Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Achana na imani yangu, unaweza kuniambia Quran ilishushwa wapi na nani? Tuanzie hapo.
 
Nitajie uongo na ukweli kwenye hayo maelezo yangu
 
Unfortunately wengi tunaishi kwa masimulizi ya kuambiwa Biblia na Qur'an ni TOFAUTI sana ikiwa akili yako imetulia: So sad....

Naomba nikupe mifano miepesi:

1. Nabii wa Allah Ibrahim kwenye bibilia anatuhumia kwa Uzinzi LAKINI Nabii huyu kwenye Qur'an amesimuliwa akiwa na Uchamungu wa Hali ya juu mpaka anafikia kuitwa Rafiki wa Mola Mlezi

2. Ukisoma Bibilia utamkuta Nabii wa Allah Nuhu akiwa ni shujaa aliyewaokoa watu na Gharika lakini baadaye akawa Mlevi wa kutupwa [Alcoholic] TOFAUTI kabisa na kwenye Qur'an

3. Nabii wa Allah Luti anaonekana akiwaokoa baadhi ya wafuasi wake na gharika ya sodoma na gomora lakini bibilia hiyohiyo inatueleza baadaye akazini na binti zake LAKINI Nabii huyu kwenye Qur'an qnasimuliwa akiwa ni mchamungu na wakupigiwa mfano na ummah wake

5. Nabii wa Allah Daud anasimuliwa kama kamanda aliyeshinda vita [kumshinda goliati] lakini bibilia hiyo hiyo inatuambia baadaye akazini na mke wa kamanda wake na kumua mwenye mke.... Nabii huyu kwenye Qur'an anasimuliwa ni mwema na mwenye kupigiwa mfano na ummah wake..

5. Nabii wa Allah Iysah AMA YESU anavyosimuliwa kwenye bibilia YEYE pamoja na mama yake na WANAVYOSIMULIWA KWENYE QUR'AN ni TOFAUTI..

6. Lakini matukio kama la YUSUF na ndugu zake linavyosimuliwa kwenye bibilia ni kama kuungaunga LAKINI lilivyosimuliwa kwenye QUR'AN ni very clear [rejea SURATUL YUSUF]

Kwa kifupi wengi wa wakiristo hawasomi vitabu vyao hasa Bibilia wanaishi kwa mistari miwili mitatu ya kuambiwa TOFAUTI na imani ya Kiislam iliyojenga kwenye MSINGI wa elimu...

Nimesoma sana bibilia lakini haijawahi kunibariki kama nilivyopata nafasi ya kusoma Qur'an
 
Nitajie uongo na ukweli kwenye hayo maelezo yangu
Siwezi kunakili vyote hapo mana nipo na simu ina nilimit ila kwa ufupi tu umeongele pointi hizi.

1.umetaka kujua quran ilishusha na nini na eneo iliposhushwa

Hii inaonesha ujinga wako kwenye dini hii ya uislamu ungekuwa umesoma angalau jinsi ilivyoshuka quran usingeuliza swali hili.

2.umesem mtume muhammad (swala na salam ziwe juu yake) alikuwa anashushiwa quran huku anamwambia mtu aandike .

Hiki kitu si kweli narudi tena kwenye point yangu ya kwanza kwamba ungesoma namna ilivyoshuka usinge7liza hili swali

3.kingine unataka kujua muandiko wa mwenyezi mungu upoje ? Really ilibugundue nini? Hatujui bado nini kipo chini ya mariana trench ,hatujui bado kitu gani kipo kabla ya sayari ya mercury na kilichopo baada ya pluto, bado hatujui kwanini kuna watu wanapata fatal damage na kupoteza nusu ya ubongo lakini wanaendelea na maisha yao ila wengine wanakufa kwa kujigonga tu kidogo kichwani , BADO PIA HATUJUI KITU GANI KILISABABISHA BIG BANG NA EVOLUTION HALAFU BADO UNATAKA KUJUA MUANDIKO WA MUNGU hebu njoo kwanza na hayo majibubya maswali yangu machache kabla ya kutaka kujua muandiko wa mungu.
 
Hii ndio tunasema copy cut ya biblia na quran.

Mwandishi wa quran ali copy biblia na kuondoa mengine na kuongeza mengine ili kujifurahisha.

Ni common sense tu kwamba quran ni duplicate ya biblia with some amendments.

Nikuulize, hivi kweli maandishi ya quran ni maelekezo ya mungu/allah?
 
Huwezi nipangia jinsi ya kuishi dini umezaliwa umezikuta na utakufa utaziacha hiko kitabu biblia kinamiaka almost 7000 na bado wako wanaokiamin

Kama huamin biblia live your life huwez fanya watu wasiamin biblia kwa hoja zako dhaifu na za kiinga
Hapa ndipo wafia dini wanazidi kufanya dini zionekane ni usanii mtupu. Badala ya kuleta majibu yenye kusaidia na kufundisha, ninyi mnaleta kejeli na dharau.
 
Kama vipi wamalize tofauti zao aisee, dah tunashindwa kufanya mambo kwa uhuru sababi ya bifu lao.

Yaani wanashindwa kusameheana tu ili sisi nyasi(vita ya tembo) tupumzike?
Na imeandikwa samehe ili usamehewe. Usiposamehe nawe hutasamehewa.
 
Swali lako la kwanza hata mimi huwa najiuliza sana...

Wakati mwingine nilikuja kufahamu kuwa Mungu alijua uasi wote wa shetani na wanadamu na aliruhusu utokee kwa makusud yake na sababu yake...
Inawezekana bila huo uasi uliopelekea mauti, ingelifika mahali dunia ingejaa sana na kufanya wengine wanaozaliwa wakose sehemu za kuishi
 
Acha kutuongelea, si hatuamini kama mungu yupo.
Unaamini nini? Je wewe ni atheist ,agnostic, agnostic atheist au
Muandishi wa quran unayemuongelea wewe ni yupi huyo? Maana muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) alikuwa hajui kusoma wala kuandika sasa huyo unayemuongelea wewe ni yupi?

Na nani kakwambi quran imeandikwa au kutungwa ? Quran ni maneno ya mola mlezi wa walimwengu hebu sasa wewe utuambie huyo mwandishi ni nani?
 
Je hayo maneno kweli ni ya mola? Mola ambae yuko sensible kabisa anaetumia akili ama ni Magumashi tu.

Kwa sababu haiingii akilini kwamba yale maneno yatolewe na kiumbe ambae anajiita mola mwenye ujuzi na nguvu na akili kuliko binadamu halafu atoe maagizo uharo kama yale.
 
Hapa ndipo wafia dini wanazidi kufanya dini zionekane ni usanii mtupu. Badala ya kuleta majibu yenye kusaidia na kufundisha, ninyi mnaleta kejeli na dharau.
Sio lazima uwe na dini unaweza ukawa mpagani, kama dini ni usanii kuwa mpagani tumia uhuru wako vizuri
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
[emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…