Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030.
Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto.
Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia sikio la kufa.