Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulalamika.
- Kufilisika.
- Kusalitiwa na rafiki wa karibu.
- Kifo cha mzazi.
- Kuvunjika moyo (heart broken).
- Pale unapogundua hakuna mtu anaekuja kukusaidia.
Ongeza...!
Sawa🥰vyema utakaa sawa usiogope na pia uchiogope chindano chawa toto...🥰
Hahahahah nyie! 😂pombe! juzi nilitandika whisky si nikawabadirikia mabaunsa wa bar nikajiona mimi ndo ninja!! kuna watu wanajua kupiga mabanzi nyie hapo nikala na mtama mmoja tu kazi ikaisha! niliwaachia shati nikaenda zangu kulala huku nikishukuru baunsa mmoja alinibeba akanirusha nami sikuichezea nafasi nikatua kininja nikaunga mbio lkn masikioni nikiwa nasikia wiuwiuwiuwiu!..
sisi ndo mafisi...😃Hahahahah nyie! 😂
Nimewahi kuwa huko. Lile dhehebu hapana. I hope ametoka huko., la neema ya mungu itamtoa huko.Labda nitoe mfano mmoja! Ndugu yangu mmoja katika ukoo alijiunga na dhehebu la THE POOL OF SILOAM. Kilichofuatia ni misimamo na matendo yake kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali.
Kwanza, uvaaji wake ulibadilika, akawa anavaa nguo nyeupe. Sikumbuki kama ilikuwa ni kila siku au ilikuwa siku ya ibada tu.
Pili, alibadilosha majina mpaka ya ubin wake. Jina lake jipya la ukoo likawa Eliya. Inasemekana utaratibu wa hilo dhehebu liliwataka washirika wake majina yao yaishie na Eliya.
Hayo ni machache ninayoyakumbuka.
hilo dhehebu lilimfanya mtoto wa dingi mkubwa akafa akiwa kapuku wakat kabla hajajiunga nao alikuwa mfanyabiashara mzuri tu, nyumba kadhaa njiro arusha. hotel ya nyota tatu sakina, mgodi mirerani na mundarara, ila vyote kanisa likajimilikisha chni ya mchungaj, mtoto wake wa kiume ambaye alikuwa anapambana na mchungaji juu ya mali za mama yake alikufa kifo cha utatanishi sana,Labda nitoe mfano mmoja! Ndugu yangu mmoja katika ukoo alijiunga na dhehebu la THE POOL OF SILOAM. Kilichofuatia ni misimamo na matendo yake kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali.
Kwanza, uvaaji wake ulibadilika, akawa anavaa nguo nyeupe. Sikumbuki kama ilikuwa ni kila siku au ilikuwa siku ya ibada tu.
Pili, alibadilosha majina mpaka ya ubin wake. Jina lake jipya la ukoo likawa Eliya. Inasemekana utaratibu wa hilo dhehebu liliwataka washirika wake majina yao yaishie na Eliya.
Hayo ni machache ninayoyakumbuka.
Kuna hawa wameibukia sikuhizi wa CHANZO HALISI, wanakwambia BILA CHANZO HALISI HUTOBOI.... HERIIIIIIILabda nitoe mfano mmoja! Ndugu yangu mmoja katika ukoo alijiunga na dhehebu la THE POOL OF SILOAM. Kilichofuatia ni misimamo na matendo yake kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali.
Kwanza, uvaaji wake ulibadilika, akawa anavaa nguo nyeupe. Sikumbuki kama ilikuwa ni kila siku au ilikuwa siku ya ibada tu.
Pili, alibadilosha majina mpaka ya ubin wake. Jina lake jipya la ukoo likawa Eliya. Inasemekana utaratibu wa hilo dhehebu liliwataka washirika wake majina yao yaishie na Eliya.
Hayo ni machache ninayoyakumbuka.
Aahaaaapombe! juzi nilitandika whisky si nikawabadirikia mabaunsa wa bar nikajiona mimi ndo ninja!! kuna watu wanajua kupiga mabanzi nyie hapo nikala na mtama mmoja tu kazi ikaisha! niliwaachia shati nikaenda zangu kulala huku nikishukuru baunsa mmoja alinibeba akanirusha nami sikuichezea nafasi nikatua kininja nikaunga mbio lkn masikioni nikiwa nasikia wiuwiuwiuwiu!..
AahaaaaaKuna hawa wameibukia sikuhizi wa CHANZO HALISI, wanakwambia BILA CHANZO HALISI HUTOBOI.... HERIIIIIII