Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Hii ndio tunasema copy cut ya biblia na quran.

Mwandishi wa quran ali copy biblia na kuondoa mengine na kuongeza mengine ili kujifurahisha.

Ni common sense tu kwamba quran ni duplicate ya biblia with some amendments.

Nikuulize, hivi kweli maandishi ya quran ni maelekezo ya mungu/allah?
Soma acha uvivu
Huwezi kujadili kwa maneno ya kusikia au kuambiwa
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran. Mkitaka na vifungu nitaweka.
[emoji706]
 
B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Tena naongezea intellejensia ilianza kufeli mbinguni shetan anaunganisha jeshi kuasi mashushushu wa mbinguni wamelala tu , kiasi kwamba ikamlazimu Mikaeli kutumia nguvu kubwa kuzima uasi.
 
Hapa ndipo wafia dini wanazidi kufanya dini zionekane ni usanii mtupu. Badala ya kuleta majibu yenye kusaidia na kufundisha, ninyi mnaleta kejeli na dharau.
Hebu nisaidie majibu ya haya maswali mkuu

1.Nini kimesababisha bigbag kutokea? Maana accoding to bigbang theory ile big bang ili initiate at a single point known as singularity.

Na ili singularity itokee lazima condition hii iwepo "HIGH AND DENSE GRAVITATIONAL FORCE/FIELDS" concetrated in a point ambayo itakayosababisha space-time kuvunjika na hivyo tunapata singularity na ndiyo maana singularity points zipo kwenye black holes pekee .

Tunakuja kugundua kabla ya bigbang kulikuwa na singularity na kabla ya singularity lazima dense and high gravitational force iwepo swali JE? KIPI KILI TRIGER HIYO GRAVITATIONAL PULL iliyosababisha singularity hence bigbang?????
 
Ok bila shaka hauamini uwepo wa mungu ila unaamini kwenye facts na vile ambavyo tunaweza kuvi prove kwa science yetu hii sivyo?

Ok bila shaka unakubaliana na mimi kwamba science ndiyo jibu la kila kitu kwenye dunia hii sasa nina maswali haya hapa ambayo nahitaji majibu kama hautojali.

1.Nini kilisababisha evolution?
2.Nini kilisababisha Bigbang kutokea?
 
You have very little knowledge about Islam, with due respect I humbly advise you to enquire before writing....

I am enlightened with the knowledge and experience of both faith..... nemeyaisha maisha ya kikiristo toka nazaliwa mpaka nikiwa kijana na namshukuru Mola Mlezi to enlight me with knowledge of the other side of the coin [Islam]...

Nikikuuliza unaweza kuleta reference of any undisputed Islamic scripture inayomrefer malakul maut kama Israel unaweza kutoa??
Hoja yake imenishangaza pia na kunisikitisha. Hajui chochote kuhusu Uislam.
 
Je hayo maneno kweli ni ya mola? Mola ambae yuko sensible kabisa anaetumia akili ama ni Magumashi tu.

Kwa sababu haiingii akilini kwamba yale maneno yatolewe na kiumbe ambae anajiita mola mwenye ujuzi na nguvu na akili kuliko binadamu halafu atoe maagizo uharo kama yale.
Yap without any doubt i here by approve kwamba yale maneno ni ya mola mlezi wetu ALLAH( Subhana huwataallah) na hayana shaka ndani yake labda wewe ndiyo haujaelewa THEN LETS START NA HAYO UNAYOYAITA MAAGIZO UHARO(astaghfirullah).
 
Unfortunately wengi tunaishi kwa masimulizi ya kuambiwa Biblia na Qur'an ni TOFAUTI sana ikiwa akili yako imetulia: So sad....

Naomba nikupe mifano miepesi:

1. Nabii wa Allah Ibrahim kwenye bibilia anatuhumia kwa Uzinzi LAKINI Nabii huyu kwenye Qur'an amesimuliwa akiwa na Uchamungu wa Hali ya juu mpaka anafikia kuitwa Rafiki wa Mola Mlezi

2. Ukisoma Bibilia utamkuta Nabii wa Allah Nuhu akiwa ni shujaa aliyewaokoa watu na Gharika lakini baadaye akawa Mlevi wa kutupwa [Alcoholic] TOFAUTI kabisa na kwenye Qur'an

3. Nabii wa Allah Luti anaonekana akiwaokoa baadhi ya wafuasi wake na gharika ya sodoma na gomora lakini bibilia hiyohiyo inatueleza baadaye akazini na binti zake LAKINI Nabii huyu kwenye Qur'an qnasimuliwa akiwa ni mchamungu na wakupigiwa mfano na ummah wake

5. Nabii wa Allah Daud anasimuliwa kama kamanda aliyeshinda vita [kumshinda goliati] lakini bibilia hiyo hiyo inatuambia baadaye akazini na mke wa kamanda wake na kumua mwenye mke.... Nabii huyu kwenye Qur'an anasimuliwa ni mwema na mwenye kupigiwa mfano na ummah wake..

5. Nabii wa Allah Iysah AMA YESU anavyosimuliwa kwenye bibilia YEYE pamoja na mama yake na WANAVYOSIMULIWA KWENYE QUR'AN ni TOFAUTI..

6. Lakini matukio kama la YUSUF na ndugu zake linavyosimuliwa kwenye bibilia ni kama kuungaunga LAKINI lilivyosimuliwa kwenye QUR'AN ni very clear [rejea SURATUL YUSUF]

Kwa kifupi wengi wa wakiristo hawasomi vitabu vyao hasa Bibilia wanaishi kwa mistari miwili mitatu ya kuambiwa TOFAUTI na imani ya Kiislam iliyojenga kwenye MSINGI wa elimu...

Nimesoma sana bibilia lakini haijawahi kunibariki kama nilivyopata nafasi ya kusoma Qur'an
Kwenye biblia hakuna nabii Ibrahimu wala hakuna Mtu aliyetajwa anaitwa Allah, yaani wewe ni muislamu biblia itakubarikije ebu acha uongo

Na vip Muhammad alieo mtoto WA miaka sita, yaan mtu alikosa wadada wakubwa mpaka anaenda oa mtoto wa miaka 6
 
Waooh!
Kila la Kheri.
Dini ni sehemu au Chuo cha kujifunza tabia njema ili kudumisha mahusiano Bora baina ya mtu na Mungu wake, na mahusiano baina ya mtu na watu pamoja na mazingira yake.

Uislam na Ukristo hauna tofauti yoyote isipokuwa, madhehebu ndio huleta utofauti huo.

Tumaini pekee la maisha baada ya kifo Wakristo wanalo moja Kwa moja kupitia Kwa Kristo Yesu aliyefufuka katika watu.
Huku dini zingine zilizobaki zikibaki kimya katika Jambo hilo

Uislam unaelezea malaika mtoa roho ambaye waarabu walimuita Izrael(kutokana na uhasama Wao na Wayahudi)
Lakini uislam haujaeleza atakayerejesha roho za wanadamu,
Wakati Ukristo unamueleza Kristo Yesu Kama mhusika Mkuu katika tukio la kiyama.
Hujui chochote kuhusiana na uislamu ,na kama unajua basi juu juu bila kuchimba taarifa kwa undani zaidi.

Qu'ran na Hadithi zimeeleza mwanzo mwisho jinsi ufufuo na hesabu na matukio jinsi yatakavyokuwa siku ya kiyama, hata namna ya roho zitakavyo rejesha taarifa zake zipo katika vitabu .
 
Yap without any doubt i here by approve kwamba yale maneno ni ya mola mlezi wetu ALLAH( Subhana huwataallah) na hayana shaka ndani yake labda wewe ndiyo haujaelewa THEN LETS START NA HAYO UNAYOYAITA MAAGIZO UHARO(astaghfirullah).
Kama yale ni ya mola, basi there is no hope for the future. That creature called allah/mola is insane, has no brain.
 
Back
Top Bottom