Kibiblia mirathi imewekwa katika makundi Yafuatayo;
1. Mtoto wa Kwanza
Mpaka uelewe it's too hard
Tufanye una hoja ya Msingi, mbona basi bibilia imeshindwa kuwaongoza kuwaishi hao mitume ikiwa wasema kweli? LEO NGUZO YA 5 KATIKA DINI YA KIISLAM NI HIJA ambayo ndani yake insambata na kuchinja kikienziwa KITENDO CHA NABII WA ALLAH IBRAHIM kumchinja mwanaye wapekee na badala yake MUNGU akamletea kondoo na akaamrishe wote watakaomfuatia watekeleze hilo!! WAPI BIBILIA INATUELEKEZA HILI AU WAPI WASIOKUWA WAISLAM WANALITEKELEZA HILI? Au ni kuimba tu IBRAHIM BABA WA IMANI BASI?
Msingi ni kuwa mfanano wa INJILI NA QUR'AN kwenye baadhi ya maeneo ni kwa sababu VINA ASILI MOJA ILA INJILI ILISHAINGIZWA VYA WANADAMU NA NDIYO MAANA MUNGU AKALETA QUR'AN KAMA FINAL REVELATION.
KAMA ALIVYOFANYA KWA TORATI BAADA YA ZABURI NA INJILI BAADA YA TORATI.
Oooh! Dadaangu kweli haukuwa Mkristo Ila ulizaliwa kwenye Ukristo.
Kinachoongoza dini zote za Abrahamu ni Sheria za Mungu ambazo zipo kwenye Torati aliyokuja nayo Musa.
Kwenye Torati hakuna mambo ya hijja na Mungu hakumuambia Musa awaambia watu wake habari za hijja.
Hijja sio kosa Bali inawezakuwa mapokeo ya wazee Ila sio sheria yaani Amri ya Mungu.
Sijui Kama unaelewa maana ya amri ya Mungu. Amri ya Mungu ni sharti wanadamu wote wafuate na wasipofuata ni dhambi bila kisingizio chochote.
Lakini hijja ili ujue ni mapokeo sio ajabu Robo tatu ya waislam Duniani hawajawahi kuitekeleza amri hiyo na hawatakuja kuitekeleza
Amri ya Mungu hazina Excuse ni amri za watu wote ingawaje zipo amri za makundi Fulani ya watu. Kulingana na vyeo vyao, jinsia zao, umri wao n.k.
Ibrahimu alipewa amri amchinje mwanaye likiwa Kama jaribu kwake. Akalishinda lakini haikumaanisha amri Ile iwe ya kila binadamu.
Isipokuwa Jambo lile lilikuwa kivuli na utabiri wa kile Mungu atakachokifanya kupitia Yesu Kristo.
Kwamba badala Isack(Sisi binadamu) tuchinjwe Mungu akampa Ibrahimu kondoo(ambaye ni Kristo Kwa sasa) awe mbadala Isaka(Sisi Wanadamu).
Hakuna haja ya kwenda kuhiji, Ila Kama unauwezo unaweza kufuata mapokeo ya Wazee WA Imani, Ila sio lazima.
Nasisitiza, sehemu pekee ambapo utapata sheria za Mungu WA Ibrahim ni kupitia Musa maana na wala sio Zaburi, Injili, au hiyo Quran yako.
Lakini kama utazungumzia dini zisizo na Asili ya Abrahamu basi tutajadili Kwa mfumo mwingine.
Huyo Muhammad, huyo Yesu na wengine wote waliofuata baada ya Musa hawawezi tengua Torati/sheria za Mungu WA Abraham.
Ndio maana nikakuambia huwezi tumia hata injili bila kuitumia Torati Kwa maana Msingi wa injili umejengwa kwenye Torati.
Na kamwe hiyo Quran haiwezi kusimama pekeake bila ya Torati na injili.
Bado hunielewi.
Unaweza kuona Ukristo unamapungufu Kama sio msomi wa Biblia, lakini ukiwa msomi mzuri wa Biblia huwezi ona upungufu huo.