Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Mungu angemtupa Shetani hata Mimi nisingempenda.
Uwepo wa Shetani/nguvu hasi kunafanya maisha yawe na maana, yaani unakuwa na options nyingi za kuchagua.
Mtoa mada hajui kama kuna watu wanapenda kwenda motoni nao wanahaki ya matamanio yao..ila tu motoni ni marejeo mabaya kwa mwanadamu na majini(pepo)
Mungu angemtupa Shetani hata Mimi nisingempenda.
Uwepo wa Shetani/nguvu hasi kunafanya maisha yawe na maana, yaani unakuwa na options nyingi za kuchagua.
 
Kuyaelewa Maandiko inaitaji utulivu zaid ya ule wakutoka nje ya Mwili
 

Binadamu ni kama samaki na maji

ukimtoa samaki kwenye maji hakika atakufa

binadamu akiacha kumtegemea Mungu wa kweli hakika atakufa
 
Dunia ina miaka elfu mbili bible miaka elfu saba acha uongo mjomba
Sio kweli miaka ilianza hesabiwa baada tu ya Yesu kuzaliwa Dunia Haina miaka 2000 Dunia Ina miaka zaidi ya million 30 according to history
 
Haha, shehe kwenye Quran ndio utumbo na uharo ulikojaa. Huko nitakuja baadae.
Uharo na utumbo unao mwenyewe.Tumia akili,huwezi kuelewa mafunzo yoyote moaka ufundishwe.
Daktari,anapotaka kumponesha mgonjwa,lazima kwanza amuumize,mgonjwa ana jipu,lazima likamuliwe,mgonjwa ana uvimbe tumboni,lazima upasuliwe.
Ili mwanafunzi allowe,mwalimu lazima atumie mbinu za adhabu,na Mwalimu awesome.
NENDA KATAFUTE WASOMI WA DINI,WAKUFUNDISHE.UNAKUWA MJINGA KUINGILIA TAALAMA ZA WATU,BILLA KUJIFUNZA.
 
Swali lako la kwanza hata mimi huwa najiuliza sana...

Wakati mwingine nilikuja kufahamu kuwa Mungu alijua uasi wote wa shetani na wanadamu na aliruhusu utokee kwa makusud yake na sababu yake...
Nenda kasome.Dini ni taaluma,kama uhandisi,udaktari,kucheza mpira,kuendesha ndege,kuendesha meli,kuendesha train,ufundi umeme,magari nk.Kqjifunze uwelew.
 
Kajifunze dini,hutapata tabu.Kila ujuzi unatakiwa ukajifundishe.Udaktari,uhandisi,urubani nk,mpaka unfunded,usipojifunza,utabaki ns maswali.
 
Your ignorance is what makes you think the WORD OF GOD is inconsistent.The Word of God is beyond human thinking,and knowledge.
 
Mkuu samahani kama nitakukwaza, ila Kwa ushauri wangu nakuomba usihoji kila kitu ili uonekane wewe ndio unajua sana mana wapo waliojiuliza hayo maswali toka zamani na sasa hawapo tena, Mimi ninaamini akili zetu haziwezi himili majibu ya maswali haya lakini siku kila mtu atakapokufa mambo yote yatafunuliwa kwake hakuna siri tena. Sisi tunaoamini kwamba yupo tunaonekana kama wajinga mbele ya watu wasioamini kama wewe lakini hatukatishwi tamaa, niseme tu majibu ya maswali yako sina Ila yapo na ukiona unajiuliza swali lolote lile ujue tayari Una majibu yake, unapotaka mtu mwengine akujibu ni kama unaongeza mlolongo wa maswali mengi. Mwisho niseme Kwa kunukuu kutoka kwenye biblia, "The just shall live by faith" Wenye haki wataishi Kwa imani.
 
Mungu angemtupa Shetani hata Mimi nisingempenda.
Uwepo wa Shetani/nguvu hasi kunafanya maisha yawe na maana, yaani unakuwa na options nyingi za kuchagua.
enzi za adam maisha hayakuwa na maana.?
 
Mbona unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe?
 
Kojoa ulale mtoto mdogo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…