Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Tobaaaaaa,
[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tobaaaaaa,
Really!Yan mimi huyu Culture Me ndo ananimaliza maini humu JF maana jinsia yake hata haileleweki
Mh!! Aiseeeee yule mke wa shigongo au [emoji23][emoji23][emoji23]Mmesahau ya yule dada maarufu mwenye kipini puani...Nilibahatika kuona picha yake ahhaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi unaitwaje?Duh! sijui nilikuwa wapi habari za kutumbuliwa kwa Paraboa napata leo ila alizidi misifa kweli nimeamini JF kiboko yote kwa yote mimi sisahau ya yente na 7800(Sweta la Tanzania).
😂😂😂Hawanichokozi Mimi, wanachokoza Moto 🔥 🔥 🔥
Uzi upi huo???Hivi unakumbuka ule uzi wake alioletaga kwa heshima ya JF ilibidi mode waufute?
Mmh uzi upi huo mbona nimeusahauNakumbuka ilikuwa bonge la tafarani humu ndani wallah....[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Magamba matatu.Jamani kuna Uzi Fulani Wa jamaa nishasahau anaitwaje ila alitabiri kiongozi wa Serikali ya awamu ya 5 na namna Serikali itavyoendeshwa. Na utabiri huo aliufanya kabla ya 2015 kama sikosei ni 2012 au 13 hivi. Mwenye kuupandisha hapa afanye hivyo tafadhali. Ule Uzi tungekuwa tunatoa nyota humu ningeupa nyota 5!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi upi huo???
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Bora umesahau tuMmh uzi upi huo mbona nimeusahau
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
huyu nae ndo wale waleTangu uingia jf 2012 wakati I'd yako inaonesha umejoin 2018
Kweli umenikumbusha yule member aisee yule ni inner circle of the state.Jamani kuna Uzi Fulani Wa jamaa nishasahau anaitwaje ila alitabiri kiongozi wa Serikali ya awamu ya 5 na namna Serikali itavyoendeshwa. Na utabiri huo aliufanya kabla ya 2015 kama sikosei ni 2012 au 13 hivi. Mwenye kuupandisha hapa afanye hivyo tafadhali. Ule Uzi tungekuwa tunatoa nyota humu ningeupa nyota 5!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipo katika hot top five yangu ya matukio, ni uzi ulioangaliwa sana kule MMU daah jf kichakaa[emoji23][emoji23]Kuna mtu alikuwa anavunga demu na ID ya kike humu alikuwa anatingisha Vidume wa JF kama Money Penny vile huko MMU.
Mara Paaap, Mods wakafanya yao ( Kuunganisha IDs ) akawa Erick otieno.
Tehe Tehe!
Jamani kuna Uzi Fulani Wa jamaa nishasahau anaitwaje ila alitabiri kiongozi wa Serikali ya awamu ya 5 na namna Serikali itavyoendeshwa. Na utabiri huo aliufanya kabla ya 2015 kama sikosei ni 2012 au 13 hivi. Mwenye kuupandisha hapa afanye hivyo tafadhali. Ule Uzi tungekuwa tunatoa nyota humu ningeupa nyota 5!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu jamaa alikuwa serious hana hata wasiwasiDahhh....
Kuna jamaa aliwahi kuja na Uzi akiomba ushauri kule jf Doctor.
Ile jamaa iliuweka kabisa mushedede, ulikuwa unavipele kwamba ndio vinamsumbua pale kwenye kichwa kinapo zama.
Aiseee yule jamaa alikuwa ana roho ngumu sana, sasa kuna mdada akaakomenti akawa anausifia wakati mleta mada anaumwa...teh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna uzi wa mtu alitabiri kama sijakosea huu mwaka 2020 kwamba watakufa watu wengi sana maarufu, wanasiasa na wasanii, mwenye kuupata aupandishe tujifunze kitu.
dah nimepitia ni kweli kabisaKuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta"! Ukweli huu hapa...
Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta"! Ukweli huu hapa... - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app