Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

You have very little knowledge about Islam, with due respect I humbly advise you to enquire before writing....

I am enlightened with the knowledge and experience of both faith..... nemeyaisha maisha ya kikiristo toka nazaliwa mpaka nikiwa kijana na namshukuru Mola Mlezi to enlight me with knowledge of the other side of the coin [Islam]...

Nikikuuliza unaweza kuleta reference of any undisputed Islamic scripture inayomrefer malakul maut kama Israel unaweza kutoa??
Umeuliza swali zuri sana ambalo hna jibu lake kwa ushahidi wa Qur-an
 
Unazungumzia UHASAMA WA WAARABU NA WAISRAEL WA MWAKA 1948 while Islam existed long before that!!!! Hii ni jambo la kushangaza kidogo

Ingekufaa ufuatilie Kwa nini Malaika mtoa roho walimpa jina Izrael ndipo uje hapa ushangae.
Quran haijamtaja personal name ya Malaika mtoa roho lakini Duniani kote Waislam wanamfahamu kama izrael. Sasa tafuta chanzo cha Malaika huyo kupewa jina Hilo.
 
You have very little knowledge about Islam, with due respect I humbly advise you to enquire before writing....

I am enlightened with the knowledge and experience of both faith..... nemeyaisha maisha ya kikiristo toka nazaliwa mpaka nikiwa kijana na namshukuru Mola Mlezi to enlight me with knowledge of the other side of the coin [Islam]...

Nikikuuliza unaweza kuleta reference of any undisputed Islamic scripture inayomrefer malakul maut kama Israel unaweza kutoa??

Ndio maana nikakuambia kuwa Quran haijamtaja Kwa personal name lakini waislam wote Duniani wanamjua huyo Malaika mtoa roho Kwa jina walilompa wakamuita Izrael.
Sasa lilikuwa jukumu lako a Waislam waliomo humu ambao wote bila Shaka wanajua jina hilo, kuwa Kwa nini aliitwa hivyo.
Na mpaka sasa baadhi ya masheikhe kwenye mawaidha Yao wanamtaja.

Reference ni haohao masheikhe ukitaka nikuwekee video humu nitakuwekea tena zaidi ya Moja
 
Hujui chochote kuhusiana na uislamu ,na kama unajua basi juu juu bila kuchimba taarifa kwa undani zaidi.

Qu'ran na Hadithi zimeeleza mwanzo mwisho jinsi ufufuo na hesabu na matukio jinsi yatakavyokuwa siku ya kiyama, hata namna ya roho zitakavyo rejesha taarifa zake zipo katika vitabu .

😀😀😀
Unaposema juujuu unamaanisha nini?
Unajua hata wewe ungesoma Quran yote ukamaliza bado ungekuwa unaijua juujuu tuu Kwa sababu wewe sio mwandishi na hukuwepo kitabu hicho wakati kikiandikwa?
 
Back
Top Bottom