Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Ikishakua na mkanganyiko ndio matatizo hayo.

Hakuna shida ya uelewa, ni biblia imejaa matatizo.

Kama Newton ambae ni binadamu anaweza kutunga kanuni ikasomwa kuchina, kijerumani, kiarabu, kijaluo, kihindi bado jibu ni lile lile halafu useme ya mungu ni tofauti ya uelewa, uelewa upi? Huo mkanganyiko kwa nini mungu hakuuondoa ili jibu liwe ni moja lile lile, usome biblia kihaya, kichina, lugha ghani jibu liwe lile lile.

Biblia ni kitabu cha kikanjanja.
 
Hakuna hukumu hata hivyo[emoji23][emoji23]

Umepewa njia mbili,
1. Wema
2. Ubaya.
Wema utaishi milele
Ubaya utakufa milele.
Hivyo hakuna atakayekuhukumu isipokuwa wewe mwenyewe ndiye utaamua njia ipi ya kufuata.
Kwa hiyo ishu za Jehanamuu na mbinguni kwa watu wema na waovu ni habari za Mchongo kwenye vitabu vya dini??
 
Life is about choices and everyone aligns oneself where one's heart find more appealing... the same happened to me...

Sure, life is about self choice but you need to know the Truth inorder to make the best choice.
Due to the Fact that, Formerly you were Christian but now you're Muslim, I don't know what happened, thus I ask you to tell me
 

Hilo sio tatizo Sheikhe kuwa muelewa.

Unataka kusema Kila binadamu anauwezo wa ku-solve Hesabu za Isaac Newton?
Jibu ni hapana, Kwa sababu binadamu tunatofautiana uwezo wa Akili. Sio ajabu hata wewe physics ilikushinda kutokana na uwezo wako kuwa sio WA mambo ya kifizikia, Ila haimaanishi Physics ni somo la kijanja kijanja.

Vivyohivyo katika Biblia au Quran, sio kila binadamu anaakili ya kuielewa Kwa upesi Biblia au Quran. Na hiyo ndio hufanya wenye Uelewa mdogo WA mambo ya teolojia kupata mkanganyiko/utata

Hata somo la Mathematics ni somo lenye mkanganyiko/utata ambao watu wengi unawachanganya na kuwafanya walishindwe
 
😂😂😂
 
To cut the story short; is the place that I found a Devine comfort and tranquility

Waooh!
Kila la Kheri.
Dini ni sehemu au Chuo cha kujifunza tabia njema ili kudumisha mahusiano Bora baina ya mtu na Mungu wake, na mahusiano baina ya mtu na watu pamoja na mazingira yake.

Uislam na Ukristo hauna tofauti yoyote isipokuwa, madhehebu ndio huleta utofauti huo.

Tumaini pekee la maisha baada ya kifo Wakristo wanalo moja Kwa moja kupitia Kwa Kristo Yesu aliyefufuka katika watu.
Huku dini zingine zilizobaki zikibaki kimya katika Jambo hilo

Uislam unaelezea malaika mtoa roho ambaye waarabu walimuita Izrael(kutokana na uhasama Wao na Wayahudi)
Lakini uislam haujaeleza atakayerejesha roho za wanadamu,
Wakati Ukristo unamueleza Kristo Yesu Kama mhusika Mkuu katika tukio la kiyama.
 
1.Jibu: Ni sawa na Mwanaume anayedate na Mwanamke ingawa anajua ya kuwa Kuna siku atamsaliti lakini anashindwa kumwacha kwa kuwa pengine anaweza kubadilika/kutubu.
-Dhana ya uumbaji ni pana sana kiasi ya kuwa kama mavuno ya Duniani.
-Kila lililofanyika na linalofanyika leo ni kwa uwiano ulio sawa,vipi kama Shetani asingelikuwepo...??au basi tufanye Mungu hayupo....Uwepo wa vyote ni kipimo Cha Imani.
 
Mkuu, nilishamalizana na wewe, ulishakiri kwamba biblia ina matatizo sasa unataka tujadiliane nini zaidi boss?

Umekiri mwenyewe kwamba kutabu cha mungu mkuu, mungu anaejua vyote, mungu wa kila kitu kina matatizo halafu unataka kunielekeza nini tena mkuu? Umekiri kwamba mungu alishindwa kutengeneza kutabu kisicho na matatizo. Tuishie hapo.
 
Umesahau kwamba kwenye hesabu pia kuna true false jibu ni true au OR logic condition zake umezisahau ?? Sio hapo tu kuna hadi condition ya XOR ambayo nayo true false jibu ni true na false true jibu ni true .

Unaongeleaje kuhusu hilo ☝️☝️ au umechagua maelezo yanayosapoti argument yako?
 
You have very little knowledge about Islam, with due respect I humbly advise you to enquire before writing....

I am enlightened with the knowledge and experience of both faith..... nemeyaisha maisha ya kikiristo toka nazaliwa mpaka nikiwa kijana na namshukuru Mola Mlezi to enlight me with knowledge of the other side of the coin [Islam]...

Nikikuuliza unaweza kuleta reference of any undisputed Islamic scripture inayomrefer malakul maut kama Israel unaweza kutoa??
 
Umeruka mkojo ukakanyaga mavi.

Crazy stories kwenye biblia zimefanywa kua stupid stories kwa quran.

Yaani aliekua ananakiri biblia na kuandika Quran ndio aliboronga zaidi.

Waislamu wanakwmabia quran ilishushwa, unauliza ilishuhswa na winchi ama na nini, hupati jibu. Unauliza mafurushi yaliyoshushwa yako wapi ili tuone hand writing ya mungu, hakuna.

Mbaya zaidi unaambiwa ilishuhswa kwa kichwa ya Mohamed ambae alikua anaitoa kichwani mwake na anamtamka mtu mwingine anaandika, kisha anamsomea tena. Unabaki unashangaa.

Kuamini kwamba Quran ni maelekezo ya mungu unajiuliza huyo mungu ni mzima kweli kichwani, mbona kama amechanganyikiwa, yaani yuko full stressed.

Anyway mkuu, endelea kujifariji.
 
Umesema uislamu na ukristo hauna tofauti halafu hapo hapo ukaweka tofauti 😂😂😂 mkuu unahitaji kusoma zaidi
 
Unazungumzia UHASAMA WA WAARABU NA WAISRAEL WA MWAKA 1948 while Islam existed long before that!!!! Hii ni jambo la kushangaza kidogo
 
Maelezo yote uliyotoa hapo ni moja kama si mawili ndiyo upo sahihi mengine yoote umeboronga na kuweka stori zako mkuu naweza kukujibu maswali yako yote zidi ya uislamu inshaallah ila kama hautojali ningependa kujua unasimamia wapi wewe ni atheist ,agnostic ,agnostic atheist ,satanist , au nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…