Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Umeuliza swali zuri sana ambalo hna jibu lake kwa ushahidi wa Qur-an
 
Unazungumzia UHASAMA WA WAARABU NA WAISRAEL WA MWAKA 1948 while Islam existed long before that!!!! Hii ni jambo la kushangaza kidogo

Ingekufaa ufuatilie Kwa nini Malaika mtoa roho walimpa jina Izrael ndipo uje hapa ushangae.
Quran haijamtaja personal name ya Malaika mtoa roho lakini Duniani kote Waislam wanamfahamu kama izrael. Sasa tafuta chanzo cha Malaika huyo kupewa jina Hilo.
 

Ndio maana nikakuambia kuwa Quran haijamtaja Kwa personal name lakini waislam wote Duniani wanamjua huyo Malaika mtoa roho Kwa jina walilompa wakamuita Izrael.
Sasa lilikuwa jukumu lako a Waislam waliomo humu ambao wote bila Shaka wanajua jina hilo, kuwa Kwa nini aliitwa hivyo.
Na mpaka sasa baadhi ya masheikhe kwenye mawaidha Yao wanamtaja.

Reference ni haohao masheikhe ukitaka nikuwekee video humu nitakuwekea tena zaidi ya Moja
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unaposema juujuu unamaanisha nini?
Unajua hata wewe ungesoma Quran yote ukamaliza bado ungekuwa unaijua juujuu tuu Kwa sababu wewe sio mwandishi na hukuwepo kitabu hicho wakati kikiandikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…