Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.

Mungu au mungu ??
 
Usiwe muongo au umeamia dini ambayo bado huijui
Soma

Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us.....
Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
Rejea tafsiri za kutegemea aya hiyo ina maelezo ya kutosha kabisa
 
Definition ya dhambi Kati ya Jehovah na Allah ni tofauti kabisa

Biblia imeweka wazi ao binadamu walifanya dhambi na unaona wazi Jehovah anachukizwa na dhambi zao na unasoma kabisa wakitubu

Koran Allah anashusha Aya kuruhusu dhambi
-Muhammad kaoa katoto Allah kimya
  • Muhammad kachukua mke wa mtoto wake , Allah kashusha Aya kumsifia na akasema amemruhusu
  • Muhammad Kabaka house girl maria the copt akafumaniwa na mke wake hafsa , hafsa na Aisha wakaungana kumletea noma Allah akashusha Aya akasema wakiendelea kumletea noma anashuka mwenyewe na Malaika wote kupigana na hafsa na Aisha
  • Muhammad kaua watu nane Kwa kuwakata mikono na miguu na kiwatoboa macho Kwa kutumia misumari Allah akashusha Aya 5:33 kuruhusu mauaji yakukata mikono na miguu
  • Muhammad chupi ilipotea wafuasi wake wakawa wanasema kachukua , Allah faster kashusha Aya kusema hajachukua ,ila mpaka Leo Allah hajataja Alie chukua

Na mengine mengi ,
Allah -anasifia dhambi na anatoa loophole kwenye dhambi mfano kula nguruwe Allah hajui ni dhambi au sio dhambi maana kasema ukiwa na njaa kula

Jehovah - anachukizwa na dhambi na ameweka wazi kabisa
Hakuna NASABA ya damu isiyotokana na ndoa!!!

Hizi chuki zitawaua... fungua akili yako
 
Rejea tafsiri za kutegemea aya hiyo ina maelezo ya kutosha kabisa
Us aliowataja Allah ni Malaika na ma houris , Allah anasema akitaka mke anachukua Malaika au ma houris

21:17 Jalalayn - Had We desired to find some diversion that which provides diversion in the way of a partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so.
 
Ndio maana nikakuambia Wewe bado mchanga.

Ukiwa Darasa la Kwanza ulifundishwa 1-2 jibu ni haiwezekani.
Lakini sasa hivi 1-2 jibu sio haiwezekani Bali ni -1.
Kitu kikikupa mkanganyiko maana yake sio kwamba ni uongo Bali ni Akili yako ni ndogo kukielewa Kwa urahisi.

Kwenye Logic kama ulivyoeleza
True+ True = True
True+ False = False
False + True = False
False + False = False

Sasa yote uliyoyaeleza hakuna uongo wowote hapo.
Ungeomba utatuliwe hiyo kilichokupa mkanganyiko
Falsa + false = true

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ametupa uhuru wa sisi kuamua tumfuate au tumuasi.

Hiyo haiondoi au haibadilishi ukuu/uungu wake.

Sisi ndio wenye maamuzi wenyewe, kutaka Mungu atuingilie maamuzi yetu kutaharibu dhana nzima ya 'free will' aliyotupa kwa upendo uliotukuka.
Hakuna umuhimu wa freewill ilhali kuna adhabu pia unaumbwa na uwezo mdogo wa kuvumilia majaribu makosa hayapo upande wetu.
Something mistaken
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.

Wewe sema umelenga Biblia. Ndio mlichobakiza.
 
Mi naikubali ufunuo....yaani kilakitu kinatimia

Mbona juzi Kati kuna member wa humu alitabiri kutokea kwa ajali ya ndege na ilitimia.

N kuna mwamba alitabiri Magufuri hatotoboa mwaka 2020 na ikatimia.
 
Sijui kama uliwahi kwenda shule ya juu, ungesoma somo la mantiki/logic.
Shule ya juu ndo ipi hiyo Boss!.... kwani shule ya juu lazima usomee Mantiki? au mie ndo sielewi!! waliotunga hivo vitabu vya Mantiki, ni binadamu tu ambao pia mimi au wewe unaweza kuwa challenge!
Kwenye mantiki ama logic and reasoning jambo lile lile leo useme yes, kesho useme noo basi jibu ni no.
Sikweli! Mambo hubadirika kuendana na wakati zamani ilikuwa Yes! kuamini kwamba Dunia ni km Meza! ......jambo hilohilo kuhusu umbo la Dunia hata mwanafunzi wa drs la pili ukimwambia Dunia ni km Meza jibu ni No!

km hujaelewa ni hivi!! watanzania wengi humu JF ya sasa, waliamini kuwa Ujamaa na kujitegemea (yes)ndiyo njia pekee sahihi inayoweza kujenga jamii sawa na huru!! na hao hao walio amini hivo leo hawaamini! ivo! (no ujamaa!)
kishatokea contradiction basi hapo hakuna ukweli, ni uongo. Kitu kilichonyooka hakina contradiction.
Ikitokea contradictions, hii ndo safi sana hii!! .......... jibu ni kutafuta suruhisho! kukinzana kwa mawazo (akili) ndiyo inaleta maendeleo! hiyo shule yako ya logic ulitupa hela zako bure kawadai! wakurudishie Mkuu!
Ndio maana nikakushauri, rudi shule uongeze ufahamu zaidi ndio uje kujadili haya mambo boss.
Mie naongezea hapo asiende hiyo shule ya hivo km wewe, atapoteza hela zake bureeee km weye ulivo poteza badala yake akazie hapo hapo!! weye ndo urudi! siyo ukasome bali ukawadai Ada yako!
 
Shule ya juu ndo ipi hiyo Boss!.... kwani shule ya juu lazima usomee Mantiki? au mie ndo sielewi!! waliotunga hivo vitabu vya Mantiki, ni binadamu tu ambao pia mimi au wewe unaweza kuwa challenge!

Sikweli! Mambo hubadirika kuendana na wakati zamani ilikuwa Yes! kuamini kwamba Dunia ni km Meza! ......jambo hilohilo kuhusu umbo la Dunia hata mwanafunzi wa drs la pili ukimwambia Dunia ni km Meza jibu ni No!

km hujaelewa ni hivi!! watanzania wengi humu JF ya sasa, waliamini kuwa Ujamaa na kujitegemea (yes)ndiyo njia pekee sahihi inayoweza kujenga jamii sawa na huru!! na hao hao walio amini hivo leo hawaamini! ivo! (no ujamaa!)

Ikitokea contradictions, hii ndo safi sana hii!! .......... jibu ni kutafuta suruhisho! kukinzana kwa mawazo (akili) ndiyo inaleta maendeleo! hiyo shule yako ya logic ulitupa hela zako bure kawadai! wakurudishie Mkuu!

Mie naongezea hapo asiende hiyo shule ya hivo km wewe, atapoteza hela zake bureeee km weye ulivo poteza badala yake akazie hapo hapo!! weye ndo urudi! siyo ukasome bali ukawadai Ada yako!
Bold, kumbuka hapa tunakiongelea mungu asie badilika sio binadamu.

Kwa mantiki hiyo napuuza yote uliyoyaandika kwani haya maana.
 
Ukipuuza umetimiza haki yako ya msingi, so uko sahihi kwa sababu kunijibu neno eti ''haina Maana'' ni jibu rahisi sana kwa hoja ngumu Mkuu!....ni kawaida kwa wasiomjua Mungu wa kweli,

wala usisononeke......hata hivo huyo mungu wako mtata, asiye badirika hatuhusu sisi!...kwa sababu niwazi kuna vitu viwili Mungu na mungu; weye wamuongelea mungu, uko sahihi kwa upande huo! lkn jua

Mungu wetu sisi halinganishwi na kitu chochote!........Biblia Takatifu imetaja, Miungu weeengi sana mfano, mungu Baal (wa wafilisit huyu), Olympio, Isis (mungu wa Misri) nk! hapa hatujui kuwa unamuongelea mungu gani kati ya hao!

hata hao miungu walishindana na Mungu wa kweli, wakashinda vilevile! mfano, ni pale mungu Baal alipotumia wafuasi wake kumtoboa macho Samsoni akawa kipofu!...

pili mungu Isil huyu aliwatumikisha utumwani wana wa Mungu aliye hai! miaka zaidi ya 400!

Utumwani, huko yamkini pia, walikufa wana wa israel wengi!.....Mungu wetu anaweza kuamua vyovyote na ikawa ivo kweli! usisahau kuwa Ukitamka Biblia imeaandika, ....

hapo nakushauri uwe specific kuwa rejea Biblia gani! kwa sababu kuna Biblia nyiiingi sana Duniani!

siyo uchomoke na kabiblia kako hako ka kutokea kuzimu unakuja kutuambia kuhusu mungu baal! noo! Biblia ya kweli inasema ''Neno la Mungu aliye hai siyo Mali ya kila Mtu'' sasa weye usilazimishe! hutaweza!

Lazima humu Duniani tuko watu wa aina mbili tu! na ni wazi kabisaaa!! ivi; upande wa Nuru na upande wa giza!! so kizazi cha Nyoka kina penda sana kujifunza Biblia lkn hawaelewagi hilo ulijue! af wakaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Huwezi nipangia jinsi ya kuishi dini umezaliwa umezikuta na utakufa utaziacha hiko kitabu biblia kinamiaka almost 7000 na bado wako wanaokiamin

Kama huamin biblia live your life huwez fanya watu wasiamin biblia kwa hoja zako dhaifu na za kiinga
Naomba uruhusiwe mjadala zisiwepo lugha za matusi huyu bwana kaleta hoja fikirishi kwa uelewa wake
 
Mbona juzi Kati kuna member wa humu alitabiri kutokea kwa ajali ya ndege na ilitimia.

N kuna mwamba alitabiri Magufuri hatotoboa mwaka 2020 na ikatimia.
Mambo mengi yanatabiriwa na hayatokei...
.
Mm mwenyew 2015 nilisema kua mshindi wa uchaguzi wa 2015 hato-toboa awamu mbili, ataugua afe... na ikatokea ivo. Sio superpower au nn ila ni coincidence tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Nitajaribu kujibu swali moja I hope litatoa Mwanga kwa hayo yanayo bakia.

Sifa za nguvu za Mungu ni tatu Omnipresent, omnipotent na omniscient inapupongua hata moja ya hizi sifa tatu anakua sio Mungu tena.
Hoja yako ni kwamba if God is omniscient (All knowing) why did he create Satan?
Jibu rahisi la kwa nini alimuumba shetani ni kwa sababu anajua yote. Kwa maana nyingine God knows in total (anajua yote kwa ujumla wake). kujua mambo kwa ujumla wake kunamfanya kufanya maamuzi ambayo for us who thinks and know in part would view them as illogical. Nachomaanisha being omniscient makes him choose solutions that are optimal. Kwa maana hio kutomuumba shetani ingekua ni suboptimal solution.
Mfano tuseme ungepewa uwezo wa kujua kesho ukienda kazini utamgonga kijana mmoja na gari na kumvunja mguu, If that is all the information you have ungechukua maamuzi ya kutokwenda kazini kesho. But let's us say you know things in total na unajua yule kijana utakae mgonga alikua anaenda kwenye shule ya watoto wadogo kufanya mauaji kwa hivo kumgonga kwako kungeokoa maisha ya watoto nadhani now ungefanya maamuzi tofauti.
So kwa ufupi jibu ni kwamba Mungu alimuumba shetani sababu Mungu hujua mambo kwa ujumla wake na hii inajibu maswali yaliyobakia chini yake
 
Mi binafsi naona ni heri Mungu angemtupia uyo shetan kwenye sayari nyingine uku hatuna kazi nae na sayari zipo nyingi tu, kwanin atuambatanishe nae
Haha, kuna watu mna maswali ya ajabu lakini ni fikirishi sana dah, lakini kweli sasa umuhimu wa shetani duniani ni nini?

Ashatenda makosa kwanini asingetengwa sayari zingine hazina viumbe akaishi huko pamoja na waasi wenzie?

Anyway vitabu vya dini ni fikirishi na vina maswali mengi sana ambayo ukiyahoji lazima utoke kwenye mstari.
 
Mungu angemtupa Shetani hata Mimi nisingempenda.
Uwepo wa Shetani/nguvu hasi kunafanya maisha yawe na maana, yaani unakuwa na options nyingi za kuchagua.
Yaani mkuu unamaanisha namna watu wanateseka, shida n.k ndio maana ya maisha au sijakuelewa?

Hizo options zina faida gani ilihali watu wanateseka na bila kupata msaada? Hebu tufafanulie vizuri hapo option zipi ulizomaanisha na uwepo wa shetani / nguvu hasi kunafanyaje maisha kuwa na maana?
 
Mwanzo 1:28 inaonyesha mwanadamu anapewa kutawala asingeweza kuambiwa habari za ubaya wakati hajui mema wala mabayia alichotakiwa kufanya ni kutii kike alichoambiwa. Mungu hawezi kuingilia uamuzi wa mwanadamu ila anaweza akamshauri na kumshawishi mabaya kwake yote ni sawa
 
Back
Top Bottom