezi tengua Torati/sheria za Mungu WA Abraham.

Ndio maana nikakuambia huwezi tumia hata injili bila kuitumia Torati Kwa maana Msingi wa injili umejengwa kwenye Torati.
Na kamwe hiyo Quran haiwezi kusimama pekeake bila ya Torati na injili.
Bado hunielewi.

Unaweza kuona Ukristo unamapungufu Kama sio msomi wa Biblia, lakini ukiwa msomi mzuri wa Biblia huwezi ona upungufu huo.
 
Ninakusudia content ya kwenye bibilia na Qur'an ni mbingu na ardhi.

Yaani zinatofautiana sana. Qur'an imetaja wanaotakiwa kurithi ni akina nani, viwango vyao kwa kina sana. UTASEMAJE imekopiwa kwenye bibilia iliyo too general and cannot stand as a source of rulings?

Unajua Kwa nini Quran inasemwa imekopi Biblia au tuseme maandiko ya kiyahudi Kwa sababu zifuatazo;

1. Wahusika wote Wakuu wa Biblia wapo kwenye Quran.
Mfano, Adamu, nuhu, Abraham, Isaka, Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, suleiman, Yesu/Issa.
Manabii wadogo, Yona/Yunusi, Yohana/Yahaya n.k

2. Historia inayoelezwa ni yawayahudi na wahusika wengi ni Wayahudi katika Utume, unabii na ufalme.

3. Asili na anguko la mwanadamu yote yapo katika Biblia/maandiko ya kiyahudi.
Hakuna kitabu chochote Duniani kinachoweza elezea asili ya watu zaidi ya Maandiko ya kiyahudi.

4. Mtu WA Kwanza kujua utume wa Muhammad ni Padri wa Kikristo aitwaye Walaga, wapili, Bi. Khadija na watatu ndiye Muhammad

4. Waislam wa mwanzoni waliambiwa wakipata ukakasi wakawaulize Wakristo ili wawasaidie kuwafafanulia baadhi ya Aya. Kumaanisha Wakristo ndio msingi Mkuu wa marejeleo Kwa waislam Kwa wakati ule. Zingatia na mkumbuke Padri Walaga na Mchango wake katika uislam.

5. Quran imekuja mwishoni wakati Biblia na maandiko ya Kikristo vikiwa na umri mrefu WA kutosha kabisa.
Stori zote za Quran tayari zilikuwapo miaka mingi, kilichofanywa na Quran labda ni modification tuu.
Vipo vitabu vingi vya kiyahudi nje ya Biblia vinaelezea matukio ya hao mitume vizuri Kabisa.

6. Quran imetaja baadhi ya Dini ilizozikuta kama uyahudi na Ukristo lakini maandiko ya Biblia na maandiko ya kiyahudi hayajautaja uislam popote pale. Hii ni kutokana yalishakwisha andikwa na uislam umekuja mwishoni.

7. Hatma ya Wanadamu. Uyahudi wanaamini Atakuja masihi atakayeukomboa ulimwengu.
Ukristo unaamini Masihi alishakuja ndiye Yesu.
Alafu Waislam wao katika hili wanasema Issa yeye atakuja mara ya pili kupambana na Dajal
 
Mpaka uelewe it's too hard

Tufanye una hoja ya Msingi, mbona basi bibilia imeshindwa kuwaongoza kuwaishi hao mitume ikiwa wasema kweli? LEO NGUZO YA 5 KATIKA DINI YA KIISLAM NI HIJA ambayo ndani yake insambata na kuchinja kikienziwa KITENDO CHA NABII WA ALLAH IBRAHIM kumchinja mwanaye wapekee na badala yake MUNGU akamletea kondoo na akaamrishe wote watakaomfuatia watekeleze hilo!! WAPI BIBILIA INATUELEKEZA HILI AU WAPI WASIOKUWA WAISLAM WANALITEKELEZA HILI? Au ni kuimba tu IBRAHIM BABA WA IMANI BASI?

Msingi ni kuwa mfanano wa INJILI NA QUR'AN kwenye baadhi ya maeneo ni kwa sababu VINA ASILI MOJA ILA INJILI ILISHAINGIZWA VYA WANADAMU NA NDIYO MAANA MUNGU AKALETA QUR'AN KAMA FINAL REVELATION.

KAMA ALIVYOFANYA KWA TORATI BAADA YA ZABURI NA INJILI BAADA YA TORATI.

Quran na Injili havina asili moja Ila mmoja ndio kamuibia mwenzake. Jaribu kuelewa.

Quran imeandikwa na waarabu,
Mtume muarabu,
mungu WA kiarabu,
Siku ya Ibada ya kiarabu,

Walichofanya ni kuiba Visa vya kiyahudi na sio vinaasili moja.
Ndio maana 99% ya manabii na mitume ni mayahudi hushangai huyo muarabu katokea wapi?
Fikiria kwa akili hata za Darasa la tatu.
 
🤣🤣🤣🤣

Issue ni content ya hizo mada kwenye rejea hizo mbili......

Mbona siyo ngumu...

Kwa hiyo Kwa akili yako muarabu anayeishi Makka anaweza simulia hadithi ya muisrael aishiye Jerusalem na ukaona hiyo Stori ni kweli?😂😂😂

Yaani Muhammad hajawahi fika wala kukanyaga Ardhi ya Israel alafu ahadithie Stori za Waisrael ukamuamini kuwa Stori hiyo ni Kweli. 😀😀😀

Yaani mtu hajawahi kufika Dar es salaam au Marekani alafu akusimulie habari za Maeneo hayo nawe ufanye Stori yake Kama Rejea yako kuu ilhali kuna watu walioishi huko.
Embu fikiri hata Kwa akili ya mtoto mdogo.

Watu wanaiamini Biblia Kwa sababu wanaosimulia mule ni wahusika wakuu na wanasimulia hadithi nyingi za jamii Yao.
Sasa huyo Muhammad anasimulia Stori za Yesu wa Bethlehem wa kabila la Yuda wakati hajawahi kuishi Wala kufika Huko Bethlehem,

Mahakamani hatuwezi kuichukua Quran kama ushahidi kwani ni Stori ya third-party (hearsay).
Wakati Biblia Kwa sehemu kubwa ni ushahidi wa wazi,
Anaandika Musa myahudi habari za wayahudi
Anaandika Daniel Myahudi habari za wao kuchukuliwa utumwani huko Babeli.
Anaandika Suleiman myahudi habari za ufalme wake.
Anaandika Yohana myahudi habari za Yesu na mi mwanafunzi WA yesu yaani alikuwepo.

Sasa Mtume Muhammad anasimulia habari za watu asiowajua, asiojua lugha Yao, asio wa asili yake, asiyeabudu miungu yao, hakuwepo, anahadithia maeneo ambayo hajawahi kukanyaga😀😀
Come on!
Kimahakama tunaita huo ni Uongo wala hakuna haja ya kuuleta mahakamani.
 
Unajua Kwa nini Quran inasemwa imekopi Biblia au tuseme maandiko ya kiyahudi Kwa sababu zifuatazo;

1. Wahusika wote Wakuu wa Biblia wapo kwenye Quran.
Mfano, Adamu, nuhu, Abraham, Isaka, Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, suleiman, Yesu/Issa.
Manabii wadogo, Yona/Yunusi, Yohana/Yahaya n.k

2. Historia inayoelezwa ni yawayahudi na wahusika wengi ni Wayahudi katika Utume, unabii na ufalme.

3. Asili na anguko la mwanadamu yote yapo katika Biblia/maandiko ya kiyahudi.
Hakuna kitabu chochote Duniani kinachoweza elezea asili ya watu zaidi ya Maandiko ya kiyahudi.

4. Mtu WA Kwanza kujua utume wa Muhammad ni Padri wa Kikristo aitwaye Walaga, wapili, Bi. Khadija na watatu ndiye Muhammad

4. Waislam wa mwanzoni waliambiwa wakipata ukakasi wakawaulize Wakristo ili wawasaidie kuwafafanulia baadhi ya Aya. Kumaanisha Wakristo ndio msingi Mkuu wa marejeleo Kwa waislam Kwa wakati ule. Zingatia na mkumbuke Padri Walaga na Mchango wake katika uislam.

5. Quran imekuja mwishoni wakati Biblia na maandiko ya Kikristo vikiwa na umri mrefu WA kutosha kabisa.
Stori zote za Quran tayari zilikuwapo miaka mingi, kilichofanywa na Quran labda ni modification tuu.
Vipo vitabu vingi vya kiyahudi nje ya Biblia vinaelezea matukio ya hao mitume vizuri Kabisa.

6. Quran imetaja baadhi ya Dini ilizozikuta kama uyahudi na Ukristo lakini maandiko ya Biblia na maandiko ya kiyahudi hayajautaja uislam popote pale. Hii ni kutokana yalishakwisha andikwa na uislam umekuja mwishoni.

7. Hatma ya Wanadamu. Uyahudi wanaamini Atakuja masihi atakayeukomboa ulimwengu.
Ukristo unaamini Masihi alishakuja ndiye Yesu.
Alafu Waislam wao katika hili wanasema Issa yeye atakuja mara ya pili kupambana na Dajal
Kwa hoja yako namba 4 unathibitisha Kuwa MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE ni Mtume wa Mwisho na kile kilichoshushwa kwake ni HAQQ.

Huyu Padri alijua kwa sababu aliyeshusha Zaburi, Torati, Injili na Qur'an ni Moja ambaye ndiye MOLA WA WALIMWENGU WOTE!!!

Mitume wote kazi yao ILIKUWA MOJA TU NAYO ni WANADAMU WAMJUE NA KUMWABUDU MUNGU MOJA NA KUMWAMINI NA KUMFUATA MTUME ALIYETUMWA KWA WAKATI HUSIKA!!!

Kwa hiyo Kutajwa mitume na manabi kuanzia Adam hadi MUHAMMAD siyo copy and paste ILA ALIYEWATUMA NI MOJA na kila mara alituma mwingine baada ya wanadamu kuasi na kufanya alterations kwenye UJUMBE WA AWALI....

Ndiyo maana nguzo ya kwanza kwa MTU KUWA MUISLAM NI SHAHADA " YAANI KUAMINI MOYONI NA KUKIRI KWA ULIMI KUWA HAKUNA MUNGU MWENYE HAKI YA KUABUDIWA ILA MUNGU MOJA AMBAYE HANA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE NA MUHAMMAD ndiye mtume wake aliyemtuma kwa walimwengu wote"

The same Jesus propagated "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma" Yohana 17:3
 
Kibiblia mirathi imewekwa katika makundi Yafuatayo;

1. Mtoto wa Kwanza

Oooh! Dadaangu kweli haukuwa Mkristo Ila ulizaliwa kwenye Ukristo.

Kinachoongoza dini zote za Abrahamu ni Sheria za Mungu ambazo zipo kwenye Torati aliyokuja nayo Musa.

Kwenye Torati hakuna mambo ya hijja na Mungu hakumuambia Musa awaambia watu wake habari za hijja.
Hijja sio kosa Bali inawezakuwa mapokeo ya wazee Ila sio sheria yaani Amri ya Mungu.

Sijui Kama unaelewa maana ya amri ya Mungu. Amri ya Mungu ni sharti wanadamu wote wafuate na wasipofuata ni dhambi bila kisingizio chochote.
Lakini hijja ili ujue ni mapokeo sio ajabu Robo tatu ya waislam Duniani hawajawahi kuitekeleza amri hiyo na hawatakuja kuitekeleza

Amri ya Mungu hazina Excuse ni amri za watu wote ingawaje zipo amri za makundi Fulani ya watu. Kulingana na vyeo vyao, jinsia zao, umri wao n.k.

Ibrahimu alipewa amri amchinje mwanaye likiwa Kama jaribu kwake. Akalishinda lakini haikumaanisha amri Ile iwe ya kila binadamu.
Isipokuwa Jambo lile lilikuwa kivuli na utabiri wa kile Mungu atakachokifanya kupitia Yesu Kristo.
Kwamba badala Isack(Sisi binadamu) tuchinjwe Mungu akampa Ibrahimu kondoo(ambaye ni Kristo Kwa sasa) awe mbadala Isaka(Sisi Wanadamu).

Hakuna haja ya kwenda kuhiji, Ila Kama unauwezo unaweza kufuata mapokeo ya Wazee WA Imani, Ila sio lazima.

Nasisitiza, sehemu pekee ambapo utapata sheria za Mungu WA Ibrahim ni kupitia Musa maana na wala sio Zaburi, Injili, au hiyo Quran yako.

Lakini kama utazungumzia dini zisizo na Asili ya Abrahamu basi tutajadili Kwa mfumo mwingine.

Huyo Muhammad, huyo Yesu na wengine wote waliofuata baada ya Musa hawawezi tengua Torati/sheria za Mungu WA Abraham.

Ndio maana nikakuambia huwezi tumia hata injili bila kuitumia Torati Kwa maana Msingi wa injili umejengwa kwenye Torati.
Na kamwe hiyo Quran haiwezi kusimama pekeake bila ya Torati na injili.
Bado hunielewi.

Unaweza kuona Ukristo unamapungufu Kama sio msomi wa Biblia, lakini ukiwa msomi mzuri wa Biblia huwezi ona upungufu huo.
😂😂😂 kama biblia ingekuwa ni muongozo ulio sahihi basi waisraeli woote wangekuwa wakristo hii ni kauli aliyeongea mmoja ngoja niiangalie ile video nitaituma.

Kingine mkuu wewe hata ukristo wako hauujui kwanini? Je? Unajua kuhusu CHALSEDONIAN BOX ? Je? Unajua biblia ya kwanza ilitokana na vitabu vya kiyahudi? TANAKH,MITHRA,ALPHABETS OF BEN SIRACH,TORAH e.t.c?

je? Unajua kuwa lugha ya kwanza kuandikwa bible baada ya kutolewa vifungu kwenye vitabu vya kiebrani ni ARAMAIC JEWISH? Kisha waka i convert kwenda kwenye KOINE GREEK kisha baada ya hapo ndo wakafuatisha lugha nyenginezo?

Je? unajua kuhusu mkutano wa NICEA? (COUNCIL OF NICEA) na mabadiliko waliyo
Yafanyanya kwenye biblia ya kwanza? RUDI KUSOMA THE CHALCEDONIAN BOX.

nina mengi ya kukufunza ila soma kwanza hayo niliyokuwekea hapo. Ndo ujue dini ipi ina mantiki.
 
Kwa hiyo Kwa akili yako muarabu anayeishi Makka anaweza simulia hadithi ya muisrael aishiye Jerusalem na ukaona hiyo Stori ni kweli?😂😂😂

Yaani Muhammad hajawahi fika wala kukanyaga Ardhi ya Israel alafu ahadithie Stori za Waisrael ukamuamini kuwa Stori hiyo ni Kweli. 😀😀😀

Yaani mtu hajawahi kufika Dar es salaam au Marekani alafu akusimulie habari za Maeneo hayo nawe ufanye Stori yake Kama Rejea yako kuu ilhali kuna watu walioishi huko.
Embu fikiri hata Kwa akili ya mtoto mdogo.

Watu wanaiamini Biblia Kwa sababu wanaosimulia mule ni wahusika wakuu na wanasimulia hadithi nyingi za jamii Yao.
Sasa huyo Muhammad anasimulia Stori za Yesu wa Bethlehem wa kabila la Yuda wakati hajawahi kuishi Wala kufika Huko Bethlehem,

Mahakamani hatuwezi kuichukua Quran kama ushahidi kwani ni Stori ya third-party (hearsay).
Wakati Biblia Kwa sehemu kubwa ni ushahidi wa wazi,
Anaandika Musa myahudi habari za wayahudi
Anaandika Daniel Myahudi habari za wao kuchukuliwa utumwani huko Babeli.
Anaandika Suleiman myahudi habari za ufalme wake.
Anaandika Yohana myahudi habari za Yesu na mi mwanafunzi WA yesu yaani alikuwepo.

Sasa Mtume Muhammad anasimulia habari za watu asiowajua, asiojua lugha Yao, asio wa asili yake, asiyeabudu miungu yao, hakuwepo, anahadithia maeneo ambayo hajawahi kukanyaga😀😀
Come on!
Kimahakama tunaita huo ni Uongo wala hakuna haja ya kuuleta mahakamani.
Mahakama ipi inachukua biblia kama ushahidi? Au ipi inatumia kitabu chochote cha dini kama ushahidi? Naomba angalau mbili tu.

Kingine ni kuwa wakristi hamjui kuhusu UTUME hamjui kuhusu historia ya DINI YENU NA HATA KITABU CHENU huwa mnafuata yale viongozi wenu wanayowaambia hili ni tatizo mzee.
 
Quran na Injili havina asili moja Ila mmoja ndio kamuibia mwenzake. Jaribu kuelewa.

Quran imeandikwa na waarabu,
Mtume muarabu,
mungu WA kiarabu,
Siku ya Ibada ya kiarabu,

Walichofanya ni kuiba Visa vya kiyahudi na sio vinaasili moja.
Ndio maana 99% ya manabii na mitume ni mayahudi hushangai huyo muarabu katokea wapi?
Fikiria kwa akili hata za Darasa la tatu.

Genesis 17:20

As for Ishmael, I have heard you. Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly. He will become the father of twelve princes, and I will make him a great nation.

Inaonekana unatumia akili ya kawaida badala ya maandiko...

Mungu aliyeshusha miongozo yote hiyo ni moja....
 
😂😂😂 kama biblia ingekuwa ni muongozo ulio sahihi basi waisraeli woote wangekuwa wakristo hii ni kauli aliyeongea mmoja ngoja niiangalie ile video nitaituma.

Kingine mkuu wewe hata ukristo wako hauujui kwanini? Je? Unajua kuhusu CHALSEDONIAN BOX ? Je? Unajua biblia ya kwanza ilitokana na vitabu vya kiyahudi? TANAKH,MITHRA,ALPHABETS OF BEN SIRACH,TORAH e.t.c?

je? Unajua kuwa lugha ya kwanza kuandikwa bible baada ya kutolewa vifungu kwenye vitabu vya kiebrani ni ARAMAIC JEWISH? Kisha waka i convert kwenda kwenye KOINE GREEK kisha baada ya hapo ndo wakafuatisha lugha nyenginezo?

Je? unajua kuhusu mkutano wa NICEA? (COUNCIL OF NICEA) na mabadiliko waliyo
Yafanyanya kwenye biblia ya kwanza? RUDI KUSOMA THE CHALCEDONIAN BOX.

nina mengi ya kukufunza ila soma kwanza hayo niliyokuwekea hapo. Ndo ujue dini ipi ina mantiki.
Am real grateful unaweza kumsaidia maana anatumia akili zake badala ya maandiko
 
Genesis 17:20

As for Ishmael, I have heard you. Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly. He will become the father of twelve princes, and I will make him a great nation.

Inaonekana unatumia akili ya kawaida badala ya maandiko...

Mungu aliyeshusha miongozo yote hiyo ni moja....

Kwa hiyo Ishmael ndiye aliyemhadithia Muhammad habari za Waisrael akasahau habari zake(ishmael mwenyewe)?

Kuna mambo unahitaji msaada mkubwa Sana.
Muhammad Stori zake haziwezi kuwa Rejea kuu ikiwa anasimulia mambo ambayo hayamhusu hata kidogo na hakuwahi kuyaona.
 
😂😂😂 kama biblia ingekuwa ni muongozo ulio sahihi basi waisraeli woote wangekuwa wakristo hii ni kauli aliyeongea mmoja ngoja niiangalie ile video nitaituma.

Kingine mkuu wewe hata ukristo wako hauujui kwanini? Je? Unajua kuhusu CHALSEDONIAN BOX ? Je? Unajua biblia ya kwanza ilitokana na vitabu vya kiyahudi? TANAKH,MITHRA,ALPHABETS OF BEN SIRACH,TORAH e.t.c?

je? Unajua kuwa lugha ya kwanza kuandikwa bible baada ya kutolewa vifungu kwenye vitabu vya kiebrani ni ARAMAIC JEWISH? Kisha waka i convert kwenda kwenye KOINE GREEK kisha baada ya hapo ndo wakafuatisha lugha nyenginezo?

Je? unajua kuhusu mkutano wa NICEA? (COUNCIL OF NICEA) na mabadiliko waliyo
Yafanyanya kwenye biblia ya kwanza? RUDI KUSOMA THE CHALCEDONIAN BOX.

nina mengi ya kukufunza ila soma kwanza hayo niliyokuwekea hapo. Ndo ujue dini ipi ina mantiki.

Kwani Nimesema Wayahudi ni Wakristo au wanaulazima wakuwa Wakristo?
Wayahudi dini Yao ni uyahudi hiyo IPO hivyo tangu kale.
Hata Yesu na mitume wote dini Yao ni uyahudi. Sasa ajabu gani waisrael kuwa Wayahudi?
 
Mahakama ipi inachukua biblia kama ushahidi? Au ipi inatumia kitabu chochote cha dini kama ushahidi? Naomba angalau mbili tu.

Kingine ni kuwa wakristi hamjui kuhusu UTUME hamjui kuhusu historia ya DINI YENU NA HATA KITABU CHENU huwa mnafuata yale viongozi wenu wanayowaambia hili ni tatizo mzee.

Hivi unapojadili unatumia Akili kweli?
Nimekuambia kama Biblia na Quran vingepelekwa mahakamani kuthibitisha yaliyozungumziwa humo, Quran ingeshindwa Kwa sababu 90% ya yaliyomo ni hearsay/third-party stories.

Ninaanzisha Uzi wake hap alafu wanasheria wabobezi najua wataniunga Mkono
 
Back
Top Bottom