Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
wewe ni Mchoyo
nimekujibu na kukusaidia basi hata kunipa (Like) Umeshindwa una roho mbaya wewe. Tafadhali usiende kwenye wanaouza
Asali Feki ukawaharibia Biashara zao. Wewe ukigunduwa kuwa hiyo Asali anayouza ni feki nyamaza kimya. Nenda sehemu
nyingine kanunuwe Asali usiharibu Biashara za Watu tafadhali.
Yaah! Kumekucha ngoja niingie sokoni nionane na hao ambao kila mtu anasema yangu mbichi yangu mbichi.....!
Wakuu habari zenu!
Tafadhali naomba kwa wenye utaalamu wa kutambua asali mbichi naomba wanifahamishe jinsi inavyokuwa au sifa yake kuu. Nataka ninunue ili niitumie kama tiba kwa ugonjwa wangu.Nimepita sehemu zinazouza nimeshindwa kutambua asali mbichi ni ipi na iliyopikwa ni ipi na kila muuzaji anasema anauza asali mbichi! Ahsanteni
Asali nandimu au Asali na Limao ukichanganya na maji ya uvuguvugu huwezi kufa ukinywa ni dawa nzuri kwa kila maradhi. Wewe kwani unataka kufa? nikufundishe dawa ukila utakufa?jaman cjaelewa hapo kwny asali na ndimu,nliambiwa ni sumu ukila unaweza kufa,iweje hapo umeitaja?
Nikufafanulie kitu gani usicgoelewa? kila kitu kipo wazi? umeshaambiwa ujipake Asali kama wanawake wanavyo paka wanja machoni. Unataka nikuelezi kivipi zaidi ya hapo?Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Paka asali
katika macho huzidisha nuru ya
macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma, conjuctivits
na maradhi mengine ya macho,
kila siku paka asali kaika nje ya
jicho na ndani ya jicho (kwa ndani
ya jicho unaweza kutumia unyoya
au wa kuku au ndege yoyote yule)
kufanya hivo asali hupigana na
kujilinda na maradhi ya glaucoma.
Mkuu MziziMkavu naomba ufafanuzi zaidi kuhusu hili....
Nikufafanulie kitu gani usicgoelewa? kila kitu kipo wazi? umeshaambiwa ujipake Asali kama wanawake wanavyo paka wanja machoni. Unataka nikuelezi kivipi zaidi ya hapo?
Mdalasini ya unga kipimo ni kijiko cha chakula.Nimekupata Mkuu umesema kwa madhara ya ngozi vijiko vitatu vya asali na kimoja mdalasini. Je kijiko ni cha chai au Chakula? na mdalasini ni wa unga? na mara ngapi kwa siku.